Yusuf Haji

Parties & Coalitions

Full name

Yusuf Mohammed Haji

Born

23rd December 1940

Died

15th February 2021

Post

41842 Nairobi Kenya

Post

Parliament Buildings
Parliament Rd.
P.O Box 41842 – 00100
Nairobi, Kenya

Email

ijara@parliament.go.ke

Telephone

0722709395

Telephone

0711269388

All parliamentary appearances

Entries 81 to 90 of 1714.

  • 12 Nov 2019 in Senate: watengeneze sheria ambayo ita wahold responsible magavana wale ambao watakosa kufanya vile ambavyo sheria inavyosema. view
  • 9 Oct 2019 in Senate: Asante, Bi Spika wa Muda, kwa kunipa fursa hii kuchangia Hoja hii ambayo imependekezwa na Seneta Kasanga kuhusu kuanzishwa kwa vyama vya jamii vya kulinda misitu katika kila kaunti. Kwanza, nampongeza Seneta Kasanga kwa kuleta Hoja hii katika Bunge kwa sababu imekuja kwa wakati mwafaka, wakati tunaona kwamba kuna misukosuko kila mahali kuhusu misitu. Kuna misukosuko katika sehemu za Mau na sehemu zingine ambazo kuna hatari kubwa kwa misitu yetu kupotea. Bi. Spika wa Muda, kule Mombasa, tuna misitu ya mikoko, yaani, Mangroove view
  • 9 Oct 2019 in Senate: , ambayo inasaidia kusafisha hewa katika miji yetu na vile vile--- view
  • 9 Oct 2019 in Senate: Mhe. Bi Spika wa Muda, ningeomba unilinde kutoka kwa ndugu zetu wawili ambao wanazungumza kwa sauti ya juu. view
  • 9 Oct 2019 in Senate: Bi. Spika wa Muda, pia, naona taa nyekundu imewaka hata kabla sijaanza kuzungumza. view
  • 9 Oct 2019 in Senate: Asante, Bi. Spika wa Muda. Nilikuwa nasema kwamba kule Mombasa tuna misitu ya mikoko ambayo inasaidia pakubwa kwa kusafisha hewa na vile vile kusaidia sehemu ambazo samaki wanataga mayai ili waweze kuzaana na kuendela kutoa chakula na kuweka sawa yale mazingira ya baharini. Bi. Spika wa Muda, ukiangalia sehemu kubwa katika eneo la Tudor, kuna sehemu kubwa ya msitu wa mikoko ambao umekatwa ili wananchi waweze kupata makao. Hii inaathiri pakubwa sehemu za samaki kuzaa na kutaga mayai na hivyo, inapunguza idadi ya samaki ambao wako katika Bahari ya Hindi ambao wanatumia mikoko ile ili waweze kuzaaa na kutaga mayai. ... view
  • 9 Oct 2019 in Senate: Hoja hii itasaidia pakubwa kuwapa watu asili wa sehemu zile - kama alivyotangulia kusema Sen. Cheruiyot - nafasi ya kusimamia ile misitu kwa sababu wanajua vile watatunza misitu ile na kusaidia pakubwa kuleta ajira katika sehemu zile. Ukiangalia katika sehemu ya Mombasa hivi sasa, kuna sehemu kubwa ambapo kuna takataka ambayo ni hatari kwa mazingira kwa mfano zile plastic ambazo zinatupwa katika bahari ili wale waweze kuweka misingi ya nyumba zao. Jambo hili linaharibu mazingira ya bahari. Mara nyingi, bahari inatoa fursa ya kuondoa uchafu wote wakati zile mawimbi zinakuja katika ufuo ili kuondoa takataka na pia kusafisha mazingira. Lakini ... view
  • 21 Mar 2019 in Senate: Thank you, very much Madam Temporary Speaker. I think I am the most qualified person to welcome these three delegations. One, on Isiolo County, I have a sister and a brother born of a mother from there. Wajir is where I went to primary school. Lastly, Nyandarua is my second home. I worked there as a District Commissioner (DC) for six good years; the longest serving DC in one station in Kenya. This is because of the good relations that I had with them. These are very hardworking people. view
  • 21 Mar 2019 in Senate: Only last month, I was there on the BBI Initiative meeting with the public and Members of the County Assembly (MCAs). All of them turned up and gave very good suggestions. view
  • 21 Mar 2019 in Senate: You are among friends and we look forward to continue working with you. view

Comments

(For newest comments first please choose 'Newest' from the 'Discussion' tab below.)
comments powered by Disqus