Parties & Coalitions

All parliamentary appearances

Entries 111 to 120 of 721.

  • 29 May 2024 in Senate: Asante sana, Bw. Spika. Nachukua fursa hii kushukuru kamati ambayo pia mimi ni mwanakamati kwa kufanya kazi nzuri sana. Tulitumia masaa mengi kukubaliana na upande huo mwengine wa National Assembly kuhakikisha kwamba kaunti zinapata pesa zinazohitajika. Tulikuwa na Kshs385 bilioni miaka iliyopita. Kama kamati, tulikaa masaa mengi na baadaye, tukakubaliana pesa ambazo pia Serikali inaweza kusaidia kaunti, ni Kshs400.1 bilioni. Ni vizuri kaunti zijue kwamba Seneti inaunga mkono ugatuzi. Tunataka kaunti zipate pesa zinazohitajika ili maendeleo yafanyike. Shida tuko nayo ni kwamba kaunti zingine zina shida ya kutumia pesa inavyotakikana. Maendeleo iko katika asilimia sita na 10. Kulingana na vile ... view
  • 28 May 2024 in Senate: Thank you very much, Mr. Speaker, Sir. I am reading this Statement on behalf of the distinguished Sen. Wakoli. It is on the mismanagement and corruption in the Mount Elgon Cooperative Union coffee mill. Mr. Speaker, Sir, I rise pursuant to Standing Order No.53 (1) to seek a Statement from the Standing Committee on Trade, Industrialization and Tourism regarding the mismanagement and corruption in Mount Elgon Cooperative Union Coffee Mill and other related coffee issues in Bungoma County. In the Statement, the Committee should: (i) Provide a list of all assets owned by Mount Elgon Cooperative Union coffee Mill from ... view
  • 22 May 2024 in Senate: Bi. Spika wa Muda, nachukua nafasi hii kumshukuru Waziri kwa kuja. Kuna Seneta ambaye amesema kuwa Waziri huwa haji hapa. Amekuja hapa mara view
  • 22 May 2024 in Senate: nyingi na ninamshukuru sana. Tangu Hoja ya kumwondoa ofisini iwakilishwe katika Bunge la Taifa, leo amefika mbele yetu na ninampongeza. Bi. Spika wa Muda, nilikuwa nimeulizwa kusoma swali la Sen. Korir na baadaye mambo yakabadilika kidogo. Hata hivyo, nina maswali mawili muhimu sana. Bw. Waziri anajua kuwa wakulima wa miwa, majani chai na kahawa wanasaidiwa na Serikali kulipa madeni yao. Sisi watu wa kutoka Upper na North Eastern ukulima wetu ni ng’ombe, mbuzi na ngamia. Kutokana na kiangazi kilichokuwa, tulipoteza ng’ombe, ngamia na mbuzi wengi sana. Ningependa kusikia kutoka kwake. Watu wanaongea kuhusu mfumo wa one man, view
  • 22 May 2024 in Senate: Je, hiyo ni njama ya Serikali ya Kenya kutuweka sisi nje ama pia sisi tuna haki ya kupewa fidia ya ng’ombe, mbuzi na ngamia tulizopoteza? Kuna AFC ambayo imewapa watu wa kwetu mikopo. Hiyo mikopo imepeanwa kwa sababu kulipokuwa na kiangazi 2019/2020 na 2022/2023 ng’ombe, ngamia na mbuzi walikufa sana. Nilipata nafasi ya kuzungumza na Mkurugenzi Mtendaji wa AFC ili watu wetu wasisumbuliwe sana kulipa hayo madeni. Ningependa Bw. Waziri atueleze ni msaada gani atawapa watu wa Marsabit ama view
  • 22 May 2024 in Senate: na Upper Eastern kwa jumla kutokana na madeni ya AFC ili Serikali iwasaidie kulipa. Ikiwa Serikali haitawasaidia, je, wanaweze kupewa muda Zaidi wa kulipa madeni hayo? Kuna wakulima kutoka Marsabit ambao wanatumiwa madalali. Wiki iliyopita, dalali anayeitwa J. K. Wanderi alienda kuuza ng’ombe na mbuzi wa wakulima wetu waliokuwa wamebaki. Naomba Bw. Waziri atusaidie ili wakulima wetu wasisumbuliwe na madalali. Swali la pili na la mwisho ni hili. Kuna funding ambayo inaletwa na wahisani--- view
  • 22 May 2024 in Senate: I know, Madam Temporary Speaker. I even presented my case earlier. view
  • 22 May 2024 in Senate: Wazungu wanaleta misaada kwetu lakini inarudi tena kama mishahara, marupurupu na vitu vingine. Bw. Waziri atafanya nini kuhakikisha kuwa angalau asilimia 80 au 90 za pesa zinazoletwa kusaidia inaenda kwa wananchi wa Kenya? view
  • 22 May 2024 in Senate: Madam Temporary Speaker, maybe the hon. Cabinet Secretary forgot my question. I asked him whether the AFC loans for our people can be waived. If not, they be given more time to pay because of what they went through. view
  • 21 May 2024 in Senate: Thank you, Mr. Speaker, Sir. I rise pursuant to Standing Order No.53 (1) to seek a statement from the Standing Committee on Finance and Budget regarding payments made by Marsabit County Government to various suppliers for the financial years 2021/2022 and 2022/2023. In the statement, the committee should: (1) Establish the ownership and registration status of the following companies: Dreamzone Company Limited, Bukhu Holding Limited, Kobe Construction, and Water Services, Sowel Trading Company Ltd, Al Miran Investment Ltd, Northface Investment, Bismil Ltd, Noxveel Ventures Ltd, Qolcha Taxib Services, Al Haleem(K) Ltd, Nexus Development Ltd, Bismal Enterprise, Kachacha Company Limited, Tula ... view

Comments

(For newest comments first please choose 'Newest' from the 'Discussion' tab below.)
comments powered by Disqus