16 Feb 2021 in National Assembly:
Ahsante sana Mhe. Spika. Kupitia Kanuni ya Kudumu Nambari 44 (2) (c), naitisha jawabu kupitia kwa Mwenyekiti wa Kamati ya Usalama kuhusu upigaji risasi uliosababisha kuumia kwa Bw. Sadat Salim Abdallah mwenye umri wa miaka 42, Bw. Fahal Salim Abdallah mwenye umri wa miaka 35 na kuuawa kwa Amur Ahmed Salim, kijana mdogo aliyekuwa na umri wa miaka 24, risasi zilipomiminwa kwenye miili yao. Alhamisi iliyopita, tarehe 11, Sadat, Fahal na Amur walipigwa risasi kadhaa na watu wanaosemekana kuwa polisi katika hali isiyoeleweka. Walikuwa nje ya duka dogo la M-PESA eneo la Kaloleni, Mvita. Yaliyotokea ni kifo cha Amur na ...
view
16 Feb 2021 in National Assembly:
Mhe. Spika, naomba Mwenyekiti wa Kamati ya Usalama atakapozungumza na wizara husika aweze kuwaambia wazi kwamba wakija, wasituambie ilikuwa ni mambo ya wizi kwa sababu duka la M-PESA ambalo liko pale ni dogo sana, na hakuna chochote kilichoibiwa. Kwa hivyo, waje watuambie, kulingana na uchunguzi The electronic version of the Official Hansard Report is for information purposesonly. A certified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor.
view
16 Feb 2021 in National Assembly:
uliofanywa, ni kwa nini walifanya jambo hili. Kama wanatuambia ni masuala yanayohitaji wiki mbili, tutalikubali hilo ili wasiwe na sababu ya kuwa wiki mbili waliitisha na tukataka muda mfupi zaidi.
view
11 Feb 2021 in National Assembly:
Hon. Speaker, pursuant to Standing Order No.44(2)(c), I wish to request for a Statement from the Chairperson of the Departmental Committee on Administration and National Security regarding the demolition of structures in the country and Mombasa County as well. Hon. Speaker, the ongoing demolitions carried out by the Government agencies and other identities are done in the most inhumane ways, usually in the night. Notices are not issued and if issued at all, then it is typically within short periods on less than two to three hours before invasions by the bulldozers and other heavy machinery under the watch of ...

residents economically, their livelihoods and without provision for alternative places for settlements? (iii) What measures the Ministry has put in place to ensure that persons affected during the evictions and demolitions are rightfully compensated, and how much they shall be compensated and by when that should be done? I thank you, Hon. Speaker.

Thank you, very much, Hon. Speaker. I agree with the sentiments by my brother, Hon. Kaluma. However, it is important to note that the issue here is not about who owns the land, it is the way this is actually being conducted. We need to find out whether notice to vacate was given to these people before demolishing places of worship and places where people earn their livelihood. Over and above that, it is important for this House to take notice that similar cases, the Kenya Airports Authority lost a case against squatters who were in the area of South ...

10 Nov 2020 in National Assembly:
Asante sana, Bwana Naibu Spika wa Muda. Historia leo imeweza kuandikwa. Tarehe 6 Agosti 2019, hili jambo lilipoanza, niliweza kuliuliza katika Bunge hili na likaleta sintofahamu na watu wakawa ni wenye kuzungumza ndani ya Bunge na wengine nje ya Bunge. Hatimaye, sheria zinatungwa na kutekelezwa katika Bunge hili. Sisi sote tumeweza kuwajibika na kupigiwa kura kwa sababu ya kutunga zile sheria, sio kwa kupiga porojo mitaani peke yake. Ilipofika tarehe 2 Juni 2020, hii Hoja iliregeshwa tena na nakumbuka niliweza kufuatilia katika Bunge hili na ndugu yangu, Mwenyekiti wa Kamati, akaleta jawabu ambalo sikufurahia. Tarehe 25 Juni 2020 nikaliuliza tena. ...
view