Ali Wario

Parties & Coalitions

Born

5th May 1970

Post

P. O. Box 10 Bura, Tana

Email

warioali@yahoo.com

Telephone

0721398361

Telephone

0725206089

All parliamentary appearances

Entries 531 to 540 of 612.

  • 7 May 2013 in National Assembly: Thank you, hon. Deputy Speaker for giving me this opportunity to contribute and support this Motion. The common characteristics between a rich and a poor pastoralist is the degree of vulnerability. The recurrent drought, floods and conflicts have weakened and threatened the coping mechanism and resilience base of the pastoralist communities. You can wake up a rich man and the next day, you are poor because of simple animal diseases, conflicts, drought or floods. As a House and view
  • 30 Apr 2013 in National Assembly: Mheshimiwa Spika, Kipengele 86 cha Kanuni za Bunge kinamkataza Mbunge yeyote kuzungumza juu ya suala lililopangwa kuwa mbele ya Kamati. Kipengele hiki kinawazuia Wabunge kuzungumzia kile ambacho kitajadiliwa na wanakamati. Tunayo kamati iliyochaguliwa nayo itazungumza juu ya Mawaziri wateule. Haya tunayozungumza hapa ni mazungumzo ya hiyo Kamati. Naomba kipengele hicho kiongoze ushauri wetu. view
  • 24 Apr 2013 in National Assembly: Mhe. Spika, nachukua fursa hii kumshukuru Mwenyezi Mungu. Nakushukuru wewe pia. Natoa kongole kwako na kwa naibu wako. Lakini kwa vile uko hapo leo, wacha niseme kongole kwako kwanza. Mhe.Spika, nachukua fursa hii kumpongeza Mhe. Koinange kwa kufikiria na kulete Hoja kama hii. Lakini mimi nina tatizo na Hoja hii vile ilivyoandikwa. Ni muhimu kuanzisha matibabu ya dharura kwa Wakenya, hasa wale wanaotoka katika sehemu kame katika nchi hii. Lakini matibabu ya dharura yanaambatana na vitu viwili. Moja ni uchukuzi. Kuna uchukuzi wa ubinafsi na uchukuzi wa umma. Uchukuzi wa umma unaopatikana katika matibabu ya dharura ni ambulensi zinazotolewa naSerikali. ... view
  • 24 Apr 2013 in National Assembly: Mhe.Spika, hiki kidude nikama kimeletwa kutoka Korea. Mtu mrefu kama mimi ni lazima ainame sana. Sijui warefu kama mimi tutapata fursa vipi tupate vyombo ambavyo vitatoa sauti yetu bila kuinama. Nikirudi kwa Hoja, kinachokosekana ni bima ya kitaifa. Bima ambayo kila Mkenya, popote alipo, akiwa mashambani au mji mkuu ataipata. Serikali itakapotoa bima hiyo, itatoa kwa uchukuzi na matibabu. Lakini hivi hivi, hoja hii haiwezi ikatekelezwa. Ndiyo ni ya kimsingi na ni ya haki ya kikatiba, lakini haki hiyo haina mbinu ya vile tutaitekeleza. Kwa hayo machache, nasikitika kuipinga. Ahsante. view
  • 17 Apr 2013 in National Assembly: Bi Naibu Spika, ningependa kumshukuru Mungu kwa kunijalia kuwa mwakilishi wa watu wa Bura. Nachukua nafasi niseme kongole kwako na pia kwa Spika wa Bunge, Rais na Naibu wa Rais mliochaguliwa katika nyadhifa mpya katika nchi ya Kenya. Nikizungumzia juu ya Hotuba ya Rais inaotoa mwangaza juu ya sera ya Serikali yake, Rais amegusia swala la ufisadi na uwazi. Kama Bunge tuna furaha kumuunga mkono kumsaidia kupambana na ufisadi. Swali ni kwamba, vipi tutafaulu katika hivi vita? Mashirika ambayo si ya kiserikali na ya kiserikali yameungana mkono kudhalilisha waajibu wa Bunge katika nchi ya Kenya. Iwapo Bunge haliwezi kufanya kazi ... view

  • 17 Apr 2013 in National Assembly: ya 1973 inayosema kuhusu watoto wa wafugaji. Ningemwomba asome KoechReport ya 1990s inayosema kuhusu watoto wa wafugaji. Ningemwomba asome Report ya UNDP. Mtoto wa mfugaji hali yake ya elimu--- view

  • 19 Sep 2007 in National Assembly: Asante, Bw. Naibu Spika kwa fursa hii. Namshukuru Mwenyezi Mungu na ninawaambia Wakenya waombe Mwenyezi Mungu ili awaepushe na gharika na jangwa la kiasili. Nasema hivyo kwa sababu sio chuo au Wizara yenye uwezo wa kushughulikia gharika au jangwa la kiasili. Kwa nini nasema haya? Kimbunga cha Katrina kilipogonga nchi ya Amerika, licha ya kuwa nchi hiyo ni view
  • 19 Sep 2007 in National Assembly: , walikutwa katika hali ya kutojiweza. Sio nchi, wizara au halimashauri ambayo ina uwezo wa kutatua matatizo ya jangwa la kiasili. Hata hivyo, juhudi za Shirika la Msalaba Mwekundu ni nzuri. Wameg'ang'ana mara nyingi kunapotokea kwa dharura gharika ya kiasili. Mara nyingi wamefika mahali hapo na kusaidia Wakenya. Wanastahili kupongezwa. Bw. Naibu Spika, juzi kumetokea mafuriko. Wakati huo, maswala yanayohusiana na September 19, 2007 PARLIAMENTARY DEBATES 4015 jangwa yalikuwa katika Wizara yetu. Tulikimbia kwenda kuokoa maisha ya watu. Tulipofika mahali ambapo mzee fulani aliyekuwa na mbuzi - alituambia: "Iwapo nyinyi mmekuja na helikopta na hamtambeba mbuzi wangu, mniache nife hapa." ... view

Comments

(For newest comments first please choose 'Newest' from the 'Discussion' tab below.)
comments powered by Disqus