Parties & Coalitions

All parliamentary appearances

Entries 191 to 200 of 796.

  • 22 May 2024 in Senate: na Upper Eastern kwa jumla kutokana na madeni ya AFC ili Serikali iwasaidie kulipa. Ikiwa Serikali haitawasaidia, je, wanaweze kupewa muda Zaidi wa kulipa madeni hayo? Kuna wakulima kutoka Marsabit ambao wanatumiwa madalali. Wiki iliyopita, dalali anayeitwa J. K. Wanderi alienda kuuza ng’ombe na mbuzi wa wakulima wetu waliokuwa wamebaki. Naomba Bw. Waziri atusaidie ili wakulima wetu wasisumbuliwe na madalali. Swali la pili na la mwisho ni hili. Kuna funding ambayo inaletwa na wahisani--- view
  • 22 May 2024 in Senate: I know, Madam Temporary Speaker. I even presented my case earlier. view
  • 22 May 2024 in Senate: Wazungu wanaleta misaada kwetu lakini inarudi tena kama mishahara, marupurupu na vitu vingine. Bw. Waziri atafanya nini kuhakikisha kuwa angalau asilimia 80 au 90 za pesa zinazoletwa kusaidia inaenda kwa wananchi wa Kenya? view
  • 22 May 2024 in Senate: Madam Temporary Speaker, maybe the hon. Cabinet Secretary forgot my question. I asked him whether the AFC loans for our people can be waived. If not, they be given more time to pay because of what they went through. view
  • 21 May 2024 in Senate: Thank you, Mr. Speaker, Sir. I rise pursuant to Standing Order No.53 (1) to seek a statement from the Standing Committee on Finance and Budget regarding payments made by Marsabit County Government to various suppliers for the financial years 2021/2022 and 2022/2023. In the statement, the committee should: (1) Establish the ownership and registration status of the following companies: Dreamzone Company Limited, Bukhu Holding Limited, Kobe Construction, and Water Services, Sowel Trading Company Ltd, Al Miran Investment Ltd, Northface Investment, Bismil Ltd, Noxveel Ventures Ltd, Qolcha Taxib Services, Al Haleem(K) Ltd, Nexus Development Ltd, Bismal Enterprise, Kachacha Company Limited, Tula ... view
  • 15 May 2024 in Senate: Asante Bw. Spika. Ningependa kuongezea yale maneno Mhe. Mungatana amesema. Mhe. Mungatana ametoka Kaunti ya Tana River na labda amesafiri usiku wote akifikiria kwamba leo asubuhi atawakilisha watu wake wa Tana River. Lazima tukubaliane kama Seneti kwamba Waziri hataweza kufika kama labda ni mgonjwa au ameitwa State House kwa mkutano muhimu sana. Tukubaliane kwamba Waziri yeyote ambaye atashindwa kufika hapa kwa sababu ya safari ambayo mipango yake ilianza miezi miwili iliyopita, ingefaa atume msaidizi wake kama vile PrincipalSecretary . Waziri ambaye hajafika leo ni kama hajali maneno ya Bunge. Hii ni kwa sababu wakati alifika mbele ya Bunge kwa ajili ... view
  • 15 May 2024 in Senate: Thank you, very much, Mr. Speaker, Sir. I have a question for the Cabinet Secretary. The last time the cabinet Secretary was before this House, he view
  • 15 May 2024 in Senate: The electronic version of the Senate Hansard Report is for information purposesonly. A certified version of this Report can be obtained from the Director, Hansard and AudioServices, Senate. view
  • 15 May 2024 in Senate: promised that the Marsabit Sewer System and Marsabit Water Supply, which is under construction, will be completed as soon as possible. What is the position of these two projects now in Marsabit? view
  • 15 May 2024 in Senate: Asante Bi. Spika. Kwanza nachukuwa nafasi hii kumshukuru Waziri na Principal Secretary (PS) wake. Tulikuwa na shida ya mining Moyale, tukapiga simu na tukawapata. Tunawapa shukrani kubwa sana. Bi Spika wa Muda, kuna migodi Moyale inayoitwa Hilo. Inasaidia watu 5,000. Hivi majuzi hiyo migodi imefungwa kwa sababu ya watu kupoteza maisha yao. Ningependa kujua kutoka kwa Waziri; ni hatua gani anachukua kwa sasa kwa sababu watu wanaoishi Moyale, Marsabit na Isiolo wanategemea hiyo migodi. Ni kweli watu walifariki pale na ikafungwa? Ni hatua gani unachukua? Hawa watu wa migodi wamekubaliana wakaketi na kutengeneza cooperatives ya kufanya hiyo kazi kwa njia ... view

Comments

(For newest comments first please choose 'Newest' from the 'Discussion' tab below.)
comments powered by Disqus