2 Oct 2019 in National Assembly:
Mhe. Naibu Spika wa Muda, asante sana kwa kunipatia nafasi hii niweze kuchangia huu mkasa uliotokea katika eneo letu la Mombasa, Kaunti ya Mombasa.
view
2 Oct 2019 in National Assembly:
Kwanza, ninatoa pole zangu kwa jamii ya marehemu Mariam na mtoto Amanda na kujulisha Bunge hili, ijapokuwa walifariki katika kivuko cha Likoni, ni wakazi kutoka eneo la Bunge langu la Kisauni na hivi tunavyozungumza, tumeanza mipango ya kuchanga pesa katika kusaidia mazishi. Kwa hivyo, ninaomba Wabunge wenzangu pia tuweze kusaidiana kwa njia moja au nyingine. Wale wataweza kuchanga, tutashukuru zaidi ili tuweze kufikisha msaada ule kwa jamii ambayo imepata mkasa huu.
view
2 Oct 2019 in National Assembly:
Kwanza kabisa, hili ni janga la kitaifa. Ni janga ambalo limeonyesha udhaifu mkubwa kwa taifa la Kenya. Ni aibu ikiwa mkasa huu ulitokea siku ya Jumapili jioni na mpaka leo, mili haijatolewa. Jumapili ilikuwa ni tarehe 29 mwezi wa tisa, leo tumefika tarehe mbili mwezi wa kumi, siku tatu, na mpaka sasa tunavoongea, hakuna kitu ambacho kimepatikana. Imetuonyesha udhaifu kuwa kama taifa hatuko tayari kupambana na majanga kama haya. Ijapokuwa wakati tokeo la kihuni la wale magaidi litakapotokea katika sehemu hiyo, tutaona vitengo vya usalama vinavyohusika kupambana na magaidi vinavyojitahidi. Lakini leo, jeshi letu la wanamaji limeonyesha udhaifu mkubwa. Wamefundishwa ...
view
2 Oct 2019 in National Assembly:
hilo? Hatuko tayari. Hii imetuonyesha tuko na kazi ya kufanya na kama taifa ni lazima watu wawajibike. Ningekuwa Waziri anayehusika na maswala ya usafiri ningekuwa nimewacha kazi kuonyesha imenishinda. Mkurungezi mkuu wa Kenya Ferry, Bw. Bakari Gowa angekuwa tayari ameenda nyumbani na yuko korokoroni. Haya ndio mambo yanayofanyika katika nchi zilizoendelea. Maisha ya Mkenya mmoja ni sawa na kupoteza umma mzima. Huyu ni mama na mtoto wake. Ukiangalia mwaka wa 1994 katika kivuko cha Mtongwe tulipoteza maisha ya Wakenya 272, na kivukio kile kiko mita 40 kutoka kambi ya wanajeshi wa maji. Hiyo feri ilikuwa imebeba watu 400. Watu 128 ...
view
2 Jul 2019 in National Assembly:
On a point of order, Hon. Temporary Deputy Chairlady.
view
2 Jul 2019 in National Assembly:
Thank you, Hon. Temporary Deputy Chairlady. I seek your guidance on the Report that was tabled by the Departmental Committee on Transport, Public Works and Housing. Is the House in order to debate it? It was only signed by nine Members and yet the quorum is 11 Members. Is it in order for this House to debate it? I have the Report.
view
2 Jul 2019 in National Assembly:
I agree with you, Hon. Temporary Deputy Chairlady. But the Presidential Memorandum is based on this Report that was tabled last week on 26th June, 2019 by Hon. Tobiko. The Report was only signed by nine Members. The Standing Orders are clear.
view
27 Jun 2019 in National Assembly:
Thank you, Hon. Speaker for giving me this opportunity to ask Question No. 303/2019 to the Cabinet Secretary for Interior and Coordination of National Government. (i) Is the Cabinet Secretary aware that since 2009, Shimo La Tewa Maximum Prison, Shimo Borstal Prison, Mombasa Remand and Shimo La Tewa Medium Prison have not paid their suppliers for goods procured? (ii) When will the said suppliers be paid?
view
27 Jun 2019 in National Assembly:
Yes, since 2009. In fact, the bill amounts to Kshs1.3 billion.
view
13 Mar 2019 in National Assembly:
Thank you, Hon. Temporary Deputy Speaker, for giving me this opportunity to contribute to this important Motion brought to the House by my sister, Hon. Ruweida. This Motion is very timely because as MPs we are facing these issues on a daily basis. Every week, we are invited to many fundraisings to solicit and raise funds to cater for medical bills for our constituents. So it is important for us as a House to come up with policies that will support and encourage our people to develop better cultures to support them in their habits. If you look at diabetes, ...
view