Davis Wafula Nakitare

Born

7th May 1943

Post

P. O. Box 126 Endebess

Email

nakitare@africaonline.co.ke

Telephone

0722489317

Telephone

0735669729

All parliamentary appearances

Entries 151 to 160 of 895.

  • 21 Feb 2024 in Senate: Thank you, Mr. Speaker, Sir. I rise, pursuant to Standing Order No.53(1), to seek a Statement from the Standing Committee on Trade, Industrialization, and Tourism regarding cooperative societies in Bungoma County. In the Statement, the Committee should- (1) List of all cooperative societies operating within Bungoma County, detailing their specific areas of operation. (2) List the cooperative societies funded by the Bungoma County Government for the financial years 2022/2023 and 2023/2024, detailing the projects implemented with this support. (3) State the criteria used by the county government to select cooperatives for funding, furnishing financial and audit reports of the cooperative ... view
  • 21 Feb 2024 in Senate: Thank you, Mr. Temporary Speaker, Sir. I fully second. view
  • 14 Feb 2024 in Senate: Asante Bw. Spika kwa nafasi hii. Vile vile, ningependa kuongenza sauti na mchango wangu kwa mchakato wa muda utakao chukua Rais kuhutubia jamii ya Kenya na vile vile sisi kama viongozi wajumbe katika Seneti, kutoa michango yetu. Isiwe ni kwamba, Rais anapohutubia nchi katika jumba la Kitaifa, kuwe na sherehe za kitaifa, pale ambapo anazungumza, tunapiga makofi, watu wanakunya na kula na kuhesabu siku baada ya siku. Tunataraji kwamba, yale ambayo viongozi katika jumba hili watatamka, mikakati ama vile mdahalo utakvyo kuwa unachukuwa mikondo tofauti, lazima mawaziri ambao watakuwa wameambatana na Rais wahakikishe kwamba mabadiliko haya yanashuhudiwa katika wakati unaostahili. ... view
  • 14 Feb 2024 in Senate: The electronic version of the Senate Hansard Report is for information purposesonly. A certified version of this Report can be obtained from the Director, Hansard Services,Senate. view
  • 14 Feb 2024 in Senate: Bw. Spika, mwaka wa 2027, tutakuwa katika mchakato wa kura na wapiga kura watatuuliza mlizungumza, mkatupa matumaini lakini hamkutenda chochote. Mimi kama mkereketo wa Serikali ningetaka Rais aje na ikiwezekana, aje katika Jumba la Seneti, sababu Seneti huzungumza mambo ya kaunti. Kuna pesa ambazo wanabiashara hawajalipwa na kuna mikakati au ajenda za kaunti ambazo sisi hujadili. Ni lazima Rais ajue kwamba yale tunayotarajiwa kufanya kama Seneti ni tofauti sana na yale ambayo wale walio katika Jumba la Kitaifa hufanya. Anapopeana mwelekeo kuhusiana ugatuzi, ni lazima Wakenya wajue Jumba la Seneti ndilo ulinzi, matumaini au ngao ya ugatuzi katika nchi ya ... view
  • 14 Feb 2024 in Senate: Asante, Bw. Spika wa Muda, kwa nafasi hii. Leo watu wanasherehekea mapenzi lakini inategemea ni mapenzi ya nini. Kuna wale wanapenda pesa, mvinyo, chakula na mavazi, na yote ni mapenzi. Nataraji kwamba hicho ndicho kiini cha mjadala wa siku ya leo. Kuna wale wana mazoea ya kuvuna wasipopanda, wale ambao hutabasamu vilivyo tayari pasipo kushughulikia kuviandaa na wale walio tayari kupakua na sio kutafuta kuni kuandaa. Donda hili ndilo linalotusumbua sisi kama jamii. Wale ambao wanaomiliki maeneo ya starehe na kujivinjari, na maeneo haya ya Airbnb na kadhalika, ni lazima tujue ni wapi ama ni sheria zipi zinadhibiti kuchipuka kwa ... view
  • 14 Feb 2024 in Senate: The electronic version of the Senate Hansard Report is for information purposesonly. A certified version of this Report can be obtained from the Director, Hansard Services,Senate. view
  • 13 Feb 2024 in Senate: Asante, Bw. Spika, kwa nafasi hii. Kwanza, ningependa kuwasabahi Maseneta wenzangu. Pili, namshukuru Mungu kwa kutuwezesha kuvuka mwaka. Natumahi kwamba mwaka huu utakuwa wa ufanisi. Langu ni kuhimiza Seneti na kuomba kwamba mwaka huu uwe wa mabadiliko katika utunzi wetu wa sheria. Wakulima humu nchini wanatarajia Seneti kupitisha Miswada na Sheria ambazo zitawawezesha kunufaika kutokana na jasho lao. Vile vile, walimu katika nchi ya Kenya wanatazamia Seneti kusimama nao na kuhakikisha kwamba mfumo wa elimu na masilahi yao pamoja na wanafunzi yanapewa kipaumbele. Mwaka uliopita tulikuwa na mchakato ungedhani ni mashine ya kusaga unga na wengi wa Maseneta walikuwa wanapiga ... view
  • 13 Feb 2024 in Senate: Kanuni na sheria tunazotunga na nafasi za kazi zinazotolewa katika nchi ya Kenya, lazima vijana wapewe kipaumbele kwa sababu hao ndio uti wa mgongo wa Serikali na siku zijazo. view
  • 13 Feb 2024 in Senate: The electronic version of the Senate Hansard Report is for information purposesonly. A certified version of this Report can be obtained from the Director, Hansard Services,Senate. view

Comments

(For newest comments first please choose 'Newest' from the 'Discussion' tab below.)
comments powered by Disqus