Parties & Coalitions

All parliamentary appearances

Entries 101 to 110 of 721.

  • 26 Jun 2024 in Senate: ambazo zinatengenezwa huku nchini. Kitu cha kwanza kingeangaliwa ni kama zinaweza tosha kutumika katika miji yote ya Kenya. Jambo la pili ni bei ya sanitarytowels zinazotengenezwa huku ambayo iko juu. Kuna vitu vinafaa kuangaliwa. Ningetaka Wakenya wajue haya mambo muhimu. Ukiwa na mitungi ya maji na imetoboka chini na bado unataka kuweka maji ndani, kitu cha kwanza unafaa kufanya ni kuziba ufa huo. Hilo shimo likizibwa, unaweza kuweka maji. Vile hii sheria imepitishwa, ni kama kuweka maji kwa mtungi uliotoboka. Bw. Spika, unaona watu wanatembea na helikopta, wakiwa na pesa, wakitoa mamilioni kwa michango. Unaona wengine wakienda matembezi nje, Rwanda, ... view
  • 26 Jun 2024 in Senate: Mwisho, jana tukiwa ndani ya ambulance tukijaribu kutoroka, kuna wengine walibebwa na helicopter kutoka Kenya International Convention Center (KICC) wakienda kutua nyumbani mwao. Hata Spika wetu alikuwa katika hali ya hatari. Nilienda kuangalia kama yuko sawa wakati wengine walikuwa wakibebwa na helicopter na akasema yuko salama. Jana tungekufa wakati wale waliokula pesa wakichukuliwa na view
  • 26 Jun 2024 in Senate: ilhali sisi tukipigwa na risasi na mawe. Nashukuru wale askari waliombeba Spika wetu wakampeleka akiwa salama. Mhe. Spika, tukienda kwa hii recess, ningetaka wale ndugu zetu tunaowaangalia wakila wafikirie, wakati sisi tunawaangalia wao wakila, kwani sisi na watu wetu hatuna hiyo njaa? Mfikirie na mkirudi Bungeni mtuambie kama hayo mambo ya corruption yatapunguzwa au la. Kama hayatapunguzwa, kama President wetu hawezi kuongelea view
  • 26 Jun 2024 in Senate: ---Juzi tukiwa State House, nilikatazwa kuongea. Nilikuwa nataka kuuliza, hii pesa mnalipwa, kama hamjaweza kusimamisha corruption, si ni hao watu watakula tu? view
  • 26 Jun 2024 in Senate: Tukienda likizo yetu, tunataka kuenda nyumbani kwa sababu watu wameniona kwa television nikipigwa na mawe na wananipigia simu wakitaka kujua kama niko hai. Wananiuliza kwa nini watu wengine walibebwa na helicopter wakati wewe uliingia ndani ya ambulance. Kwa hivyo nataka kurudi nyumbani niwaambie watu wangu tuko salama na waendelee kukaa salama. Ningeomba kabla turudi hapa, tupitishe ile Hoja ya kuenda Busia ili Secretariat wawe na nafasi ya kufanya kazi yao. Tukirudi hapa tuwe kama ndugu na marafiki. Asanteni sana. Mhe. Spika, nimeshukuru sana. view
  • 11 Jun 2024 in Senate: Mr. Speaker, Sir, I take this opportunity to thank Members, including myself, who went for the mediation. We managed to get an allocation of Kshs401 billion. The electronic version of the Senate Hansard Report is for information purposesonly. A certified version of this Report can be obtained from the Director, Hansard and AudioServices, Senate. view

  • 11 Jun 2024 in Senate: The problem that counties are facing is mainly the issue of release of funds for county functions. Agriculture, health, Early Childhood Education Centres (ECDEs), TIVET, water, among others, are devolved functions. Let me tell you about roads. The Governor of Kiambu appeared before the Senate sometime back and complained about thousands of kilometres under county governments, but no funds are allocated. Marsabit is one of the second-largest counties in this Republic. Moving from Ileret to Marsabit can take three days because there are no roads. How do you expect the county government to manage those roads without funds? That is ... view

  • 29 May 2024 in Senate: Thank you, Mr. Speaker, Sir. Speaker. I rise pursuant to Standing Order No. 53(1) to seek a Statement from the Standing Committee on Labor and Social Welfare regarding the delay in salary payments to the employees and interns serving the County Government of Marsabit. In the Statement, the Committee should- (1) State reasons for the non-payment of salaries to the employees of the County Government of Marsabit for November 2023. (2) Explain the reasons for the long-standing delay in the disbursement of stipends to interns across all the departments within the county government and establish the period they have not ... view

Comments

(For newest comments first please choose 'Newest' from the 'Discussion' tab below.)
comments powered by Disqus