21 Oct 2021 in National Assembly:
waliomba nafasi kuhusiana na jambo hilo. Lakini, lile la leo ambalo wamesema kwamba hao 247 Kamati imenijulisha ikifika kati kati ya Novemba watakuwa na jawabu. Tutastamilia kama vile walivyostahimili wale wengine.
view
21 Oct 2021 in National Assembly:
Asante sana, Mhe. Naibu Spika wa Muda. Nilikuwa naelezea kwa kutoa kongole kwanza kwa Kamati. Kila Mjumbe amefanya kazi. Leo ni dhahiri licha ya mambo mengine yote kuwa Bunge limeweka msimamo wake wazi kuhusiana wafanyikazi wanaoleta mapato katika Kenya hii.
view
21 Oct 2021 in National Assembly:
Kuhusiana na nyongeza ya mishahara, kama alivoyozungumza Mwenyekiti, hili ni jambo litakuwa mfano na kiegezo chema kwa mashirika mengine. SRC walitoa stakabadhi ambazo hazina mwelekeo wa sheria. Kuna sheria zinapitia kwa Kamati ya Delegated Legislation. Huwezi toa memo ikawa sheria. Leo kwa wafanyikazi wa KPA, nashukuru Mwenyezi Mungu nimefanya jukumu langu kama Mjumbe wao na watalipwa mshahara wao vile inavyositahiki.
view
21 Oct 2021 in National Assembly:
Nikimalizia, kwa unyenyekevu, kwa sababu tulikuwa na Mhe. Mishi na Mhe. Bady na pia hawa ni wale… Nawaambia kwa unyenyekevu wale Wajumbe wengine wanadhani kuwa ukizungumza katika majukua na vibaraza, hawasaidii watu. Unawahadhaa. Sheria zinatengezwa na ukitaka kutetea watu wako ingia katika hili Bunge, kaa vile tunakaa sisi, kauka kama sisi, fanya utafiti wako na soma, lakini usiwe unapaa na kudanganya watu katika vibaraza lakini huwasaidii kwa jambo lolote. Wahudumie watu katika hili Jumba. Hukupigiwa kura uende kupiga ngojera za kisiasa kule nje.
view
21 Oct 2021 in National Assembly:
Kulikuwa na mambo mawili. La kwanza, kuna vijana 247 ambao walikuwa wakiajiriwa baada ya kila muda fulani wanapatiwa contract, wanaambia waende warejee kwa muda wa miaka kumi. Chini ya sheria Bunge hili liliweka ni kuwa mtu akifanya kazi kwa muda fulani lazima aajiriwe. Waliamua kuwa hao watu hawafai na wakawatoa. Licha ya hayo hawajatuambia bado tangu wale vijana 247 wafutwe vile wameajiri watu, na waliwaajiri kwa njia gani na kama The electronic version of the Official Hansard Report is for information purposesonly. A certified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor.
view
21 Oct 2021 in National Assembly:
waliomba nafasi kuhusiana na jambo hilo. Lakini, lile la leo ambalo wamesema ni kwamba hao watu 247 Kamati imenijulisha ikifika kati kati ya Novemba watakuwa na jawabu. Tutastahimili kama vile walivyostahimili wale wengine.
view
21 Oct 2021 in National Assembly:
Asante sana. Naomba kwa unyenyekevu Mhe. Bady na Mhe. Mishi …
view
21 Oct 2021 in National Assembly:
Kuhusiana na nyongeza ya mishahara, kama alivoyozungumza Mwenyekiti, hili ni jambo litakuwa mfano na kiegezo chema kwa mashirika mengine. SRC walitoa stakabadhi ambazo hazina mwelekeo wa sheria. Kuna sheria zinapitia kwa Kamati ya Delegated Legislation. Huwezi toa memo ikawa sheria. Leo kwa wafanyikazi wa KPA, nashukuru Mwenyezi Mungu nimefanya jukumu langu kama Mjumbe wao na watalipwa mshahara wao vile inavyostahiki.
view
21 Oct 2021 in National Assembly:
Nikimalizia, kwa unyenyekevu, kwa sababu tulikuwa na Mhe. Mishi na Mhe. Bady na pia hawa ni wale… Nawaambia kwa unyenyekevu kuwa kuna Wajumbe wengine wanadhani kuwa ukizungumza katika majukwa na vibaraza… hawasaidii watu. Sheria zinatengezwa na ukitaka kutetea watu wako, ingia katika hili Bunge, kaa vile tunakaa sisi, kauka kama sisi, fanya utafiti wako na soma, lakini usiwe unapaa na kudanganya watu katika vibaraza lakini huwasaidii kwa jambo lolote. Wahudumie watu katika hili Jumba. Hukupigiwa kura uende kupiga ngojera za kisiasa kule nje.
view
21 Oct 2021 in National Assembly:
Asante sana.
view