6 May 2020 in National Assembly:
Ndugu zangu, lugha ya Kiswahili ni lugha yetu. Bw. Spika wa Muda, nitadai dakika zangu. Tayari nimeweza kusema kuwa kama ilivyoorodheshwa…
view
6 May 2020 in National Assembly:
Asante. Jambo hili la karantini kama walivyozungumza wenzetu, ndugu yetu Mhesimiwa Junet, Duale na wengineo huwezi kuchukua The electronic version of the Official Hansard Report is for information purposesonly. A certified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor.
view
6 May 2020 in National Assembly:
Mkenya ambaye hana hatia yeyote na bila ya kutaka kwake na kumlazimisha kukaa katika karantini. Na baadaye unamwambia alipe Ksh2,000 kwa siku. Kando na hilo, tunazungumza kuwa wale ambao watakaopelekwa karantini, lazima Serikali, kama ilivyo katika nchi zingine zote duniani, watu ambao wanaweza kukaa katika Nyumba zao, waweze kukubaliwa. Hili ni jambo ambalo limezungumziwa na Wizara ya Afya na ambalo tumeweza kulijadili na Serikali za Kaunti. Hivi leo ni aibu yakuwa watu wanazuiliwa kutoka katika zile karantini, kisa na sababu hamna. Mwisho Bw. Spika wa Muda…
view
6 May 2020 in National Assembly:
Iko sehemu mbili. Nadhani anafahamu.
view
6 May 2020 in National Assembly:
Mhe. Naibu Spika wa Muda, ninaomba dakika zangu ambazo zimechukuliwa, Karani ahakikishe nimezipata ili watu wa Mvita wawakilishwe sawasawa.
view
6 May 2020 in National Assembly:
Kwanza, nimezungumza kuhusiana na amana ya karantina. Si sawa Wakenya kuchukuliwa na kuambiwa walipe ile amana. Pili, nimezungumzia wale ambao wako na nafasi ndani ya nyumba zao wakubaliwe kufanya karantina nyumbani mwao. Hilo ni jambo ambalo Wizara ya Afya na serikali za kaunti wamekubali. Ni aibu kwamba Serikali ya Kaunti ya Mombasa imeshatumia zaidi ya Ksh20 milioni kuwalipia watu ambao walikua wamezuiliwa kwenye makazi ya karantina.
view
6 May 2020 in National Assembly:
Nawasihi, nawarai na kuwaomba kwa unyenyekevu kila Mkenya anayetusikiza, kama Mhe. Duale alivyosema, wenye kuhusika na mambo ya lockdown na mambo ya cessation ofmovement….
view
6 May 2020 in National Assembly:
Mhe. Naibu Spika wa Muda, nilianza kuzungumza ….
view
6 May 2020 in National Assembly:
Mhe. Naibu Spika wa Muda, nadhani tetesi hapa...
view
6 May 2020 in National Assembly:
Ninaomba wenzangu waweze kunisikiza. Kuna hoja mbili ambazo nimeleta. Ya kwanza ni kuhusiana na fedha za National Government – Constituency Development Fund (NG-CDF). Ninavyoona, ninafikiri ni hisia za wenzangu, hiyo ya NG-CDF ningeomba iteremshwe na isiwe katika orodha.
view