Abdulswamad Sheriff Nassir

Parties & Coalitions

Post

PO BOX 16735, Mombasa, Kenya

Email

asnassir@radiorahma.co.ke

Link

Facebook

Telephone

0722333109

Telephone

0737333109

Link

@Asnassir on Twitter

All parliamentary appearances

Entries 311 to 320 of 1018.

  • 6 Jun 2020 in National Assembly: Mhe. Naibu Spika wa Muda, nilianza kuzungumza …. view
  • 6 Jun 2020 in National Assembly: Mhe. Naibu Spika wa Muda, nadhani tetesi hapa... view
  • 6 Jun 2020 in National Assembly: Ninaomba wenzangu waweze kunisikiza. Kuna hoja mbili ambazo nimeleta. Ya kwanza ni kuhusiana na fedha za National Government – Constituency Development Fund (NG-CDF). Ninavyoona, ninafikiri ni hisia za wenzangu, hiyo ya NG-CDF ningeomba iteremshwe na isiwe katika orodha. view
  • 6 Jun 2020 in National Assembly: The electronic version of the Official Hansard Report is for information purposesonly. A certified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor. view
  • 6 Jun 2020 in National Assembly: Pili, ni jambo kila mmoja wetu analifahamu, nina Imani kwamba hakuna yeyote hapa atakayeweza kukubali Mkenya alipishwe amana ambayo hana hatia yoyote. Nimezungumzia hili kwa lugha inayofahamika. Nikimalizia, ninataka kutoa usisitizo kwa unyenyekevu kama vile anavyozungumza Mhe. Aden Duale kuwa hakuna yeyote katika hili Bunge pamoja na magavana ambaye ana ruhusa ya kusema kwamba, hakuna watu kutembea kuhusiana na lockdown .” Kwa hivyo, nawasihi wenzangu wote tuchunge hali zilivyo.… view
  • 6 Jun 2020 in National Assembly: Asante sana, Mhe. Naibu Spika wa Muda. Nimefahamika kuhusiana na hilo na ningemwomba ndugu yangu, Mhe. Ibrahim Ahmed Abdisalan aniunge mkono kwa jambo hili. Ikiwezekana, Mhe. Naibu Spikawa Muda, kwa ruhusa yako, kwamsimamo… view
  • 4 Jun 2020 in National Assembly: Ahsante sana, Mhe. Spika. Kupitia Kanuni ya Bunge 44(2)(c), naomba taarifa kutoka kwa Mwenyekiti wa Kamati ya Leba na Jamii. Sote tunakubali na tunaifurahia na kuikaribisha mipangilio ya Serikali kuajiri vijana hususan wakati huu mgumu wa Corona. Katika miezi ya Aprili na Mei, vijana takriban 3,500 kutoka Eneo Bunge la Mvita waliajiriwa kupitia mpango almaarufu Hifadhi Mazingira Kazi Mtaani. Kupitia kwa Mwenyekiti wa Kamati ya Leba na Jamii, kwanza Waziri mhusika atueleze kwa nini baadhi ya vijana hawa hawajalipwa. Pili, Wizara imeweka mikakati gani vijana wetu wasichelewe kulipwa na kuteswa ili kufuata haki yao. Tatu, kama Waziri anafahamu kama vijana ... view
  • 4 Jun 2020 in National Assembly: I am glad, Hon. Speaker, that you are teaching him the COVID-19 merits and demerits. view
  • 2 Jun 2020 in National Assembly: Hon. Speaker, I beg to lay the following Paper on the Table of the House: Report on consideration of the Special Audit Report on Procurement of Pre-export Verification of Conformity (PVOC) to Standards Service for used motor vehicles, mobile equipment and used spare parts by the Kenya Bureau of Standards. view
  • 2 Jun 2020 in National Assembly: Thank you, Hon. Speaker. I beg to give notice of the following Motion: THAT, the House adopts the Report on consideration of the Special Audit Report on Procurement of Pre-Export Verification of Conformity to Standards Service for used motor vehicles, mobile equipment and used spare parts by the Kenya Bureau of Standards (KEBS), laid on the Table of the House today, Tuesday, 2nd June 2020. view

Comments

(For newest comments first please choose 'Newest' from the 'Discussion' tab below.)
comments powered by Disqus