6 Jun 2020 in National Assembly:
Asante sana Bw. Spika wa Muda. Marekebisho yangu kama yalivyoweza kuorodheshwa katika Ratiba ya Shughuli ya leo…
view
6 Jun 2020 in National Assembly:
Bw. Spika wa Muda, ningeomba tu, kila wenzangu wakizungumza, kwa kuwa nina dakika tano tu, wanipe nafasi.
view
6 Jun 2020 in National Assembly:
Bw. Spika wa Muda, kuna maswala ambayo ni muhimu sana. Nimeweza kuzungumza na nikataja…
view
6 Jun 2020 in National Assembly:
Ndugu zangu, lugha ya Kiswahili ni lugha yetu. Bw. Spika wa Muda, nitadai dakika zangu. Tayari nimeweza kusema kuwa kama ilivyoorodheshwa…
view
6 Jun 2020 in National Assembly:
Asante. Jambo hili la karantini kama walivyozungumza wenzetu, ndugu yetu Mhesimiwa Junet, Duale na wengineo huwezi kuchukua The electronic version of the Official Hansard Report is for information purposesonly. A certified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor.
view
6 Jun 2020 in National Assembly:
Mkenya ambaye hana hatia yeyote na bila ya kutaka kwake na kumlazimisha kukaa katika karantini. Na baadaye unamwambia alipe Ksh2,000 kwa siku. Kando na hilo, tunazungumza kuwa wale ambao watakaopelekwa karantini, lazima Serikali, kama ilivyo katika nchi zingine zote duniani, watu ambao wanaweza kukaa katika Nyumba zao, waweze kukubaliwa. Hili ni jambo ambalo limezungumziwa na Wizara ya Afya na ambalo tumeweza kulijadili na Serikali za Kaunti. Hivi leo ni aibu yakuwa watu wanazuiliwa kutoka katika zile karantini, kisa na sababu hamna. Mwisho Bw. Spika wa Muda…
view
6 Jun 2020 in National Assembly:
Iko sehemu mbili. Nadhani anafahamu.
view
6 Jun 2020 in National Assembly:
Mhe. Naibu Spika wa Muda, ninaomba dakika zangu ambazo zimechukuliwa, Karani ahakikishe nimezipata ili watu wa Mvita wawakilishwe sawasawa.
view
6 Jun 2020 in National Assembly:
Kwanza, nimezungumza kuhusiana na amana ya karantina. Si sawa Wakenya kuchukuliwa na kuambiwa walipe ile amana. Pili, nimezungumzia wale ambao wako na nafasi ndani ya nyumba zao wakubaliwe kufanya karantina nyumbani mwao. Hilo ni jambo ambalo Wizara ya Afya na serikali za kaunti wamekubali. Ni aibu kwamba Serikali ya Kaunti ya Mombasa imeshatumia zaidi ya Ksh20 milioni kuwalipia watu ambao walikua wamezuiliwa kwenye makazi ya karantina.
view
6 Jun 2020 in National Assembly:
Nawasihi, nawarai na kuwaomba kwa unyenyekevu kila Mkenya anayetusikiza, kama Mhe. Duale alivyosema, wenye kuhusika na mambo ya lockdown na mambo ya cessation ofmovement….
view