Christine Zawadi Gona

Parties & Coalitions

All parliamentary appearances

Entries 11 to 20 of 112.

  • 22 Sep 2021 in Senate: Asante, Bw. Spika wa Muda kwa kunipa nafasi hii. Pia nimesimama kuunga mkono Hoja hii ya kuwashtumu Mawaziri wawili ambao ni Waziri wa Kawi na mwezake Waziri wa Madini na Mafuta. view

  • 22 Sep 2021 in Senate: Sen. Orengo akizumguza alitaja vifungu vingi vya Katiba lakini kuna kimoja ambacho nataka kuzungumza juu yake. Kuna kifungu ambacho kinaipa Bunge mamlaka sawa na Mahakama Kuu. Kwa hivyo, Bunge lina nguvu sawia na Mahakama Kuu. Lakini najiuliza akilini kama ni kweli Bunge ni sawa na Mahakama Kuu. Kama Bunge lingekuwa na nguvu na mamlaka sawa na Mahakama Kuu, basi wale Mawaziri wawili wangekuja jana hapa. Lakini mbona hawakuja? Ni kwa sababu kuna hitilafu ama kasoro fulani ambayo iko katika Bunge letu. Kuna baadhi ya mambo ambayo yangefanywa ile Bunge letu liwe na mamlaka na nguvu sawa na Mahakama Kuu. view

  • 22 Sep 2021 in Senate: Sen. Wetangula amezungumzia akasema iweje bandari tuko nayo sisi hapa Mombasa kama Wakenya lakini Sudan na Uganda wawe wanapata mafuta kwa bei ya chini na sisi tununue kwa bei ghali. Utashangaa kujua bei ya mafuta Nairobi ni afadhali kuliko Mombasa. Kwa nini basi? Kuna vitu ambazo zinafanyika ambayo sisi kama Wabunge hatuvijui. Bw. Spika wa Muda, juzi nimekuwa mazishini na watu waliniuliza kama Seneta niwaambie mbona bei ya mafuta yamepanda. Mimi sikuwa na jibu ila wale Mawaziri waje hapa watujibu maswali haya? Mimi siwezi nikamuita Mhe. Rais hapa nimuulize maswali haya. Amewateua Mawaziri ambao wanaweza kujibu maswali haya ambayo yanaambatana ... view

  • 22 Sep 2021 in Senate: The electronic version of the Senate Hansard Report is for information purposesonly. A certified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor, Senate. view

  • 22 Sep 2021 in Senate: Mwananchi amechagua Maseneta, Wabunge na Mhe. Rais. Sisi ndio yule mwananchi anatuuliza maswali. Yale maswali sasa hatuwezi kuyajibu mpaka hawa mabwana. Sasa mimi pendekezo langu maanake sitakuwa mwingi wa maneno mengi yamezungumziwa, lakini nataka kugusia jambo moja. Tulizungumzia hapo nyuma tukasema misitu isikatwe maanake inaharibu maingira. Hilo nakubaliana nalo. Lakini kwa kufanya vile, tulitoa njia mwafaka nyingine kwamba wanaweza kutumia gesi, mafuta au umeme. Je, wakati huu umeme na gesi zimepanda, huyu mwananchi wa kawaida tulikuwa tumepanga apike na nini? Kama makaa kupatikana ni shida tulisema ikatizwe. Labda ile ya kutengeneza yako ghali. Saa hii ukipata mkebe mmoja wa makaa, ... view

Comments

(For newest comments first please choose 'Newest' from the 'Discussion' tab below.)
comments powered by Disqus