Rehema Hassan

Parties & Coalitions

All parliamentary appearances

Entries 31 to 40 of 71.

  • 17 Oct 2018 in National Assembly: tajriba wakati hawajawahi kufanya kazi mahali popote? Inamaanisha tunawafungia hawa vijana nje ili wasipate ajira. Watakuaje na tajirba wakati wametiliwa vikwazo vya kuwa ni lazima wawe na stakabadhi za kuwawezesha kuajiriwa? Hawana kazi na wanatakikana kupitishwa na HELB na EACC ilhali hawana pesa. Vijana wengine wanatoka kwa jamii maskini sana ambao hawawezi kuwa na pesa kidogo za kujitetea. Wale wanaotoka katika sehemu za mipakani kwa kimombo tunaziita border districts, wanapata vikwazo kwa sababu wanasoma kwa hali ya shida. Hata wanapofanya mitihani, matokeo yao si mazuri. view
  • 17 Oct 2018 in National Assembly: Shule zingine ambazo vijana hawa husomea hazina maabara. Vijana wanaotoka shule hizi wanastahili kushindana na vijana wengine na wanatarajiwa kupita katika somo la sayansi kama wale ambao wana maabara mazuri. Inamaanisha hawa vijana hawatakuwa na matokea sawa. Wakati wanapofanya mahojiano, wanatarajiwa kuwa na alama sawa na wale vijana wengine. Hii inawafungia vijana wengine nje. Kama vile tulivyosema kuwa kuna usawa wa kijinsia, jambo hilo ni lazima litiliwe mkazo. view
  • 17 Oct 2018 in National Assembly: Vijana ambao wanatoka sehemu kame kama Tana River, kupata ajira hata huku Nairobi, ni shida kwa sababu tunafungiwa nje. Jambo hili linaleta tatizo kwa vijana kusonga mbele. view
  • 17 Oct 2018 in National Assembly: Nasikia kuna tetezi kuwa watu wanasema kiti cha Mwanamke Mwakilishi kitatolewa. Wanawake Wawakilishi ndio wanaangalia vijana hawa angalau wapate ajira. Wakati wanapatiwa miradi, wanaweza kujiajiri wenyewe. Pesa hizo ndio zinaguza maisha ya vijana na akina mama. view
  • 17 Oct 2018 in National Assembly: Naunga mkono. view
  • 9 Oct 2018 in National Assembly: No, Hon. Speaker. view
  • 9 Oct 2018 in National Assembly: Thank you, Hon. Temporary Deputy Speaker. I rise up to support the Report having in mind that human health is very important. I did not visit the place, but when my colleagues went there and even when these guys were summoned and came to the Committee, from the Report they gave us, I saw some risks. The pollution that is happening is very risky to children and even to other human beings. As you heard from the Report, all the particles and chemicals go all the way to Tana River. No wonder of late we have been having cases of ... view
  • 4 Oct 2018 in National Assembly: I will speak to the next one. view
  • 30 Aug 2018 in National Assembly: Hon. Deputy Speaker, I concur with my colleagues. The Muslim kofias are in several designs. So, even that is a Muslim hat in a different design. There is even one that covers a small space, which we call Kitoria at the Coast. It is also a Muslim hat. view
  • 30 Aug 2018 in National Assembly: I do not know the name. It could be a Kitoria in a different design, but I do not know the Moroccan name. Kitoria is a Coast name. view

Comments

(For newest comments first please choose 'Newest' from the 'Discussion' tab below.)
comments powered by Disqus