Abdul Rahim Dawood

Parties & Coalitions

All parliamentary appearances

Entries 41 to 50 of 775.

  • 1 Dec 2021 in National Assembly: Vile vile, katika Uongozi wa Uhuru Kenyatta, National Health Insurance Fund (NHIF) imeweza kulipia wagonjwa zaidi ya laki tano ama zaidi ya watu wakiwa wanafanyiwa oparesheni na hata wakati wa kwenda ng'ambo. Kama sio Rais Uhuru Kenyatta, ni nani? Nimeskia mwenzangu akilalamika kwamba tumeongeza deni. Ni ukweli kuwa deni limeongezwa. Lakini ukimuuliza deni limeongezwa limeenda wapi? Atakuambia hajui ilhali anataka maji, umeme, barabara na kila kitu. Kwani hizo zitatoka bila pesa? Lazima pesa zikopwe ndipo vitu vitengenezwe? Wengine wamesema kuwa mambo ya ufisadi hayakuzungumziwa. Lakini wale ambao wanafaa kuangalia mambo ya ufisadi wanataka kumfunga Director of CriminalInvestigation (DCI) wetu, Bwana ... view
  • 1 Dec 2021 in National Assembly: yakiongelewa kuwa ni tume huru. Ningependa kusema kuwa Judiciary pia ni tume huru au independent Arm jinsi wanasema Kimombo. Watu waachane na Chief Justice wetu, Martha Koome. Wakati huu Chebukati ndiyo analalamika lakini wakati uchaguzi utatupiliwa mbali, atasema hakujua ni nini kiliendelea. Kwa hivyo, ningesema tunampongeza Rais na tutamuunga mkono mpaka mwisho. Wale ambao wanasema hajafanya kazi, wangoje wapate wakati wao. Vile tunasema Mheshimiwa Kibaki alifanya kazi, vile vile Mheshimiwa Uhuru amefanya kazi ya kutosha na tutamuunga mpaka mwisho. Asante, Mhe. Naibu Spika. view
  • 25 Nov 2021 in National Assembly: Hon. Temporary Deputy Speaker, I beg to second. I agree that it is going to give many couples in this country a second chance. I second. view
  • 24 Nov 2021 in National Assembly: Thank you, Hon. Chairman. I support as well with some caution. We should be very careful when doing this reproductive technology where one is unable to choose the sex of the child or by doing genetic modelling. That will make us to create monsters. view
  • 24 Nov 2021 in National Assembly: Hon. Chairman, I support. view
  • 24 Nov 2021 in National Assembly: The electronic version of the Official Hansard Report is for information purposesonly. A certified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor. view
  • 24 Nov 2021 in National Assembly: (North Imenti, JP) Thank you, Hon. Chairman. I agree with Hon. Millie. I support this one. It is what I was talking about. We do not want designer babies in this country. view
  • 24 Nov 2021 in National Assembly: Thank you, Hon. Chairman. view
  • 24 Nov 2021 in National Assembly: The electronic version of the Official Hansard Report is for information purposesonly. A certified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor. view
  • 24 Nov 2021 in National Assembly: Thank you, Hon. Temporary Deputy Chairlady. We need more clarification on this from the Vice-Chair of the Departmental Committee on Health. He says it is the same, but the definition of eggs in the Bill means live human eggs and it does not include eggs in the process of fertilisation. So, can he tell us more on that? When it is a live human, as hon. Shamalla has proposed, does that not include eggs in fertilisation? view

Comments

(For newest comments first please choose 'Newest' from the 'Discussion' tab below.)
comments powered by Disqus