All parliamentary appearances
Entries 131 to 140 of 232.
-
4 Mar 2015 in Senate:
Bw. Spika, hiyo ni kwa sababu ya hasira na masikitiko niliyonayo. Hatuwezi kuendelea kuyafungia macho yale mambo ambayo yanafanyika kule mashinani. Huwezi kutoa pesa kwa jamii yako kama baba na hujui inakoenda. Hii ni kama kupeleka pesa kaburini. Asilimia 98.8 ya pesa iliyotengewa Kaunti ya Tana River imeenda kwa mifuko ya watu binafsi. Kifungu cha Sheria 96 kinatupa uwezo wa kutunga na kulinda sheria ilhali tunatunga sheria nyingi hapa Seneti, lakini inatupiliwa mvunguni. Hoja yoyote inayopitishwa katika Seneti hii haitiliwi maanani na Serikali. Corruptionstarts right here! Kamati ya Hazina ya Fedha, Biashara na Bajeti imefanya uchunguzi mwingi ilhali hatujawahi kuona ...
view
-
4 Mar 2015 in Senate:
Bw. Spika, naomba msamaha. Kila MCA alitumia Ksh198,000 kama marupurupu yake kwenda Merekani na Uingereza ilhali wengine wao hawafahamu hata lugha ya Kiswahili na lugha za kigeni. Wakenya wanaumia kutozwa pesa hizo ambazo zinatumiwa na MCAs kutalii nchi za ulaya.
view
-
4 Mar 2015 in Senate:
Asante, Bw. Spika. Naomba---
view
-
4 Mar 2015 in Senate:
Bw. Spika, nitarudia tena yale niliyoyasema. Wajua, mtu akikana yale aliyoyasema, anaweza kukana hata mtoto wake. Mimi nilizungumza na nikamaanisha yale niliyoyasema.
view
-
4 Mar 2015 in Senate:
Bw. Spika, nilisema kwamba ufisadi unatokana na Seneti hii. Hii ni kwa sababu sisi tumeajiriwa na Wakenya ambao wanatupa pesa nyingi. Tumetuma Kamati ichunguze ufisadi kisha wao wanaenda kuonana na Magavana na hakuna ripoti wanayoleta kuhusu mambo yanayo fanyanyika mashinani. Ni Marekani au World Bank inayotuletee habari kuhusu yale yanayotendeka.
view
-
4 Dec 2014 in Senate:
Mr. Temporary Chairman, Sir, the issue of security in Kenya is very paramount and it needs a lot of consideration. What we are discussing concerns police reservists who are locals. These people are supposed to deal with terrorists, bandits and criminals. Therefore, the issue of age is not applicable here. We have elders and youth who are illiterate but can do a good job. The issue of education cannot hinder security operations. We have employed men and women who are educated but they just go to class---
view
-
4 Dec 2014 in Senate:
Yes, because if you do that, you are eliminating some of us from getting this opportunity. Therefore, we still need a further amendment on this.
view
-
7 Aug 2014 in Senate:
Mr. Speaker, Sir, I rise on a matter of national concern regarding security. Last month, there was recruitment of youth to the police service. It is alleged there was corruption in the recruitment. We reported this matter. However, we do not have a way forward on whether this issue was banned or it still continues. I want to get this information from the Committee on National Security and Foreign Relations.
view
-
22 Jul 2014 in Senate:
Mr. Deputy Speaker, Sir, I lost my card. I am using a temporary one and I do not know how to apply for a new one.
view
-
22 Jul 2014 in Senate:
Okay, Sir.
view