6 Nov 2019 in National Assembly:
Asante sana, Mhe. Spika. Nataka nijulishe Nyumba hii kwamba Mjumbe ambaye ametumwa na akaleta stakabadhi za wenye kutaka kufanya hiyo konferensi hapa…
view
6 Nov 2019 in National Assembly:
Naomba Kiongozi wa Walio Wengi Bungeni anizikilize.
view
6 Nov 2019 in National Assembly:
Asante sana. Kuna lugha ambayo mmoja alitumia kwamba key population. Miaka minane iliyopita, nilibahatika kwa sababu ya kazi ambayo nilikuwa naifanya dhidi ya wanaotumia madawa ya kulevya na nikapata safari ya kwenda nchi ya India. Nilipofika pale, kati ya wale waliofika huko ni watu wa NACADA. Nakumbuka nikiwapa kauli yangu. Tulipofika pale key population iliozungumziwa, tuliona misago na maghanithi katika sehemu ya India. Kwa hivyo, naomba tusifikirie kamwe kuleta watu ambao nia na madhumuni yao ni kuzungumza mambo ambayo ni ya kushusha hadhi. Watu kutoka nje ya nchi hii kuja kuzungumza mambo ya kipuuzi yenye ni kinyume na sheria ya ...
view
2 Oct 2019 in National Assembly:
Asante, Bwana Spika. Wakati mwingine ulitoa amri ya kuwa kwa vile niko katika Kamati ya Uwekezaji wa Mitaji ya Umma, itakuwa si sawa kuyazungumza yale ambayo yanazungumzwa ndani kabla hayajakithiri zaidi. Naomba nipewe ruhusa kuzungumzia jambo moja tu. Katika Ripoti ya Auditor-General ya 2016/2017 alitaja hili jambo na akasema kuwa hizi pulleys nyingi sana za hizo ferry hazifanyi kazi. Alielekeza ya kuwa hizi ferry ni hatari ambayo iko njiani. Baada ya pale, kuna barua zilizopelekwa kwa Wizara. Kwa sababu ya nyadhifa ambazo Bunge ilinipatia kama Mwenyekiti, sitoweza kuyazungumza sana sasa hivi mpaka niilete ile ripoti. Naomba wenzangu ya kuwa ile ...
view
2 Oct 2019 in National Assembly:
Tumsamehe, Bwana Spika.
view
2 Oct 2019 in National Assembly:
Asante, Bwana Spika. Tayari ilidokezwa kuwa kuna athari kubwa sana ya hizi ferry . Wizara iliambiwa hamna jambo lolote limefanyika. Lile la kusikitisha zaidi ni kuwa, baada ya jambo hili kutokea, mita kadhaa kutoka hapo kuna
view
2 Oct 2019 in National Assembly:
ya Navy . Mita kadhaa kutoka pale kuna base ya Kenya Coast Guard . Lakini yote haya ikijumulishwa, tumeshindwa kuondoa gari moja ambalo kwa kusikitisha, ndani kuna mama anayetoka katika eneo la Mvita na mwanawe. Baada ya siku nne tumeshindwa kutoa gari lile. Jambo hilo linatuuliza swali gumu. Hili jambo limeletwa Bungeni na Mbunge mwenzangu, dadangu Mishi. Pengine angeuliza Kamati inayohusika na mambo haya iulize: Hii nchi The electronic version of the Official Hansard Report is for information purposes only. Acertified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor.
view
2 Oct 2019 in National Assembly:
imeshindwa kuokoa gari moja peke yake? Tutaweza kweli athari kubwa ikitokea katika Kenya hii?
view
1 Oct 2019 in National Assembly:
Thank you, Hon. Speaker. I thank the Vice- Chair of the Departmental Committee on Transport Public Works and Housing Hon. Mosses Kuria. Much as there was a lot of deliberation going on in the House, the genesis of the matter remains. As it stands with the Departmental Committee on Transport, Public Works and Housing, that notice remains suspended until all stakeholders have been engaged on how we are going to go through with this.
view
1 Oct 2019 in National Assembly:
The Vice-Chair has also indicated that he is going to call the coastal leadership. I want to just affirm that, that is not just something that is affecting the coastal communities. It is affecting every single Kenyan and so, it should be open participation for every single part of this country.
view