All parliamentary appearances
Entries 1401 to 1410 of 6175.
-
13 May 2021 in National Assembly:
Hon. Temporary Deputy Speaker, I beg to lay the following Papers on the Table of the House: The Reports of the Auditor General and Financial Statements in respect of the following institutions for the year ended 30th June 2020 and the certificates therein: (a) Parliamentary Joint Services; (b) Railway Development Levy Fund (Holding Account), Ministry of Transport; (c) Kenya Local Loans Support Fund; (d) Judicial Service Commission; (e) The State Department for Culture and Heritage; (f) State Department for Immigration and Citizen Services; (g) The State Officers' House Mortgage Scheme Fund; (h) The Revenue Statements for the State Department for ...
view
-
13 May 2021 in National Assembly:
(i) National Humanitarian Fund. Summary of the Report of the Auditor General for the National Government for the year 2018/2019. Thank you, Hon. Temporary Deputy Speaker.
view
-
13 May 2021 in National Assembly:
Asante sana, Mhe. Naibu Spika wa Muda naomba kuwakilisha Hoja ifuatayo: KWAMBA, kwa mujibu wa Kanuni ya 25 (Mgeni Mashuhuri), Shukrani za Bunge la Taifa zinakiliwe kwa ajili ya Hotuba ya Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, iliyotolewa katika Kikao cha Pamoja cha Bunge la Jamhuri ya Kenya mnamo Jumatano, tarehe 5, Mei, 2021. Mnamo Jumatano, tarehe 5 mwezi huu wa Mei mwaka huu wa 2021, Mhe. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania aliyekuwa katika ziara rasmi ya hapa Kenya kwa mwaliko wa Mhe. Rais Uhuru Kenyatta alihutubia Bunge hili katika ...
view
-
13 May 2021 in National Assembly:
mataifa yetu mawili au utangamano tukielewa kwamba tuko katika Jumuiya ya Afrika Mashariki tukiwa nchi sita; Kenya, Tanzania, Uganda, Burundi, Rwanda na pia Sudan Kusini. Kuhusu Kenya na Tanzania Rais alisisitiza kuhusu umoja wetu, tumeshikana kidamu. Sisi ni ndugu wa damu, tumeshikana kupitia historia na jiografia yetu kwa sababu tuna mipaka ambayo huwezi ukaelewa kama uko kusini mwa Kenya ama Kaskazi mwa Tanzania. Ukiwa Arusha na usafiri hadi Taveta unaona hawa watu wote wanashirikiana vizuri. Wao ni jamii na wameshirikiana kwa damu. Hakuna haja ya sisi kutengana kisiasa. Alitushauri tudumishe huu undugu wetu na akasema, kwake yeye na katika awamu ...
view
-
13 May 2021 in National Assembly:
Suala la pili ni himizo lake Rais kwamba Bunge liwezeshe biashara kati ya nchi zetu mbili na kuendeleza ushirika kwa jumla tukikumbuka kwamba tuko katika soko huru ambalo ni la nchi hizi sita. Katika mkataba uliowekwa wa kuunganisha nchi hizi na kufungua soko huru, kuna uhuru wa watu kutembea na kufanya biashara. Unaweza kwenda Tanzania kuanzisha biashara na Mtanzania akatoka Tanzania akaja hapa Kenya akaanzisha biashara. Uganda vile vile. Unaweza kununua ardhi na kufanya kazi popote lakini kumekuwa na tatizo. Nilivyomusikia, alisema wakati umefika wa sisi kusema, "Yaliyopita si ndwele, tugange yaliyo sasa na yajayo". Huu ni ukurasa mpya ambao ...
view
-
13 May 2021 in National Assembly:
huko mitaani bali pia katika utunzi wa sheria. Naomba nitoe shukrani zangu za dhati kwa Rais Suluhu kwa hotuba yake ya kipekee yenye wingi wa hoja na ujumbe wa aina yake. Naomba pia nitoe pongezi zangu kwa Rais wetu Uhuru Muigai Kenyatta, wewe Mhe. Spika, mwenzako Spika wa Seneti, Mhe. Kenneth Lusaka na Wabunge wa Bunge la Taifa na Wabunge wa Seneti kwa heshima waliomwonyesha Rais wa nchi jirani, Rais Suluhu Samia Hassan. Hilo lilifanya kikao hicho kikawa cha kihistoria. Ni kikao cha kupigiwa mfano kwa viongozi watakaokuja siku za usoni. Mhe. Naibu Spika wa Muda, kwa kuhitimisha kwa heshima, ...
view
-
13 May 2021 in National Assembly:
Hon. Speaker, I beg to lay the following Papers on the Table of the House: Legal Notice No.55 regarding the Public Finance Management (Biashara Kenya Fund) Regulations, 2021; The Reports of the Auditor-General and Financial Statements in respect of the following institutions for the year ended 30th June 2020 and the certificates therein: (a) National Lands Commission - Staff Car Loan Scheme Fund for the 18 months; (b) National Lands Commission on Staff Housing Scheme Fund for the 18 months; (c) State Law Office and Department of Justice; (d) National Council for Nomadic Education in Kenya (NACONEK); (e) Tom Mboya ...
view
-
13 May 2021 in National Assembly:
Hon. Deputy Speaker, I beg to lay the following Papers on the Table of the House:
view
-
13 May 2021 in National Assembly:
The Reports of the Auditor-General and Financial Statements in respect of the following institutions for the year ended 30th June 2020 and the certificates therein: (i) State Department for Gender; (ii) State Department for Mining; (iii) State Department for Wildlife; (iv) State Department for Regional and Northern Corridor Development; (v) State Department for Labour; (vi) State Department for Fisheries, Aquaculture and Blue Economy; (vii) State Department for Women Enterprises Fund; (viii) Pwani University; (ix) The Street Families Rehabilitation Trust Fund; (x) Kenya Pipeline Company Limited; (xi) National Housing Corporation; (xii) Revenue Statements for the Ministry of Defence; (xiii) Witness Protection ...
view
-
13 May 2021 in National Assembly:
Sure.
view