All parliamentary appearances
Entries 361 to 370 of 612.
-
14 Apr 2016 in National Assembly:
Rais wa Taifa la Kenya amekumbwa na changamoto kwa sababu ya fitina na uongo. Ni Rais wa pekee katika historia ya dunia kusimama mbele ya korti, kwa sababu anaheshimu na anataka kutekeleza sheria. Hii ndiyo sababu ameenda Hague kama Rais na akashitakiwa. Miaka hiyo yote hakuweza kutekeleza wajibu wake kama Rais. Ni kortini asubuhi, jioni na fitina ndogo ndogo. Licha ya changamoto kama hizi, angalia taifa la Kenya leo. Angalia karakana. Wakizungumzia juu ya reli ya taifa, angalia mradi wa SGR. Hii pekee inakupa habari, Rais Uhuru Kenyatta ana ndoto gani kwa Taifa la Kenya? Anaelekea wapi na baada ya ...
view
-
14 Apr 2016 in National Assembly:
Mimi ninatoka katika sehemu kame ya taifa la Kenya. Ni mara ya kwanza tangu Mungu aumbe hii dunia na alete Mtume Adamu sitima kuwekwa kwa nyumba ya nyasi katika Tana River.
view
-
14 Apr 2016 in National Assembly:
Ninazungumza kutoka ndani ya moyo wangu kwa sababu ni tukio lililotokea katika eneo bunge langu. Nyumba ya nyasi mara ya kwanza imepata umeme. Chongo haambiwi tazama. Kama huna macho ni bahati mbaya kwa sababu hata miwani haitakusaidia. Angalia maswala ya usalama. Alipopata hatamu ya uongozi babake Rais Uhuru Kenyatta alikuwa na changamoto tatu kubwa. Ya ujinga, ya umasikini na ya maradhi. Leo angefufuliwa Hayati Kenyatta na kutawala Kenya, atapata changamoto ya ufisadi na usalama. Matatizo ya ughaidi na usalama si matatizo yanayokumba taifa la Kenya pekee. Ni matatizo ambayo yanakumba ulimwengu wote. Inafaa mataifa yajumuike pamoja ili yaweze kushinda hawa ...
view
-
14 Apr 2016 in National Assembly:
Ukiwa ndani ya nchi unasema “Oooh nimefurahi kesi ya Mheshimiwa Ruto imetupiliwa mbali” lakini unapotoka nje ya Kenya unasema “Oooh nimesikitika kesi ya Mheshimiwa Ruto imetupiliwa mbali”. Kwani hatukuoni ukiwa huko? Kenya inataka kiongozi atakayesimama kwa ukweli, na kama ni mbaya ni mbaya na kama ni chema ni chema. Leo unamuunga mkono Mheshimiwa Ruto na kesho unamkashifu! Kabla sijamaliza, nimesikia wakulima wa kahawa wamesamehewa na hawatalipa madeni yao. Nilikuwa ninasikiliza kwamba deni la wakulima wa Bura limesamehewa. Ninafikiri Rais alisahau na ningependa kumukumbusha. Makabila si 42. Ninataka taifa lijue kwamba kuna kabila la Munyoya na Malakote.
view
-
12 Apr 2016 in National Assembly:
Ahsante sana Mheshimiwa Spika, kwa kunipa fursa hii. Nimesimama kuomba mwongozo kutoka kwako. Alhamisi tarehe 31 Aprili, 2016, kulikuwa na maandamano yaliyofanyika ndani ya Bunge hili. Kwa masikitiko makubwa, miongoni mwa walioandamana ni mwanachama wa Kamati ya Spika. Bunge kama taasisi ina mila, desturi na kanuni. Nasikitika nikiuliza swala hili kwa sababu watoto wetu siku za usoni watakuwa Wabunge pia. Je, ni sawa kwa mwanachama wa Kamati ya Spika kuongoza maandamano ndani ya Bunge? Kama si sawa, hatua gani inayostahili kuchukuliwa kwa mwanachama wa Kamati ya Spika aliyeongoza maandamo ndani ya Bunge? Kama ni sawa, je, atakapokaa hapo unapokaa, ni ...
view
-
12 Apr 2016 in National Assembly:
Nasimama kuomba mwongozo ili taasisi ya Bunge irudishe ile heshima iliyokuwa nayo. Ahsante.
view
-
16 Mar 2016 in National Assembly:
Not on this.
view
-
16 Mar 2016 in National Assembly:
The electronic version of the Official Hansard Report is for information purposesonly. A certified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor.
view
-
16 Mar 2016 in National Assembly:
Hon. Temporary Deputy Chairlady, I beg to move:- THAT, the Bill be amended by deleting Clause 33 and substituting therefor the following new clause— Variation of 33. (1) Any person may petition the National Assembly or the boundaries or Senate, for the variation of the boundaries of a public forest or the revocation of public forests. revocation of the registration of a public forest or a portion of a
view
-
16 Mar 2016 in National Assembly:
public forest.
view