All parliamentary appearances
Entries 481 to 490 of 612.
-
29 Oct 2013 in National Assembly:
Hon. Speaker, if you read page 8, recommendation number one is that the Committee advises the Government not to pay. Adjudicating conflicts between Kenyans, I believe, is purely the role of the courts and that Committee is not the court. That is not the role of this House. I, therefore, beg to ask you to see that this thing is sub judice and The electronic version of the Official Hansard Report is for information purposesonly. A certified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor.
view
-
29 Oct 2013 in National Assembly:
is not correctly before this House. The Committee should wait for the ruling of the Court of Appeal and then come up with its investigations and recommendations after the ruling of the Court of Appeal. Read page 19, the Committee has confirmed that. They recommended in recommendation 19(e) that the Attorney-General should come in and support the National Cereals and Produce Board (NCPB) in the Court of Appeal.
view
-
29 Oct 2013 in National Assembly:
So, hon. Speaker, Sir, we should not take this House for a ride. We cannot justify an illegality done by Parliament. We are Members of Parliament. We have sworn to protect the Constitution. Thank you, hon. Speaker, Sir.
view
-
23 Oct 2013 in National Assembly:
On a point of order, hon. Deputy Speaker. For clarity, Article 132(4) talks about the establishment of a new office. Is the Office of the Chief of Staff and Head of Public Service new or it is an existing office? That is what I want to know. This is because Article 132(4) talks about a new office which is not in the Constitution.
view
-
26 Sep 2013 in National Assembly:
Mhe. Naibu wa Spika, mhe. Olago hana miwani leo. Ndiyo sababu hanioni vizuri. Anapaswa kupewa miwani.
view
-
5 Sep 2013 in National Assembly:
Asante Mhe. Spika. Nachukua fursa hii kumshukuru Mwenyezi Mungu aliyeleta Ronald Ngala kutoka pwani, akaleta Jomo Kenyatta kutoka Gatundu na akaleta Jaramogi Odinga kutoka Nyanza ili watunasuwe kutoka kwa nyororo ya ukoloni. Namwomba Mungu huyo aweze kutuleta pamoja ili tujinasuwe kutokana na nyororo ya ukoloni mambo leo. Mhe. Spika, Katiba ya nchi, kifungu cha kwanza, kipengele cha pili kinanipa uwezo na mamlaka ya kuzungumza juu ya sheria yoyote katika nchi ya Kenya. Mimi ni mwakilishi wa wananchi. Kifungu cha nne cha Katiba ya Kenya kinasema kwamba Kenya ni taifa huru. Mtoto wa darasa la nane atajiuliza, ikiwa Kenya ni taifa ...
view
-
5 Sep 2013 in National Assembly:
Mhe. Spika, nimesoma katiba ya nchi, kipengele cha kwanza hadi 264. Sikuona kifungu hata kimoja kinasema Rais akifanya makosa, ashtakiwe nje. Nitatoa changamoto kwa mwanasheria yeyote aniambie kutoka kipengele cha kwanza hadi 264 ni wapi sheria ya Kenya imesema Rais ashtakiwe nje. Ninavyoonelea, hivi ni vita vya kiuchumi. Hii ni kwa sababu Serikali ya Jubilee ina ndoto ya kuboresha uchumi. Leo wataondoa Rais and naibu wake ili uchumi wa Kenya usambaratike. Ninaona hivi ni vita ya kijamii kwa sababu baada ya vita vya 2007, watu wa Mkoa wa Kati na Bonde la Ufa walishirikiana na kuunda serikali. Wazungu wanasema choices ...
view
-
5 Sep 2013 in National Assembly:
Mhe. Spika, tukiwa viongozi wa nchi hii, hatutakubali dhuluma inayoendelea. Katika kesi ya Lubanga, tuliambiwa kwamba Lubanga hana hatia aende nyumbani. Baadaye kidogo, tukaambiwa Lubanga ana hatia na angefaa afungwe. Je, hii ni kesi ya sheria ama ni ya siasa? Juzi tuliambiwa Mhe. Ruto ahudhurie kesi wiki mbili na atawale wiki mbili. Baada ya majadiliano kidogo, tukasikia Ruto hafai kwenda nyumbani. Sione sheria hapa. Kama ICC ingekuwa na sheria, mauaji yanayoendelea Syria leo hayangekuwepo. Watu wanauawa kwa maelefu. Fatou Bensouda angekuwa huko. Kama ICC inatekeleza sheria ulimwenguni, ile dhuluma iliyotokea Libya, Fatou Bensouda angekuwa huko. Leo Obama anatuambia Kenya---
view
-
5 Sep 2013 in National Assembly:
Mhe. Spika, kabla sijavurugwa nilikuwa ninasema Obama ametoa amri kwamba lazima Kenya ishirikiane na ICC. Kabla hujaongoza Kenya, kwanza jisajili kama mwanachama wa ICC ndiyo tuheshimu ICC. Mwisho, Fatou Bensouda alipokuja Kenya alibahatika kwenda kwa kambi ya IDPs. Huko aliulizwa swali moja: Nyumba zetu zimechomwa na tumepoteza mali, je mashahidi wako ni nani na sisi tuko hapa? Hili ni thibitisho kwamba mashahidi wa ICC wamepikwa, wakaiva na wakapelekwa kule. Ili Kenya isidhulumiwe zaidi ya hapa, ningeomba tupitisha hii Hoja, tujiondoe kwa ICC. Ahsante mhe. Spika.
view
-
17 Jul 2013 in National Assembly:
Thank you, hon. Temporary Deputy Speaker. May I take this opportunity to thank all the hon. Members who have contributed in support of this Motion and apologise to some of my colleagues who had asked me to donate part of my time to them. The time is not enough. I sincerely apologise. Hon. Temporary Deputy Speaker, the flood menace is not a Tana River specific problem. It is unique in Tana River because of the population of the river-dependent communities. Those people, whose lives and livelihoods are destroyed year in, year out, have nowhere to turn to. We have the ...
view