9 Mar 2023 in Senate:
The electronic version of the Senate Hansard Report is for information purposesonly. A certified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor, Senate.
view
9 Mar 2023 in Senate:
Karibu kila pahali Kenya kuna shida maana wakati tulipokuwa chini ya Wakoloni, walinyakua mashamba kila mahali. Pahali walipoona mashamba mazuri, waliyanyakua. Nikizungumzia juu ya Ukambani, kuna Street inaitwa Muindi Mbingu hapa Nairobi. Hao mpaka waleo wanakutana mahali wakidai ng’ombe wao ambao waliuliwa na hao masettlers . Wakati walisettle huko walileta ng’ombe aina ya freshians na wakasema wale ng’ombe wa locals, wote wauliwe kwa sababu wangeambukiza ng’ombe wao magonjwa na kuleta vifo. Kwa hivyo, ng’ombe wote waliokuwa katika maeneo hayo waliuawa. Baadhi ya hao watu walikufa na wengine wako hai. Wengine, wajukuu wao na vitukuu wanaendelea kudai ng’ombe wao. Kwa hivyo, ...
view
8 Mar 2023 in Senate:
Bw. Spika, asante kwa kunipa fursa hii ya kuchangia Ardhilhali hii ambayo imeletwa Seneti na Bw. Philip K.A. Too. Ni jambo la kuhuzunisha sana kuona walimu wetu ambao wanafanya kazi kubwa sana ya kutoa ujinga kwa wanadamu; wanastaafu na hawapati haki yao. Wakati mtu anafanya kazi anatarajia kwamba atakapostaafu atapata marupurupu yake ya kujiendeleza katika maisha ya uzee. Mtu anapofikisha miaka 60 na kustaafu huwa anategemea yale marupurupu yake. Ni ajabu kuona ya kwamba kutoka mwaka wa 1997 mpaka mwaka wa 2007, kuna walimu walistaafu na mpaka sasa hawajalipwa.
view
8 Mar 2023 in Senate:
The electronic version of the Senate Hansard Report is for information purposesonly. A certified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor, Senate.
view
8 Mar 2023 in Senate:
Bw. Spika, ninaunga mkono hii ardhilhali ili walimu hao walipwe marupurupu yao. Ningependa pia kugusia swala la madiwani ambao walistaafu. Ilisemekana kuwa watapewa marupurupu yao ili kujiendeleza. Kutoka wakati mjadala huo uliletwa katika Seneti na Sen.Wambua mpaka leo hakuna jambo lolote ambalo limefanyika. Bw. Spika, ninaomba Rais wetu Bw. William Samoei Ruto, pamoja na Cabinet
view
8 Mar 2023 in Senate:
wa Elimu waangalie suala hili ili walimu na madiwani wale ambao walistaafu wapokee malipo yao. Asante, Bw. Spika, kwa kunipa fursa hii.
view
8 Mar 2023 in Senate:
Thank you, Mr. Speaker, Sir, for the opportunity. I join my colleagues to first congratulate Dr. Susan Koech for her appointment as the Deputy Governor of the Central Bank of Kenya. I am grateful to our President because he has appointed several women in different positions. I am proud of every woman climbing the ladder because for many years, women were left behind. However, recently many women are climbing the ladder. Mr. Speaker, Sir, when Dr. Susan Koech enters that office, she should make women proud by working hard and delivering on the mandate and the honour she has been ...
view
8 Mar 2023 in Senate:
The electronic version of the Senate Hansard Report is for information purposesonly. A certified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor, Senate.
view
8 Mar 2023 in Senate:
I also take this opportunity to congratulate every woman inside and outside this country on this day we are celebrating International Women’s Day. It is an honour for women. Without women, there would be no people in this world because men cannot produce on their own. Women are precious because they have the wombs that carry the seeds given by men. I congratulate all women because they carry seeds and deliver the nations of the world. Mr. Speaker, Sir, I support.
view
8 Mar 2023 in Senate:
Asante, Bw. Spika wa Muda, kwa kunipa fursa hii kuchangia Taarifa hii ambayo imeletwa na Seneta wa Kaunti ya Mombasa. Bw. Spika wa Muda, ni tabia mbaya sana kwa kampuni ya umeme kukata stima katika hospitali za kaunti. Ninakumbuka kwamba katika Kaunti ya Machakos, mwaka uliopita, umeme ulikatwa ilhali kulikuwa na wagonjwa waliokuwa kwa oxygen . Nilipigiwa simu nikaambiwa niende huko hospitalini kwani kulikuwa kumeharibika baada ya stima kukatwa kwa muda wa siku mbili. Mama yule aliaga dunia mara tu nilipofika Kaunti ya Machakos. Kabla sijafika hospitalini, nilimpigia County ExecutiveCommittee Member (CECM) wa Kawi katika Kaunti ya Machakos. Nilimuamurisha kwamba ...
view