21 Oct 2021 in National Assembly:
Mheshimiwa Naibu Spika, wasiwasi wangu ni lugha isije ikamchenga Waziri atuletee majibu ambayo hayaeleweki. Nilionelea ile ya kuandika iwe ni Kiingereza, lakini niisome kwa Kiswahili ili tuweze kuzungumza na kukitukuza lugha ya Kiswahili; lakini isiwe sababu ya Waziri kutuletea majibu ambayo hayana mwelekeo na za shaghala-baghala.
view
21 Oct 2021 in National Assembly:
Mheshimiwa Naibu Spika, wasiwasi wangu ni lugha isije ikamchenga Waziri atuletee majibu ambayo hayaeleweki. Nilionelea ile ya kuandika iwe ni Kiingereza, lakini niisome kwa Kiswahili ili tuweze kuzungumza na kukitukuza Kiswahili lakini isiwe sababu ya Waziri kutuletea majibu ambayo hayana mwelekeo na ya shaghala-baghala.
view
21 Oct 2021 in National Assembly:
(Off record)
view
21 Oct 2021 in National Assembly:
(Off record)
view
21 Oct 2021 in National Assembly:
Asante sana, Mhe. Naibu Spika wa Muda. Nachukua fursa hii kupeana kongole za dhathi kwa Kamati ya Idara husika. Ndugu yangu, Mhe. Kabinga, amefanya jambo la maana. Ni kweli...
view
21 Oct 2021 in National Assembly:
(Mvita, ODM)
view
21 Oct 2021 in National Assembly:
I had requested to remove it for the purpose of being noted.
view
21 Oct 2021 in National Assembly:
Asante sana, Mhe. Naibu Spika wa Muda. Nilikuwa naelezea kwa kutoa kongole kwanza kwa Kamati. Kila Mjumbe amefanya kazi. Leo ni dhahiri licha ya mambo mengine yote kuwa Bunge limeweka msimamo wake wazi kuhusiana wafanyikazi wanaoleta laticha na mapato katika Kenya hii.
view
21 Oct 2021 in National Assembly:
I had requested to remove it for the purpose of being noted.
view
21 Oct 2021 in National Assembly:
Kulikuwa na mambo mawili. La kwanza, kuna vijana 247 ambao walikuwa wakiajiriwa baada ya kila muda fulani wanapatiwa contract wanaambia waende warejee kwa muda wa miaka kumi. Chini ya sheria Bunge hili liliweka ni kuwa mtu akifanya kazi kwa muda fulani lazima ajiiriwe. Waliamua kuwa hao watu hawafai na wakawatoa. Licha ya hayo hawajatuambia bado tangu wale vijana 247 wavutwe vile wameajiri watu, na waliwajiiri kwa njia gani na kama The electronic version of the Official Hansard Report is for information purposesonly. A certified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor.
view