Amos Kimunya

Parties & Coalitions

Full name

Amos Muhinga Kimunya

Born

6th March 1962

Post

Parliament Buildings
Parliament Rd.
P.O Box 41842 – 00100
Nairobi, Kenya

Post

P. O. Box 52530 00200 Nairobi

Email

akimunya@kenya.go.ke

Email

kipipiri@wananchi.com

Email

kipipiri@parliament.go.ke

Telephone

0722520936

Telephone

0734518801

Telephone

0722518801

Telephone

020 310982

Amos Kimunya

Majority Leader of the National Assembly from June 2020.

All parliamentary appearances

Entries 1411 to 1420 of 6175.

  • 13 May 2021 in National Assembly: Mhe. Naibu Spika, naomba kutoa Arifa ya Hoja ifuatayo: KWAMBA, kwa mujibu wa Kanuni ya 25 (Mgeni Mashuhuri), Shukrani za Bunge la Taifa zinakiliwe kwa ajili ya Hotuba ya Mhe. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, iliyotolewa katika Kikao Cha Pamoja cha Bunge la Jamhuri ya Kenya, mnamo Jumatano, tarehe 5, Mei, 2021. view
  • 13 May 2021 in National Assembly: Asante, Mhe. Naibu wa Spika. view
  • 13 May 2021 in National Assembly: Ningependelea sana na naomba Wajumbe tuweze kujionyesha. Hii ni kwa sababu ya changamoto tuliyonayo ndiyo Mhe. Rais pia aone Wakenya wamechangamka na wanaweza kujadili kwa Kiswahili kama alivyotuhutubia kwa Kiswahili. view
  • 13 May 2021 in National Assembly: Mhe. Naibu Spika, pengine huna habari kwamba nilisomea shule ya upili iliyoko huko Mombasa. Kwa hivyo, naelewa Kiswahili. Tukifika jioni watu wajionyeshe vile wanaelewa. view
  • 13 May 2021 in National Assembly: Mhe. Naibu Spika wa Muda naomba kuwashukuru Wabunge wenzangu wote waliochangia Hoja hii na kwa maneno yote mazuri wamezungumza kuhusu Rais Samia Suluhu Hassan, safari yake na hotuba aliyotoa katika Bunge hili. Ninashukuru kwa vile alivyojitolea kuboresha uhusiano baina ya nchi zetu mbili na kama nilivyosema ni kupapalia magugu yote ambayo yamekua na kuanza ukurasa mpya katika uwiano wa nchi zetu mbili na hasa Jumuiya ya Afrika Mashariki kwa jumla. Pia, ikiwa hiki ni kikao cha mwisho kabla ya kwenda kwenye likizo fupi, ningetaka kuwatakia Wabunge wote likizo yenye mafanikio na Mungu awalinde wote. Tuonane tena panapo majaliwa na kila ... view
  • 13 May 2021 in National Assembly: na liko na sisi. Tukiweza kurudi hapa tutamshukuru Mungu kwamba tumeenda kutenda yale tunayotenda kwa wananchi tunaowahudumia na tumerudi hapa kuendelea na huduma tunazotoa katika Bunge tukiwa Wabunge ambao wameteuliwa kuwahudumia wananchi. view
  • 13 May 2021 in National Assembly: Kwa hayo machache, naomba kuhitimisha. view
  • 13 May 2021 in National Assembly: Hon. Speaker, pursuant to the provisions of Standing Order No.44(2) (a), I rise to give a Statement, on behalf of the House Business Committee (HBC) which met on Tuesday, 11th May 2021 to prioritize business for consideration. Hon. Speaker, Members will recall that on 4th May 2021, the House adopted a resolution to amend the 2021 Calendar, which has the effect of shortening the May recess by one week owing to the urgent business we were considering. As such, the House is now scheduled to proceed for recess from tomorrow Friday, 14th May 2021 and resume its regular sittings on ... view
  • 13 May 2021 in National Assembly: Thank you. view
  • 13 May 2021 in National Assembly: Hon. Speaker, I beg to move the following Motion: THAT, notwithstanding the provisions of Standing Orders 120, 122 and 126 relating to Publication, Procedure upon Publication and First Reading of Bills and The electronic version of the Official Hansard Report is for information purposesonly. A certified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor view

Comments

(For newest comments first please choose 'Newest' from the 'Discussion' tab below.)
comments powered by Disqus