All parliamentary appearances
Entries 141 to 150 of 232.
-
22 Jul 2014 in Senate:
Yes, Mr. Deputy Speaker, Sir.
view
-
16 Jul 2014 in National Assembly:
Bw. Spika, nakushukuru kwa kunipa fursa hii. Ningependa kumpongeza Naibu Rais wetu na pia Sen. Musila kwa kuleta Hoja hii. Nafikiri Wakenya wengi wamepata matatizo kwa kukosa kupata vyeti vyao vya shule kwa sababu vyeti hivyo vimetiwa “mbaroni” na waalimu. Hii ni fursa muhimu sana kwa wanafunzi waliokosa vyeti vyao kwa muda mrefu. Kwa hivyo, langu ni shukrani na pongezi kwa Naibu Rais na Serikali ya Jubilee. Asante.
view
-
25 Jun 2014 in Senate:
Thank you, Mr. Temporary Speaker, Sir. First and foremost, before I proceed with my contribution, I want to thank Sen. Mohamud for the timely Motion that she brought. This Motion actually touches me so much. I come from some of the marginalized communities which suffer more. So, this would be one way of eradicating problems in Kenya. We have problems where people are marginalized. The pastoralist communities are the most marginalized. This would be one way of eliminating problems from those communities. Putting up boarding schools in every ward is a fantastic idea which can change the lives of many ...
view
-
24 Jun 2014 in Senate:
Asante, Bw. Naibu Spika, kwa kunipa fursa hii ili nizungumzie jambo hili muhumi katika Kenya hii siku hii ya leo. Mimi binafsi ninavyofikiria ni kwamba viongozi na wananchi wa kawaida nchini Kenya wamekosa uzalendo. Kukosa uzalendo husababisha mtu afanye jambo lisilofaa ndani ya nchi yake. Mkenya akimuua au kumuathiri Mkenya mwingine, huyo si mzalendo. Tumesikia kwamba kule Wajir wananchi wanauana, kule Mpeketoni wananchi wanauliwa, viongozi wanauliwa Mombasa na watu kuuwana ovyo ovyo, lakini hatujaona hatua madhubuti ambayo imechukuliwa hadi sasa. Haya yote ni kwa sababu ya watu fulani kulala kazini. Maseneta, Wabunge, Mawaziri na polisi wote wamelalia kazi zao. Hii ...
view
-
24 Jun 2014 in Senate:
Asante, Bw. Naibu Spika. Nitakueleza kinagaubaga---
view
-
24 Jun 2014 in Senate:
Asante, Bw. Naibu Spika. Hayo yote ni matatizo ya hapa na pale. Wengine wamekosa kazi ya kufanya. Ikiwa mimi nimelalia kazi yangu na sikuweza kufika Mpeketoni na Wajir---
view
-
24 Jun 2014 in Senate:
Bw. Naibu Spika, nikisema “vichwa” ninamaanisha kuwa katika Kenya hii kuna kiongozi ambaye ametoka Tana River na anawakilisha watu wa Tana River. Kuna yule anayetoka Wajir na anawakilisha watu wa Wajir. Kwa nini tusizungumze hata siku moja kuhusu mbinu za kusuluhisha tatizo hili? Kwa hivyo, tusilaumu yeyote yule kwa sababu sisi tulioko uongozini hapa tumelala kazini. Mimi nikiwa mmoja wa wanachama wa Kamati ya Uwiyano na Nafasi Sawa ambayo inafaa kuhakikisha kwamba Wakenya hawadhulumiwi, ninajua kwamba hatujachukua hatua ya kufika kule. Kwa nini tunaruhusu Wakenya wauane? Bw. Naibu Spika, kwa hivyo, Wakenya kuanzia kwa polisi na hata sisi viongozi tumekosa ...
view
-
24 Jun 2014 in Senate:
Bw. Naibu Spika, naunga mkono Hoja hii.
view
-
5 Jun 2014 in Senate:
On a point of order, Mr. Temporary Speaker, Sir. The current speaker says that the Jubilee Government had only one Member. He only counted one person.
view
-
5 Jun 2014 in Senate:
The current Member on the Floor said that he only saw one Jubilee Member, why is he not counting the other Members?
view