All parliamentary appearances
Entries 301 to 310 of 443.
-
2 Mar 2016 in National Assembly:
Shukrani Mhe. Naibu Spika wa Muda, ingawa nimeketi kwa muda mrefu mno. Nasimama kuunga mkono Hoja hii ambayo imerekebishwa. Hoja hii, kwa kweli The electronic version of the Official Hansard Report is for information purposesonly. A certified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor.
view
-
2 Mar 2016 in National Assembly:
kabisa inaambatana na Katiba yetu kuhusu ugatuzi. Sisi ambao tuko karibu na mpaka tuna matatizo mengi sana wakati tunatafuta vitambulisho lakini tukipitisha Hoja hii, haya matatizo yatapungua. Imekuja wakati mwafaka, mzuri na sawa sawa kabisa. Ningependelea, ikiwezekana tuweke marekebisho mengine maanake mtoto anapozaliwa anapata cheti cha kuzaliwa na vile vile wakati huo huo akitafutiwa pasi ya kusafiri nje inapatikana. Ingewezekana pia kitambulisho kingepatikana wakati huo huo. Vile vile, kuna Cheti cha Tabia Nzuri kutoka kwa maafisa wa usalama kinachoitwa kwa Kiingereza, Certificateof Good Conduct ambacho pia kinasumbua sana vijana. Tungesaidika sana ikiwa vyeti hivi vingeshikanishwa vyote kwa pamoja. Pia kuna ...
view
-
17 Dec 2015 in National Assembly:
Ahsante sana Mhe. Naibu wa Spika wa Muda kwa nafasi hii. Ninaamka kuunga mkono hawa Makatibu Wakuu wote wawili, Sunkuli na Margaret Mwakima. Baada ya kusoma yale masomo wako nayo na uzoefu wa kazi walizofanya na nikiangalia yale masuala mimi kama Mbunge wa Mwatate ambayo ninayakariri, hao wote ninaona ni watu wanaoweza. Sisi kama Wataita Taveta tumeshukuru kwa sababu kwa sasa hivi, ni mmoja tu ambaye tumepata kama Katibu Mkuu. Nikiangalia suala tata lile la wanyama pori na vilevile nikiangalia lile suala tata baina ya wananchi na--- Niliposoma niliona kwamba kulingana na elimu ambayo hawa wawili wako nayo, na uzoefu ...
view
-
17 Dec 2015 in National Assembly:
Asante sana, Mheshimiwa Naibu Spika wa Muda. Vile ambavyo mwenzangu amesema ni kweli kabisa. Mimi ninawakilisha wananchi na ni lazima tuangalie vile hawa---
view
-
17 Dec 2015 in National Assembly:
Thank you, Hon. Speaker for giving me this opportunity. At the outset, I support the appointment of these Kenyans. As I was going through the Report of the Committee, this group of people seems to be an all-round team of high integrity, well educated in different professions, well experienced at various capacities and the gender rule was obeyed.
view
-
17 Dec 2015 in National Assembly:
As we know, corruption has been all over the country. I feel it is high time to approve those Kenyans to assume their responsibilities quickly so as to clear the minds of Kenyans and give goodwill to this Commission. I happened to engage one on one with one of the appointees by the name Rose Mghoi. Having experience as a teacher and as a banker for many years, she proved to be of high Intelligent Quotient (IQ). At the same time, she is hard working.
view
-
17 Dec 2015 in National Assembly:
With that, I stand to support those appointments. The electronic version of the Official Hansard Report is for information purposesonly. A certified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor.
view
-
3 Dec 2015 in National Assembly:
Thank you, Hon. Speaker for giving me this opportunity. This problem is affecting all parts of the country. Just as the petitioners pray, the same applies to Taita Taveta County. Wildlife is causing us sleepless nights. The animals interfere with the community simply because fences have not been erected to secure the animals in The electronic version of the Official Hansard Report is for information purposesonly. A certified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor.
view
-
3 Dec 2015 in National Assembly:
the park. For example, this is a very serious issue in Mgeno, Mchambo, Mwakitau, Mwachuma and Godoma in Mwatate Constituency. This has become a national disaster. It is a disaster to my constituents.
view
-
24 Nov 2015 in National Assembly:
On a point of order.
view