Cyprian Kubai Iringo

Parties & Coalitions

All parliamentary appearances

Entries 331 to 340 of 1546.

  • 10 Sep 2020 in National Assembly: Thank you, Hon. Speaker. I was to contribute to the next Motion. view

  • 10 Sep 2020 in National Assembly: Asante sana, Mhe. Naibu Spika wa Muda. Nimesimama kuchangia Mswada huu ambao umeletwa na Mhe. Gladys. Umekuja wakati mzuri. Utasaidia Wakenya wengi kutoka kule Mashinani ambao tunawakilisha katika Bunge hili. view

  • 10 Sep 2020 in National Assembly: Mhe. Gladys amesema kunafaa kuwa na mafunzo ya ugonjwa wa Saratani. Huu ni ukweli, kwa sababu watu wengi husafiri kutoka kule mashinani na wanaenda nchi za nje kutafuta matibabu, ilhali tuko na watafiti wa kutosha katika taifa hili. Kitu ambacho kimekosa ni mafunzo kuhusu huu ugonjwa wa Saratani na wale ambao wanafaa kuwa wanashinikiza yale matibabu katika zile hospitali zetu katika kaunti. Wakati ambapo haya mafunzo yataidhinishwa na kusisitizwa yawe yakifanyika hapa na watafiti wengi wafunzwe, watu wengi katika taifa hili watajua hali zao za afya. Wakati mwingine, mtu hugundua ya kwamba ako na Saratani akiwa katika kiwango cha mwisho. ... view

  • 10 Sep 2020 in National Assembly: Bi. Spika wa Muda, jambo jingine ni kuwa, Serikali ilioko sasa, katika manifesto yake, ilikuwa imeangazia sana kufanya kazi kidijitali. The electronic version of the Official Hansard Report is for information purposesonly. A certified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor. view

  • 10 Sep 2020 in National Assembly: Bi. Spika wa Muda, Serikali ya siku ilikuwa imepanga kufanya kazi kidijitali. Vile vile, Mswada huu unaangazia jinsi ambavyo vile wahudumu wa afya wanaweza kupata mafunzo ama matibabu kutoka hospitali zingine, ama kutoka kwa watafiti wengine walio na ujuzi zaidi. Wakati ambapo vipimo vilivyochukulia kutoka hospitali moja vimetumwa kule, hakutakuwa na haja ya mtu kutembea kuenda hospitali nyingine iliyo mbali ilhali anaeza kupokea matibabu mahali alipo. Katika nchi yetu, watu wengi wanaugua Saratani na ikiwa Serikali itasisitiza jambo hili liweze kufanyika, watu hawa wataweza kupata matibabu. Naomba… view

Comments

(For newest comments first please choose 'Newest' from the 'Discussion' tab below.)
comments powered by Disqus