Davis Wafula Nakitare

Born

7th May 1943

Post

P. O. Box 126 Endebess

Email

nakitare@africaonline.co.ke

Telephone

0722489317

Telephone

0735669729

All parliamentary appearances

Entries 121 to 130 of 973.

  • 24 Sep 2024 in Senate: Bw. Naibu Spika, ni jambo ambalo linadhihirika kwamba miradi hii hupitishwa pasipo matarajio. Baadhi ya viongozi katika kaunti wanangoja hadi awamu ya mwisho wa mwaka wa bajeti, ama siku za kifedha, ndipo miradi hii kwa haraka hupitishwa katika awamu ya Supplementary Budgets . Mimi ninaomba Seneti iweze kumakinika na kuhakikisha ya kwamba mambo kama haya yanasitishwa na hatua madhubuti kuchukuliwa. Jambo la pili ni kuunga Mhe. Mwenyekiti wa Kamati ya Kilimo, ya kwamba tutasitisha vikao nyetu ili kuhakikisha kwamba fedha ambazo kamati zinapewa ni za kutosha kuhakikisha ya kwamba kamati yetu inaenda nyanjani kushughulika na ukulima ambayo imegatuliwa kirasmi katika ... view
  • 24 Sep 2024 in Senate: kamati ilikuwa inapewa pesa, kwa mfano, shilingi milioni 20 au 15, itakuwaje sasa wakati ambapo tumepiga hatua nyingi za kigatuzi tunaanza kukohoa na kukatiwa hewa ya kifedha. Hili ni jambo ambalo viongozi katika Bunge hili na viongozi katika kamati za Seneti, wamakinike, wajinyanyue na watutetee kwa sababu tumewapa nafasi. Hatutarajii sisi wenyewe tuje hapa, tuanze kuzusha na kudai kana kwamba sisi sio Seneti ambalo hugawia kaunti fedha za ugatuzi za kufanya maendeleo. Juzi tulipitisha shilingi 400 bilioni kuenda katika kaunti zetu. Iwaje sisi wenyewe tunashindwa kutekeleza majukumu yetu kwa sababu hatuna pesa? Ni kinaya. Ninataka nielezwe kama kuna pesa ama ... view
  • 18 Sep 2024 in Senate: Madam Temporary Speaker, I can give Members an opportunity to ask. view
  • 18 Sep 2024 in Senate: Madam Temporary Speaker, people are misbehaving in the House. We are not in an auction ring. I want to ask my good sister to say something. I have delegated one of my supplementary questions and Madam Temporary Speaker has no option. Senator. view
  • 18 Sep 2024 in Senate: Madam Temporary Speaker, my question to the Cabinet Secretary is that since this matter has taken a long time, I recommend that we organize through your office and the State Department for Industry to have a clear roadmap on how we can handle this matter and set these people free. Thank you. view
  • 19 Aug 2024 in Senate: On a point of order, Madam Temporary Speaker. view
  • 19 Aug 2024 in Senate: Asante, Bi. Spika wa Muda. Sisi Maseneta ni kama Majaji katika kesi hii. Ni vyema tupate mwelekeo iwapo majaji wataweza kupea mwelekeo mshukiwa ama mshtakiwa jinsi ya kukabiliana na mwenzake katika hafla ya kujitetea. view
  • 19 Aug 2024 in Senate: Asante. view
  • 19 Aug 2024 in Senate: Asante, Bw. Spika wa Muda. Ningependa kumwuliza Mhe. Zipporah, katika mkutano wa wakulima, pale ambapo ng’ombe walikuwa wanafariki kutokana na ugonjwa wa ngozi--- view
  • 19 Aug 2024 in Senate: Bw. Spika, ninaomba utulivu kati ya viongozi wenzangu. view

Comments

(For newest comments first please choose 'Newest' from the 'Discussion' tab below.)
comments powered by Disqus