Aden Bare Duale

Parties & Coalitions

Born

15th June 1967

Post

Parliament Buildings
Parliament Rd.
P.O Box 41842 – 00100
Nairobi, Kenya

Email

hmsk@wananchi.com

Email

adendualle@gmail.com

Link

Facebook

Telephone

0722759866

Link

@HonAdenDuale on Twitter

Aden Bare Duale

Leader of Majority in the National Assembly 2013-2020

All parliamentary appearances

Entries 1051 to 1060 of 17810.

  • 26 Nov 2020 in National Assembly: Mhe. Spika, nikimsikiza dada yangu kutoka huko Suba, Mhe. Millie Odhiambo, alikosea usanifu wa Kiswahili kwa sababu anasema kuwa lile neno Mhe. Olago amelitamka ni neno ambalo linatamkwa na comedian . Nafikiri ingekuwa hoja ukubalie Mhe. Millie Odhiambo alitoe kutoka kwa orodha ya kitabu sahihi cha historia ya Bunge ili miaka ijayo, kumbukumbu ya Bunge hili ikisomwa, isimnukuu vibaya. Ahsante, Bw. Spika. view
  • 26 Nov 2020 in National Assembly: Mhe. Spika, nasimama kwa Hoja ya Nidhamu kwa sababu nilipoingia Bungeni... Afternoon inaitwa nini? view
  • 26 Nov 2020 in National Assembly: Nilipoingia Bungeni alasiri ya leo, nilimpata Mhe. Mjumbe wa Kaunti ya Murang’a akiwa ameketi katika kile kiti changu rasmi. Kwa kuwa ninaheshimu sana viongozi wa kike, ndiposa nikaamua nikae kwenye kiti kilicho karibu. Nataka nikujulishe kuwa nimepata chombo ambacho sielewi katika hiki kiti na hakiko katika viti vingine. view
  • 26 Nov 2020 in National Assembly: Mhe. Spika, sijaiona chombo hiki katika Bunge hili. Nimechungulia viti vya viongozi ambao wako karibu nami na nikapata havina chombo hiki. Kwa hivyo, ningeomba uamuru Karani wa Bunge la Kitaifa achunguze kwa haraka kwa nini kiti hiki kina chombo tofauti na vile viti vingine. Pia naomba utoe amri kuwa Mhe. Sabina Chege aondoke kutoka kwenye kiti changu kwa haraka ili nirudi huko kwa usalama wangu binafsi. view
  • 26 Nov 2020 in National Assembly: Thank you, Hon. Speaker. I join my colleagues in discussion of this Report. For the first time, I can authoritatively say that corruption has led to the death of many Kenyans. Let us call a spade a spade. All of us sitting here have lost our loved ones. We have lost our friends, our constituents and colleagues because of the corruption that took place at the KEMSA. It is also very sad that today, the frontline health workers lack PPEs. They suffer delayed salaries and they do not get their risk allowances. It is very sad. Above all, even in ... view
  • 26 Nov 2020 in National Assembly: The President should not be having a virtual conference with these governors! The President should send his intelligence… view
  • 26 Nov 2020 in National Assembly: The electronic version of the Official Hansard Report is for information purposesonly. A certified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor. view
  • 26 Nov 2020 in National Assembly: Hon. Speaker, just give me one more minute. view
  • 26 Nov 2020 in National Assembly: Hon. Speaker, the President should take his intelligence team to all the counties starting with Garissa where there is not a single bed in the ICU. All the money this House allocated and the National Treasury sent to the counties has gone into people’s pockets. The doctors in Garissa have been on strike the whole of this week. Three or four babies have died. We cannot say it again that this corruption… When I saw Hon. (Dr.) Nyikal crying, I got shocked. He cried because there are many Kenyans who died at their hour of need. Parliament allocated resources, but ... view
  • 19 Nov 2020 in National Assembly: Hon. Speaker, under your leadership, this House is known for introducing reforms, including the Kiswahili version of the Standing Orders which is called Kanuni za Kudumu. You need to give a direction at some stage. With all the respect to Hon. Sossion, there is an aspect of conflict of interest which is stated in the Standing Orders. One, Hon. Sossion has asked a question to a Committee which he belongs to. view

Comments

(For newest comments first please choose 'Newest' from the 'Discussion' tab below.)
comments powered by Disqus