Ali Wario

Parties & Coalitions

Born

5th May 1970

Post

P. O. Box 10 Bura, Tana

Email

warioali@yahoo.com

Telephone

0721398361

Telephone

0725206089

All parliamentary appearances

Entries 341 to 350 of 612.

  • 26 Jan 2017 in National Assembly: Mheshimiwa Naibu Spika wa Muda, Mwenyekiti anaunga huu Mswada mkono au anaupinga? Ni kwa sababu simuelewi. view

  • 26 Jan 2017 in National Assembly: Asante sana, Mhe. Naibu Spika wa Muda kwa kunipa fursa hii. Hapo awali, Mwenyekiti wa Kamati alizungumza lakini sikumwelewa na sio kwa sababu alizungumza kimombo lakini anawezaje leta Mswada hapa tuupitishe ndio aurekebishe baadaye? Sitakuelewa leo wala kesho. Inakuwaje Mwenyekiti wa Kamati anasema kuwa kifungu fulani cha sheria hii ni kibaya na kifungu kingine ni kizuri? Kwa nini hakurekebisha Mswada huu kabla ya kuleta Bungeni? Kwa mujibu wa Katiba ya Kenya, Kifungu cha Saba na Kanuni ya Bunge Kipengele cha 77, Kiswahili ni lugha ya taifa. Vile vile, Kiswahili ni lugha rasmi Bungeni. view

  • 26 Jan 2017 in National Assembly: Ndiposa nimechukua Kipengele cha Saba na Kanuni 77 ya Bunge la Kenya kwamba Kiswahili ni lugha rasmi na ni lugha ya taifa na mimi ninajivunia. Kwa wale wanaodhani ni ujinga, samahani. Mhe. Naibu Spika wa Muda, chimbuko la ubinafsishaji limetoka wapi? Miaka ya 90 taifa la Kenya lilikuwa maskini. Tulikuwa waombaji. Rais alikuwa anachukua kikapu kwenda kuomba Benki ya Dunia. Waziri wa Fedha alikuwa anaenda na bakuli kwenda kuomba Benki ya Dunia. Wale wenye senti hiyo wakatoa masharti yaitwayo kwa lugha ya Kimombo, structural adjustments programmes. Hilo ndilo chimbuko la ubinafsishaji. Kumetokea tukio. Mzungu kaja na mkoba na akatushawishi tuuze ... view

  • 26 Jan 2017 in National Assembly: Kwa hayo machache, Mswada huu ni mbaya. Nimesimama kuupinga. Asante, Mhe. Naibu Spika wa Muda. view

  • 2 Aug 2016 in National Assembly: Ahsante, Mhe. Spika. Ninamatatizo mawili na tetesi iloyoletwa mbele yako na Mhe. Mwadime. Kwanza, inafaa ibainike na Wakenya kwamba asilimia 90 ya mbuga za wanyamapori ziko katika sehemu za wafugaji. Pili, kuna sheria katika Kenya ambayo inasema ukipatikana ndani ya mbuga ya wanyamapori utatozwa faini au ufungwe jela kwa muda fulani. Sasa kama sheria hiyo tayari inatekelezwa, tetesi hii itatatua nini leo? Kazi anayotaka kufanya The electronic version of the Official Hansard Report is for information purposesonly. A certified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor. view
  • 2 Aug 2016 in National Assembly: Mhe.Mwadime imefanywa kupitia sheria hiyo. Hata ukipatikana ndani ya mbuga ya wanyamapori, utashtakiwa kisha utozwe faini ama ufungwe gerezani. Kuna sheria tayari. Ni nini mpya Mhe. Mwadime anatuambia katika hii Petition ? Pili, sehemu nyingi za national parks ziko katika sehemu ya wafugaji. Inafaa tutafute njia mwafaka kama hiyo sheria haitoshi kutatua matatizo hayo. Hii Petition haileti mambo mapya kwa hili Bunge leo. Ahsante Mhe. Spika. view

Comments

(For newest comments first please choose 'Newest' from the 'Discussion' tab below.)
comments powered by Disqus