All parliamentary appearances
Entries 511 to 520 of 612.
-
28 May 2013 in National Assembly:
Ahsante mhe. Naibu Spika. Kifungu cha 94 (5) kinasema hivi:- Hakuna mtu, chuo au taasisi ambayo itatunga sheria bila kupewa fursa ya Kikatiba na Bunge hili. Sasa mimi nauliza: Kwani hii Tume ya Sarah Serem imetoa mamlaka hiyo wapi? Kifungu 41 cha Katiba kinasema: Kila mfanya kazi apewe huduma, aki na usawa.
view
-
28 May 2013 in National Assembly:
Naibu Spika, nilikuwa katika Bunge la Tisa na najua mshahara wangu ulikuwa wa pesa ngapi. Nimekuja katika Bunge la Kumi na Moja. Ni nini kimebadilika kwa wajibu wangu kama Mbunge au wajibu wa Bunge hili? Tofauti ni nini? Ni nini inaongoza Tume hiyo kukata mshahara wangu kwa asilimia 57 bila kunihusisha mimi kama mfanyi kazi. Kipengele 41 cha Katiba kinamwambia: âUmekosea sheria.â Mhe. Naibu Spika, ukiangalia vile walivyofanya ranking, Kipengele cha 3 cha sheria za Kenya kimefanya ranking na kimemaliza maneno. Kipengele cha 3 kimetoa
view
-
22 May 2013 in National Assembly:
Hon. Deputy Speaker, I beg to give notice of the following Motion:- THAT, aware that the heavy rain experienced across the country has caused flooding in many areas such as Tana River; concerned that the Tana and Athi River Development Authority (TARDA) and the Kenya Electricity Generating Company (KenGen) have been draining water from their dams to River Tana; deeply concerned that people living downstream have been displaced, property destroyed and loss of livelihood following the artificial flooding occasioned by these two government agencies; this House resolves that TARDA and KenGen to immediately stop draining water from their dams to ...
view
-
21 May 2013 in National Assembly:
Asante sana Mheshimiwa Naibu Spika kwa fursa hii. Ninasimama kupinga Hoja hii kwa sababu kubwa ukiangalia Hoja hii haitoi mwongozo thabiti. Hoja hii inasema mashirika ya kiserikali yanapata mali kwa watu wanaoishi katika kaunti. Kitungo chochote, kikiwa ni cha kawi au uchukuzi, hata kile kiwanda kinachotengeneza risasi huko Eldoret kinatoka katika kaunti. Ni kitengo kipi cha uzalishi hakitoki kaunti? Hili ni swali la kwanza.
view
-
21 May 2013 in National Assembly:
Swali la pili, ukisoma Hoja inasema hawa wanatoa mali gafi lakini hawapati faida kabisa. Kama kweli hawapati faida, anavyodai aliyoileta Hoja, ni kwa nini uhamishe upeleka mashinani shida hizi? Mhe. Naibu Spika, jambo la tatu ambalo linanipa matatizo kuelewa ni kuwa, anasema Serikali ya ugatuzi haina uwezo wa kiuchumi kisha anataka tuchukue mashirika ya kiserikali na tuyapeleka kule. Hapa anatuchanganya. Hoja hii haitoi mwongozo na nitaipinga. Miaka ya themanini, Benki ya Dunia ilitoa sera ya Structural Adjustment Programme ambayo imetunyangâanya na kudhalilisha mashirika yote katika nchi hii. Leo, mashirika haya yameanza kufufuka na tunataka kuyapeleka mashinani. Katika Serikali ya ugatuzi, ...
view
-
16 May 2013 in National Assembly:
On a point of order, hon. Deputy Speaker. I rise on a point of order under Standing Order No. 95(1) to move that the Mover be now called upon to reply.
view
-
15 May 2013 in National Assembly:
Hon. Speaker, Sir, I thank the Leader of Majority Party for giving that Statement. Tana River has 38,700 square kilometers with over 200,000 people. The effect of these floods is across the county. When the Leader of the Majority Party is telling us that he has given an AIE of Kshs170,000 which is totaling to Kshs500,000, you mean the Government is that broke and cannot afford to intervene? Is that the message the Leader of the Majority Party is sending? Finally, this is an artificial drought caused by TARDA and KenGen. Is the Government planning to compensate the lives and ...
view
-
15 May 2013 in National Assembly:
Hon. Speaker, Sir, there are artificial floods.
view
-
15 May 2013 in National Assembly:
On a point of order, hon. Speaker, Sir. Due to the contradictions in the information given on the Floor of this House on the magnitude and the effect of floods in Tana, would I be in order to request the Chair, now that this is a unique House where we have the Leader of the Majority Party who has no powers to instruct the Government or a Cabinet Secretary to intervene at such a crucial time, to form a small committee to come up with the way forward on that problem?
view
-
14 May 2013 in National Assembly:
Mhe. Spika, asante kwa fursa. Namshukuru Mwenyezi Mungu kupata fursa kuchangia Hoja ya kihistoria katika Taifa la Kenya. Kwa nini ninasema ni Hoja ya kihistoria? Ukisoma kifungo cha sheria 152(2) inatoa uwezo kwa mara ya kwanza katika Taifa, Bunge kama taasisi kupitisha pendekezo lililotolewa na Rais wa Taifa. Hii ni historia kubwa.
view