Christine Zawadi Gona

Parties & Coalitions

All parliamentary appearances

Entries 21 to 30 of 112.

  • 22 Sep 2021 in Senate: Asante kwa kukubaliana na mimi. Kweli bei ya vitu vimepanda na kama mna ufahamu huo nashukuru. Hawa mabwana tunawazungumzia hapa, wao mafuta hununuliwa hata hawajui inauzwa bei gani. Sisi ndio tunapiga kelele tunasema mafuta imepanda lakini wao hawajui. Hivi ving’ora sisi Wabunge ambao tunawakilisha wananchi haturuhusiwi kwenda na kusindikizwa na askari. Lakini huyu ambaye hakuchaguliwa anakibendera akipeperusha. Anapeperushia nani bendera hii barabarani na hana jukumu lolote na mwananchi. Mamlaka yote wamepewa wao. Juzi tumeenda Mombasa na Kamati ya Barabara na Ujenzi. Tukifika kule tumesubiri Waziri na ujue tumetumia pesa za Serikali kutufikisha sisi kule. Tumefika, hakutuma mtu yeyote na hakuna ... view

  • 22 Sep 2021 in Senate: The electronic version of the Senate Hansard Report is for information purposesonly. A certified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor, Senate. view
  • 22 Sep 2021 in Senate: The electronic version of the Senate Hansard Report is for information purposesonly. A certified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor, Senate. view
  • 22 Sep 2021 in Senate: Na Bibilia husema tawi lisilozaa likatwe. Basi Bunge la Kitaifa hawa watu mmewaweka na hawana maana na nyinyi ndio mnawahoji. Wakati umefika wa kung’ata. Tusiwe maumbwa ambao hawana meno. Sasa tuwe mbwa ambao wana meno. Tung’ate ili tumsaidie Mhe.Rais. Bw. Spika wa Muda, kama wengine walivyo zungumza hapa wamesema itawezakuwa hawa mabwana hawana makosa. Kama hawana makosa na viatu walivyo vivaa vina wafinya kupita kiasi, wavivue. Waziache hizo nafasi wachukue wengine waingie. Lakini yale ambayo yanaendelea mpaka sasa mimi namwonea huruma Mkenya jamani kwa sababu Serikali ikipandisha mafuta kila kitu kinakuwa ghali. Unga wa sima umepanda na kila kitu kimepanda. ... view

  • 28 Jul 2021 in Senate: Asante Bw. Spika kwa kunipa nafasi ili niweze kuchangia Mswada huu. Yangu yatakuwa machache kwa sababu mengi yamezungumzwa. Kuna Miswada ambayo iko katika serikali za kaunti ambayo haijaona mwanga wa jua kwa sababu ya msongamano wa Miswada mingi. Lakini, kuna Mswada mmoja kule Kilifi ambao utakuwa na shida kuchapishwa. Kwa mfano, muguka unapendwa sana kule Kilifi lakini kuna Mswada ambao utachapishwa kusema kwamba watakaoleta Muguka wabandikwe magunia ya nazi wapeleka wanapotoka ili pia sisi tufaidike kutokana na bidhaa zinazotoka kaunti zingine. Pili, kuna wale ambao wanaoana kuwa District Commissioner (DC) na kuna muda unaopeanwa ili waweze kuoana. Mara nyingi, muda ... view
  • 11 May 2021 in Senate: Asante, Bw. Spika, kwa kunipa nafasi hii na mimi nichangie katika Mswada huu wa marekebisho ya Katiba. Mambo mapya hukumbusha ya kale. Wakati wa kupitishwa kwa hii Katiba ya sasa, nilikuwa upande wa kupinga na nililkuwa na sababu zangu. Hata hivyo, Mungu si athumani, Katiba ilipita. Baada ya kupita, nimeona kumbe ninakosa mengi mazuri. Nilikuwa mstari wa kwanza kupinga hii Katiba na pia nilikuwa mstari wa kwanza kuwa katika waliobahatika kuwa wabunge katika Mabunge wa Kaunti. Nikiwa mbunge huko, nilikuwa Mwenyekiti wa Kamati ya Afya na nikabahatika kutembelea hospitali view
  • 11 May 2021 in Senate: The electronic version of the Senate Hansard Report is for information purposesonly. A certified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor, Senate. view
  • 11 May 2021 in Senate: zote za Kaunti ya Kilifi. Katika matembezi hayo, niliona jinsi hospitali zetu zilikuwa vibaya. Baada ya pesa kuteremshwa mashinani, nimenona hizo hospitali zimetengenezwa, isipokuwa tunakosa madawa na wauguzi kwa sababu pesa ni chache. Ndio maana ninakubali kwamba endapo marekebisho haya ya Katiba yatapitshwa, ninaamini wauguzi wataajiriwa na madawa kupatikana hospitalini. Hilo ndio tatizo kubwa mashinani. Bw. Spika, pia nilikuwa katika Kamati ya Elimu na nikagundua watoto wengi hawaendi shule wakiwa wadogo. Wengi wao walichelewa kuanza shule hadi wafike labda umri wa miaka 10 au zaidi. Ni katika umri huo ndio wangeweza kumudu kutembea hadi shule kwa sababu shule zenyewe zilikuwa ... view

Comments

(For newest comments first please choose 'Newest' from the 'Discussion' tab below.)
comments powered by Disqus