Results 2101-2120 of 2545 for "mwai"
-
National Assembly 2020-05-05
Ninajiona mwenye bahati kubwa kupewa heshima hii adhimu na ya kipekee. Kama alivyosema Mhe. Spika, aliyewahi kuhutubia hapa ni Mhe. Jakaya Mrisho Kikwete, kutoka Tanzania na mimi ni wa pili. Ni bahati...
-
Senate 2024-05-14: 14:30 to 18:30
have been no deaths in Mai Mahiu. If this is not done, the dams in Makueni will be full and could burst their banks. As we discuss this issue, I challenge the Kenya Power Company (KPC) and the Ministr...
-
National Assembly 2023-03-16: 14:30 to 18:08
Hon. Deputy Speaker, I rise to support my brother, Hon. Ken Aramat from Narok East with regard to the refusal by KWS to enable them use that route. As rightfully as the Member has just indicated, the...
-
Senate 2023-06-21: 14:30 to 18:30
wanapanda kwa bidii, halafu Serikali haiwasaidii kutafuta soko. Mmea huu unaharibikia manyumbani na wakati mwingine mashambani. Tukiangazia mahindi, tayari Serikali imeweka mikakati kadhaa. Ni kwa sab...
-
National Assembly 2023-08-10: 14:30 to 19:00
they arrived close to Mai Mahiu, they hit a motorcycle ahead of them that had entered the main road abruptly without paying attention to the road signs. The vehicle’s driver got confused because the m...
-
National Assembly 2023-11-23: 09:30 to 13:00
Ahsante sana Mheshimiwa Spika wa Muda. Hoja yangu hasa haihusiani na usanifu wa lugha. Ni kuhusu mada anayoileta Mheshimiwa Mwalyo kwamba vinyago vya Wakamba ni ala za kitamaduni. Ningependa nimjulis...
-
Senate 2025-04-03
Sometimes, as you drive to Bomet through Mai Mahiu, you see highly inflammable gases being transported, and when accidents happen, it becomes a danger to pedestrians. Why can we not regulate and say, ...
-
National Assembly 2006-07-18: 14:30
Thank you, Mr. Temporary Deputy Speaker, Sir. What I am trying to say is that this is our country and we should share resources equally. We should make sure that at the end of the day, everybody has s...
-
National Assembly 2010-04-06: 14:30 to 18:22
Bw. Naibu Spika, ningependa kusimama niulize taarifa kutoka kwa Waziri wa Utawala wa Mikoa na Usalama wa Ndani. Mnamo asubuhi ya 31st March, 2010, kikosi cha polisi na Askari wa Utawala kilivamia mask...
-
National Assembly 2010-03-30: 14:30 to 20:00
kuwa mimi ni Mwislamu wala sikubagua mtu kwa sababu ya dini yake. Ni jambo la kustaajabisha kwamba kipengele kinachohusu korti za Kadhi kilipitishwa huko Bomas of Kenya na Wakenya zaidi ya 600 walioto...
-
Senate 2021-09-23: 14:30
Bi. Spika wa Muda, swali hili lililoletwa na Sen. Sakaja ambaye ni Seneta wa Kaunti ya Jiji la Nairobi ni la maana sana. Kwanza kabisa hali ya afya katika kaunti zetu, si Nairobi tu, iko na shida kubw...
-
National Assembly 2020-03-10: 14:30 to 19:01
Ahsante sana, Mhe. Spika, kwa kunipatia fursa hii kuwashukuru Wabunge wenzangu ambao niliweza kufika nao Msambweni jana. Wabunge wa nchi nzima, wa matabaka mbali mbali na dini mbali mbali waliweza ku...
-
National Assembly 2023-06-27: 14:30 to 18:59
ndani ya bahari, ni Mchina aliyeingia na meli yake. Yeye huvua samaki kisha anatuuzia kwa bei ghali. Ningependa kuambia Serikali idhibiti maeneo yetu ya bahari ili wavuvi wetu waingie baharini, wavue ...
-
Senate 2020-12-01: 14:30 to 20:23
There is no point of having sat here, burnt the midnight oil and then at the end of the day, we still divide the country by bringing the argument of “one man one vote one shilling.” Mr. Temporary Spea...
-
National Assembly 2021-05-13: 19:00
Asante, Mhe. Naibu Spika wa Muda. Kiswahili sio mdomo wangu lakini nitaongea leo ili nipongeze mama mwenzangu. Ninajiona mwenye bahati kubwa kupewa nafasi hii adimu na ya kipekee kuongea kuhusu hotub...
-
National Assembly 2023-06-14: 09:30 to 13:00
Ahsante sana, Mhe. Spika. Ninasimama kuunga mkono. Vile vile, nitaanza kwa kusema kwamba ni vyema sisi, kama Wabunge, tujadili maswala muhimu katika taifa hili na wananchi wake. Ikiwa tutaanza kufany...
-
Senate 2022-04-05: 14:30 to 16:49
Asante sana, Bi. Spika wa Muda, kwa kunipa nafasi hii. Wakenya wamekumbwa na majanga mengi, likiwemo janga la korona na ukame. Leo hii kuna uhaba wa mafuta nchini. Nilisafiri juzi. Nilikuwa miongoni m...
-
Senate 2024-07-03
Bi. Spika wa Muda, ukiwa miongoni mwa watu wa mwisho kuzungumza, mara nyingi unapata kuwa mambo yote yamesemwa. Hata hivyo, sisi waliokula chumvi nyingi hatukosi maneno ya kuongezea. Bi. Spika wa Muda...
-
Senate 2024-09-26: 14:30
Madam Temporary Speaker, I am sorry because I was busy responding to an urgent issue. Allow me to touch on a few statements that have been raised by Members. I will start with Sen. Gloria’s statement,...
-
Senate 2023-11-14: 14:30 to 18:30
Asante, Bi. Spika wa Muda kwa kunipa nafasi hii kuwapa pole familia na watu wa Kholera Ward na eneo Bunge la Matungu kwa kumpoteza mheshimiwa shupavu. Bi. Spika wa Muda, nimewahi kukaa katika vikao mb...