Christine Zawadi Gona

Parties & Coalitions

All parliamentary appearances

Entries 101 to 112 of 112.

  • 26 Sep 2018 in Senate: Bw. Naibu Spika, naupongeza sana mjadala huu. Umeletwa kwa wakati unaofaa. view
  • 26 Sep 2018 in Senate: Asante sana. view
  • 11 Jul 2018 in Senate: Asante, Bwana Spika kwa kunipa nafasi hii ili niwakaribishe waheshimiwa wenzangu kutoka Kaunti za Busia na Trans Nzoia. Nimesimama hapa kama mmoja wenu kwa sababu kuna wakati, kabla sijakuwa Seneta, nilikuwa mwakilishi wa wodi katika bunge la kaunti. Kwa hivyo, najua ni nini munacho pitia kule na pia changamoto munazo pitia. Bw. Spika, tegemeo la Seneti ni bunge za kaunti, hasa upande wa sheria na uwakilishaji.Wahenga walisema “dunia duara;” kwa hivyo sheria mnazo tunga hazifai ziwe za kuwapendeza nyinyi peke yenu, bali za kuwapendeza wananchi mnao wakilisha. Vile vile, naamini kwamba yule mwananchi wakawaida na wa chini kabisa ataangaliwa kupitia ... view
  • 5 Jul 2018 in Senate: Asante, Bw. Spika, kwa kunipa nafasi hii ili nichangie katika Hoja hii. The electronic version of the Senate Hansard Report is for information purposes only. A certified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor, Senate. view
  • 5 Jun 2018 in Senate: Bw. Naibu Spika, asante kwa kunipa nafasi hii ili nichangie yale niliyonayo kuhusu mjadala huu wa mafuriko. Kabla sijaendelea, ningependa kumshukuru ama kumpongeza Sen. Kihika kwa kuuleta mjadala huu hapa. Mkasa Huu ulifanyika The electronic version of the Senate Hansard Report is for information purposes only. A certified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor, Senate. view
  • 5 Jun 2018 in Senate: Twaweza kufanya kilimo cha kunyunyizia maji mimea, kwa sababu kwa vile mvua ni haba kule kwetu. Gavana aliyeko kule anayeona yale mambo, angehakikisha kwamba kuna mshiko fulani wa maji kuhakikisha kwamba maji hayo hayatafika kule kuwamaliza watu. Yatakikana majai yale yakingwe ili yasiwe yakifika kule ili wananchi wayatumie kwa kunyunyizia chakula. Hili ni jambo ambalo halifanyiki, na serikali ya kaunti na ya kitaifa zimekosa kushirikiana kwa ujumla katika jambo hili. Ni sisi ambao tunaangalia yanayofanyika, maanake tuko katika kaunti zetu kila siku. Mambo haya yanafanyika Kenya nzima; sio Nakuru, Kilifi ama Tana River peke yake. Yatakikana tuyaangalie haya mambo na ... view
  • 27 Mar 2018 in Senate: Yes, Mr. Deputy Speaker, Sir. view
  • 7 Mar 2018 in Senate: No, Mr. Deputy Speaker, Sir, he has not. view
  • 27 Feb 2018 in Senate: Asante Bw. Spika kwa nafasi hii. Naunga mkono tume iliyoteuliwa na ninafurahi kwamba kwa mara ya kwanza sisi pia tumezawadiwa. Ni kama kila siku unaenda shuleni kuzawadi watoto wa wengine lakini mtoto wako hafanyi vizuri. Nina furaha kwa sababu ya majina yaliyoletwa hapa, hasa jina la Mheshimiwa Beth Mugo. Yeye na mimi tuliteuliwa. Kuna shida nyingi sana ambazo wabunge walioteuliwa hupitia katika mabunge haya. Mara nyingi tunaonekana kama hatustahili ama tulikuja hapa kwa bahati mbaya. Mimi kama Seneta si tofauti na mwenzangu aliyechaguliwa kwa sababu majukumu ni yale yale na shida ninazopata ni zile zile. Mwananchi wa kawaida hajui kwamba ... view
  • 15 Feb 2018 in Senate: Thank you, Mr. Speaker, Sir. Pursuant to Standing Order No.46(2)(b), I rise to seek a Statement from the Chairperson of the Committee on Tourism, Trade and Industrialization on the state of tourism in Kenya especially in Malindi, Kilifi County. In the Statement, the Chairperson should:- (1) Table the figures of tourists who visited Kenya in 2016 and 2017, highlighting the numbers that visited Kilifi County during the said period. (2) State whether the Government is aware that the numbers of tourists visiting Malindi have gone down mainly due to pollution in the Indian Ocean which has kept away tourists and ... view
  • 15 Feb 2018 in Senate: Yes, Mr. Speaker, Sir. view
  • 26 Sep 2017 in Senate: Thank you, Mr. Speaker, Sir, for giving me this opportunity to make my maiden speech and to also contribute to the President’s speech. First, I congratulate His Excellency the President for taking his time to address the joint sitting of the Senate and the National Assembly. As a new Senator, I felt the warm welcome from the President’s address. I also congratulate you, Mr. Speaker, for being elected as the Speaker of the Senate in the Twelfth Parliament. I am sure beyond reasonable doubt that you will lead us with all wisdom and experience without fear and favour. I wish ... view

Comments

(For newest comments first please choose 'Newest' from the 'Discussion' tab below.)
comments powered by Disqus