Ali Menza Mbogo

Parties & Coalitions

All parliamentary appearances

Entries 231 to 240 of 295.

  • 11 Mar 2020 in National Assembly: Asante sana, Naibu Spika wa Muda, kwa kunipa fursa hii kutoa usemi wangu kuhusu Ripoti zetu za Mahakama. Kusema ukweli, ni jambo la kusikitisha na kutamausha kumwona Rais wa Mahakama Kuu ya Jamhuri ya Kenya akiongea mbele ya wananchi akilalamika anavyonyanyaswa, anavyoonewa na anavyodhulumiwa. Hii haitoi taswira nzuri kwa Jamhuri ya Kenya kwa sababu Rais wa Mahakama ni mtu mkubwa sana katika Jamhuri yetu. Nakumbuka vizuri sana hivi majuzi tulipokuwa na sherehe ya kitaifa ya Mashujaa Day katika Kaunti ya Mombasa. Rais wa Mahakama Kuu alilalamika sana akisema hakutambuliwa wakati alifika katika sherehe kubwa za Serikali kama ile. Ikiwa tunashindwa ... view
  • 11 Mar 2020 in National Assembly: na mahakama yanaonekana katika ulimwengu mzima. Uamuzi uliotolewa na mahakama unasikiza ulimwengu mzima. Ikiwa uamuzi ule hauwezi kutekelezwa, ni kuumanisha kuwa hata wale waekezaji walioko nje ya Jamhuri ya Kenya wanahofia kuja kuekeza katika Jamhuri ya Kenya kwa sababu wanajua kesho wakiwa na shida wapelekwe katika mahakama na uamuzi utolewe, uamuzi ule hautatekelezwa. Jambo hilo linaonyesha picha mbaya sana ya Jamhuri yetu ya Kenya. Kuna kiongozi hapa ameongea, Mjumbe wa kule Bura, akisema kuwa siku hizi, ikifika siku ya Ijumaa, watu wanakamatwa. Inaitwa kamata kamata. Kamata kamata ni kule kushikwa siku ya Ijumaa. Kuna jaji alitoa hukumu juzi akisema hiyo ... view
  • 11 Mar 2020 in National Assembly: Kenyatta kama Rais wa Jamhuri ya Kenya. Ikiwa tulisikiza na kutii uamuzi ule mkubwa ambao ulikuwa ni wa Jamhuri nzima ya Kenya, kwa nini hatuwezi kusikiza haya maamuzi madogo madogo ambayo yanatolewa na kuhakikisha yametimia? Hiyo inaonyesha kuwa hatuko tayari kuitambua Mahakama kama kiungo muhimu. Huwa tunasema kuna viungo vitatu katika Jamhuri ya Kenya lakini kiungo cha Mahakama ni kiungo dhaifu. Kiko tu pale na watu fulani wanakichezea vile wanavyotaka. Lakini umefika wakati ni lazima tukubali kuwa mahakama lazima zisaidiwe na tuhakikishe zimejengwa kila sehemu ya Jamhuri ya Kenya. Leo Mombasa tunajenga mahakama nyingine. Ujenzi wa mahakama ile umesimama kwa ... view
  • 26 Feb 2020 in National Assembly: Thank you Hon. Temporary Deputy Speaker for giving me this opportunity to echo my voice on this extremely important Bill, the National Youth The electronic version of the Official Hansard Report is for information purposes only. Acertified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor. view
  • 26 Feb 2020 in National Assembly: Council (Amendment) Bill. At the outset, I wish to state clearly that I fully support the Bill because it is extremely important. As Members of Parliament, we have to walk the talk. We have had occasions in this same House where we continuously advocate for the youth but after the vetting has been done - like I know, there are quite a number people who have been vetted - you will find that all those who have been appointed are above 61 years old. It is the same House that will confirm them as leaders yet we are here advocating ... view
  • 26 Feb 2020 in National Assembly: The census results were released late last year. The results confirmed that 73 per cent of the population of this country are youth. This clearly confirms that this country is a youthful nation but what are we doing about these youth? What resources have we deployed to ensure that the youth are catered for whatever they want to do? There are issues of medical care. There are also issues of funding to encourage them to venture into businesses but this has not been actualised. The Government came up with so many initiatives to support the youth. They came up with ... view
  • 26 Feb 2020 in National Assembly: We came up with Access to Government Procurement Opportunities (AGPO) initiative whereby the youth of this country can access the Government procurement opportunities. Thirty per cent of Government tenders are supposed to be allocated to youth, women and persons with disabilities but does it happen? The answer is no. If a youth today applies for a tender advertised by, say, the NG-CDF, KeRRA, county government or the national Government and he is awarded the tender, he cannot raise the required capital to do that job. What happens? He or she ends up defaulting in doing that job and eventually it ... view
  • 26 Feb 2020 in National Assembly: Because the youth do not have the resources to do these jobs, rich members of the business communities have started companies which have youth as a face but at the end of the day it is being controlled by the same people. So, our youth will just be given the tender but at the end of the day, they will not realise the full benefit of that tender. It is the person pulling the strings who will take the bigger cut. The youth will end up with, say, 10 per cent of what will be realised. Actually, we are not ... view
  • 26 Feb 2020 in National Assembly: We came up with programmes like Kazi kwa Vijana. Eventually, we saw what happened. It had raised hopes for many youths of this country. You could visit any constituency and find the youth engaged in some activities but corruption came in. Eventually, the whole programme was killed and we left our youth high and dry. This is a time bomb. We cannot be talking of 73 per cent of the population of this country being constituted by the youth and a majority of them are unemployed and we, who have already transited that category, are sitting pretty quiet and assuming ... view
  • 26 Feb 2020 in National Assembly: Madam Temporary Deputy Speaker, this country is not a manufacturing nation. It is an agrarian nation, but we can revitalise it if we focus to empower the youth whereby funding and everything else can be provided to them so that they can start their own businesses. My colleague, Hon. Owen Baya, talked about the youth business leaders like what is happening in the United States of America (USA). These are the things that need to be initiated and actualised because we know that this country does not have proper plans. In fact, we do not have oil in this country. ... view

Comments

(For newest comments first please choose 'Newest' from the 'Discussion' tab below.)
comments powered by Disqus