Andrew Mwadime

Parties & Coalitions

Email

achawia@yahoo.com

Telephone

0722867598

All parliamentary appearances

Entries 71 to 80 of 443.

  • 18 Jun 2020 in National Assembly: Thank you, Hon. Speaker for this opportunity. I rise to thank the Chairman of the Departmental Committee on Labour and Social Welfare. Actually, the answer is to my satisfaction. However, I am just praying that they play a fair game after those 90 days. Otherwise, it was a good answer. view
  • 9 Jun 2020 in National Assembly: Shukrani Mhe. Spika kwa hii fursa ambayo umenipa. Napongeza Kamati ya Bajeti kwa sababu katika wakati huu mgumu wameweza kuja na Bajeti ambayo tumeona angalao kila idara imepata hela kidogo. Ingawaje tukiangalia, changamoto tuko nazo nchini kama kazi kwa watu wetu. Ukiangalia Idara ya Viwanda, kwa kweli ile hela wamepewa sio eti inawawezesha kutengeneza kampuni nyingi ili vijana wetu wapate kazi. Vile vile, kulikuwa na raha na vifijo na nderemo kule kwangu wakati vijijini umeme ulikuwa unawaka hapa na pale lakini nikiangalia bajeti ya idara ya kawi, naona imepunguziwa hela kidogo. Sioni kama itaendelea tena kuweka umeme kule vijijini. view
  • 9 Jun 2020 in National Assembly: Kila wakati hata hapa Bungeni huwa tunalia tunasema kwamba wazee wa vijiji wana kazi kubwa. Sasa hivi nimeona Wizara ya Ndani angalau kidogo wameshiba. Basi tunaomba pia wao washibishe wale wazee wa vijiji. Ugavi wa mkate ndio huleta vita, malumbano, makasirikiano na chuki zote kubwa humu duniani. Kwa kweli ukiangalia hii Bajeti na nikiangazia Eneo Bunge langu la Mwatate, tumekuwa na kilio kikubwa cha maji. Kuanzia mwaka wa 2014 Serikali imekuwa The electronic version of the Official Hansard Report is for information purposesonly. A certified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor. view
  • 9 Jun 2020 in National Assembly: ikisema kwamba itaweka maji ya Mzima Springs kule kwetu Kaunti ya Taita Taveta na maji mengine yaende Kaunti za Mombasa, Kilifi na Kwale lakini nashangaa mpaka leo hii bado katika hii Bajeti hawajaiwekea mgao wa hela. Mimi hulia sana na ndovu na simba. Hata hivi juzi tumekuwa na fisi mla watu, haswa wazee. Hata mimi nina wasiwasi na hii Bajeti ya mwaka wa 2020/2021 maana nimelia sana kuhusu ndovu. Nikiangalia Wizara ya Mazingira na Maliasili, kwa kweli bajeti yao imepunguzwa na sasa hivi najua hawa wanyama watatusumbua sana. Zile hela walizopata ni za marupurupu yao tu lakini kufanya zile kazi ... view
  • 9 Jun 2020 in National Assembly: Nitaongea kuhusu Tume ya Kuajiri Walimu. Kwa kweli naipongeza kamati kwa kuipatia pesa za kutosha ingawaje hela ambazo wametenga za matumizi katika afisi ile wameweka juu sana. Mimi nikiwa mwalimu, kwa kweli ile hela ya Kshs7 bilioni iko juu. Namuunga mkono mwenzangu Mhe. Sossion vile alikuwa amesema. Angalau wapunguze hizo hela na wawe na afisi ambayo inaweza kutoa huduma sawasawa kila mahali. Naona muda wangu umekwisha na nilikuwa na mengi ya kuongea. Asante, Mhe. Spika. view
  • 6 May 2020 in National Assembly: Hon. Speaker, pursuant to Standing Order No.44(2)(c), I wish to request for a Statement from the Chairperson of the Departmental Committee on Labour and Social Welfare regarding compulsory leave of Mr. Kevin Lewis Safari, Personal Employment Number 00005634 and ID No. 11055915, by the Commissioner-General of the Kenya Revenue Authority (KRA). view
  • 6 May 2020 in National Assembly: Mr. Kevin Lewis Safari was working at the KRA stationed at Times Towers. On 24th April 2020, he was illegally sent home on compulsory leave for a period of 90 days without being given a chance to show cause why. He is at risk of losing his job yet Kevin is the only person holding a senior position in the Government from Mwatate Constituency. view
  • 6 May 2020 in National Assembly: It is against this background that I seek a Statement from the Chairperson of the Departmental Committee on Labour and Social Welfare on the following: (i) What circumstances led to Mr. Kevin Lewis Safari of Personal Employment Number 00005634, ID No.11055915 being sent home on compulsory leave for 90 days by the Commissioner-General of the KRA; and The electronic version of the Official Hansard Report is for information purposesonly. A certified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor. view
  • 6 May 2020 in National Assembly: (ii) When he will be reinstated to work at the station he was before, including payment of his dues. Thank you, Hon. Speaker. view
  • 6 May 2020 in National Assembly: They do not understand that I am a mathematician. view

Comments

(For newest comments first please choose 'Newest' from the 'Discussion' tab below.)
comments powered by Disqus