All parliamentary appearances
Entries 331 to 340 of 612.
-
18 May 2017 in National Assembly:
Ndio, Mhe. Naibu Spika wa Muda.
view
-
18 May 2017 in National Assembly:
Mhe. Naibu Spika wa Muda, nimesema tatizo sio idadi. Tatizo ni mchakato. Kwa mchakato, Wakenya 41 walipoomba nafasi, utawanyamazisha vipi na kuleta majina manne? Wakati muungano wa vyama vya Jubilee umepewa nafasi tano, kwa kila nafasi umeleta nafasi tatu ili Bunge lifanye uchaguzi. Ukileta majina manne, hiyo ni uteuzi ama uchaguzi? Na ukizoea kudhulumu Wakenya, usilazimishe Bunge likuunge mkono katika dhuluma zako. Wengine wanasema tunatumia nambari kudhulumu upande wa CORD. Kama tungedhulumu upande wa CORD, hatungepeana muda zaidi. Ukiangalia pendekezo la tano, limepeana nafasi kwa CORD kuleta majina masaba zaidi. Kama ni tyranny of numbers vile wanavyosema, kweli tungewapatia nafasi ...

imefanya haki. Kamati imeambia CORD kwa sababu imeleta majina matano, leteni majina mengine masaba wawe 12. Utakapoleta majina hayo katika Bunge, Bunge litaweza kuchagua majina kadhaa. Usitupee majina ya watoto ambao baba yao ni mwaniaji mwenza. Wako Wakenya wengine ambao wana haki. Walete hapa tuwachague. Sisi hatuko hapa kufanya uteuzi. Tuko hapa kufanya uchaguzi.

Asante Mhe. Naibu Spika wa Muda. Bunge ni Bunge. Wale Wabunge wanaenda Afrika Mashariki kuwakilisha Wakenya, hawaendi huko kama CORD ama Jubilee. Wakati unaweka mikakati ya kudhulumu watu wako ndio waandike barua kwa chama wakisema chama kinawadhulumu, sisi kama Kamati hatutaunga mkono dhuluma ya vyama. Hili ni Bunge na Bunge haliko hapa kufanya uteuzi. Ukisoma kanuni ya Afrika Mashariki, utaona inasema Bunge ifanye uchaguzi na isifanye uteuzi. Kwa hayo machache, ninaunga mkono Ripoti ambayo iko mbele yetu. Asante.

22 Feb 2017 in National Assembly:
Ahsante Mhe. Naibu Spika wa Muda, na kongole kwa kuchaguliwa kuwa Naibu Spika wa Muda. Kama wenzangu, ningependa kuchukua fursa kumpongeza Mhe. Sang. Licha ya ugumu wa nyakati tulioko za kufanya uchaguzi, yeye ameweza kuleta Mswada ambao nina imani utakapopita, utatatua matatizo yanayokumba sekta ya afya katika nchi hii. Maafisa wa kliniki wa Kenya katika nchi ya Kenya wana wajibu mkubwa sana. Mimi natoka katika sehemu kame ya Kenya; sehemu ambayo ni nadra kupata madaktari. Mengi ya matatizo ya kiafya yanayowakumba watu wetu yanashughulikiwa na maafisa wa kliniki wa Kenya. Kwa hivyo, sisi kuunda taasisi itakayowasajili, itakayoweka nidhamu, itakayowapa uwezo ...
view
-
22 Feb 2017 in National Assembly:
ya 1965 iligawanya Taifa la Kenya katika mapote mawili. Pote ya sehemu za rotuba na pote moja ya sehemu ya Kenya isiokuwa na rotuba. Sehemu za Kenya isiokuwa na rotuba ni kama Tana River, Mandera na Wajir. Katika sehemu hizo, yule daktari wa hakika utakayepewa katika hizo kaunti zamani alikuwa anitwa Medical Officer of Health (MOH). Kwa hakika, utapata huyo. Huna hakika ya kupata daktari wa pili. Wale wako na maafisa wa kliniki wa Kenya. Hawawezi kutekeleza wajibu wao kwa sababu sheria haiwaruhusu. The electronic version of the Official Hansard Report is for information purposesonly. A certified version of this ...
view
-
22 Feb 2017 in National Assembly:
Sheria ambayo tunajadili leo inawapa uhuru na uwezo wa kisheria waweze kutatua matatizo ya matibabu yanayokumba Wakenya. Mhe. Naibu Spika wa Muda, tunazungumza juu ya mafunzo na usajili wa maafisa wa kliniki. Hapa tumepewa aina ya matatizo wanayoweza kutatua ili waweze kufungua mahospitali yao ya kibinafsi ili waweze kuhudumia Wakenya. Kiwango ambacho wamefika wako na ujuzi na wanaweza kuwahudumia Wakenya katika hicho kiwango chao. Sio lazima daktari awepo mtu anapougua malaria na homa ya kawaida, lakini ni lazima mtu atafute mtaalamu wa kutibu magonjwa hayo. Nimesimama kumuunga mkono Mhe. Sang kwa kazi nzuri aliyofanya na kuleta pendekezo hili la sheria ...
view