Davis Wafula Nakitare

Born

7th May 1943

Post

P. O. Box 126 Endebess

Email

nakitare@africaonline.co.ke

Telephone

0722489317

Telephone

0735669729

All parliamentary appearances

Entries 161 to 170 of 993.

  • 24 Jul 2024 in Senate: Mr. Speaker, Sir, I rise pursuant to Standing Order No.53(1) to seek a Statement from the Standing Committee on Agriculture, Livestock and Fisheries regarding the state of Chwele Chicken Slaughterhouse in Bungoma County. In the Statement, the Committee should- (1) Report on the current state of Chwele Chicken Slaughterhouse in Bungoma County, providing a detailed inventory of all county government assets at the slaughterhouse. (2) Provide details on the revenue from the slaughterhouse that has accrued to the county government since its operatiolization, as well as the average number of poultries slaughtered per day. The electronic version of the Senate ... view
  • 24 Jul 2024 in Senate: (3) Evaluate the socioeconomic impact of the slaughterhouse on the residents of Bungoma County, stating the number of residents employed as well as the number of farmers that supply poultry to the slaughterhouse. (4) Clarify whether the leasing process of the slaughterhouse was competitive and, if not, provide a justification for the same. (5) Provide details on the lease of the slaughterhouse to include the details on the company that was awarded the lease, the cost of lease, the handing-over process, as well as the memorandum of understanding signed between the county government and the said company. view
  • 24 Jul 2024 in Senate: Mr. Speaker, Sir, I rise pursuant to Standing Order No.53(1) to seek a Statement from the Standing Committee on Finance and Budget regarding the supplementary budget of over Kshs148 million approved by the County Assembly of Bungoma County for the Financial Year (FY)2023/2024 that allocated funds towards hosting of the 2024 Madaraka Day celebrations in Bungoma County. In the Statement, the Committee should- (1) State the total amount budgeted and allocated for the 2024 Madaraka Day celebrations held on 1st June, 2024 in Bungoma County, providing a breakdown of contributions from the national Government and county government towards facilitating the ... view
  • 18 Jul 2024 in Senate: Thank you, Mr. Speaker, Sir. I rise pursuant to Standing Order No.53(1) to seek a statement from the Standing Committee on Health on the status of monthly stipend payment to Community Health Promoters (CHPs) in Bungoma County from January 2024 to date. In the Statement, the Committee should- (1) Provide a list of all CHPs in Bungoma County disclosing their contact information as well as their areas of deployment. (2) State the total earnings paid to the CHPs, so far, and indicate the arrears owed to them by the County Government of Bungoma and the national Government, respectively. The electronic ... view
  • 18 Jul 2024 in Senate: (3) Specify the pay points of CHPs along with details on whether there was public participation involving the County Government and the promoters in the selection of these payment points. (4) Clarify whether there is an existing contract between the county government and CHPs and inform if the stipend they are currently receiving is in accordance with this contract. (5) Outline the measures implemented by both the county and national Governments to address current delays and ensure timely payment in future. I thank you. view
  • 3 Jul 2024 in Senate: Asante, Bw. Spika, kwa nafasi hii ili nitoe rambirambi na pole kwa familia ziliopoteza wapenzi wao katika purkushani iliyokuwa katika mji mkuu wa Kenya na viunga vyake na pembe mbalimbali za nchi ya Kenya. Vile vile, nashukuru kwa kujaribu kudhibiti mawimbi katika Seneti. Licha ya kupeana mwelekeo, lazima sisi kama Seneti tujadili kwa kinaga ubaga yale ambayo yanawahusu Wakenya katika awamu hii ya Seneti. Katika Seneti, kuna vitengo na kamati mbalimbali za uongozi. Mara tena na tena, kumekuwa na ripoti zinazoletwa hapa Seneti kuhusiana na ubadhirifu wa pesa za umma, ukabila na mambo mengine ambayo hayaendi sambamba na matarajio ya ... view
  • 3 Jul 2024 in Senate: kutoa mwelekeo na makataa ya siku ngapi zinazotarajiwa majibu yatekelezwe na nyenzo mbalimbali za nchi ya Kenya. Naomba Seneti na Bunge la Kitaifa yasipige miayo na kulia pasipo kutekeleza kwa mujibu wa Katiba. Kaunti ya Migori, Trans Nzoia na kaunti zingine mbalimbali zina changamoto ambazo taasisi na kamati hapa Bunge zinajua kuna shida na twajua suluhisho ziko wapi. Naomba kutoka leo, kando na kujieleza na kupeana madawa kama Panadol kwa Wakenya, lazima tupeane matibabu ya kweli kwa wakati unaostahili. Kenya Revenue Authority (KRA) imekuwa ikiajiri watu. Kamati husika ina takwimu za kudhibitishwa lakini bado hatujachukua hatua ya kuwaita waliohusika kuwaajiri ... view
  • 3 Jul 2024 in Senate: ambayo imeonekana hapa Kenya. Katika awamu iliyopita, kulikuwa na lawama. Katika awamu hii, tumeona kana kwamba kuna mahaba fulani. Wakati unaostahili, watu wananyamaza. Watu wanapoongea, huenda wako njaa. Wakenya wanauliza haya maswali. Wakati mambo yanafaa kuzungumziwa, watu wananyamaza ndio maana vijana wameamka sasa katika kaunti. Angalia wizara ya vijana katika kaunti zote katika nchi ya Kenya, asilimia 99 sio vijana. Ni mawaziri wanaosimamia vijana katika kaunti zetu. Angalia kazi zinapotangazwa katika kaunti zetu, vijana hawapewi nafasi. Wao ni kuangalia kwenye video na simu za rununu. Kandarasi zinazopewa kitaifa na katika kaunti, vijana hawapewi huku Nairobi wala kule mashinani. Lazima tuonekane ... view
  • 3 Jul 2024 in Senate: Tumekuwa na Kamati ya Ugatuzi kule Bungoma tukiangalia soko. Tumekuwa na Mhe. Osotsi kule Vihiga na Wajir. Tumejionea kwa macho pesa zetu. Wakenya wanapigana kwa sababu hali ya maisha imepanda, wanashtumu Bunge la Kitaifa lakini hapa mashinani katika kaunti, wanakamuliwa pole pole pasipo wao kujua. Sasa sisi tuna mjadala wa public participation . Mahusiano ya Wakenya na viongozi. Tupeleke mchakato huu pale mashinani, wajue bajeti za kauti zinatengenezwa vipi na takwimu za kaunti ziko vipi. Na wao watanufaika vipi kutokana na jasho lao ambalo kwao tunapeleka pesa mashinani? Sasa mimi naungana na Wakenya wote. Juzi, tumeona Waziri wa Elimu na ... view
  • 3 Jul 2024 in Senate: Sehemu zingine, watoto wetu wamepiga foleni kutafuta kazi za ualimu. Kwingine, watoto wanapiga magoti. Wanaponyoosha mikono juu, inawapiga pa kifuani. Tutamkimbilia nani na hawa watoto watamkimbilia nani? Watawalilia nani iwapo baadhi ya wale wanaopeana barua hizi tunawajua? Ni majirani zetu. Ni ndugu zetu. Lakini hatujaona viongozi wakisimama kidete kuwakataza Mawaziri wawache kutumia mbinu za mkato kuwapa watoto wetu kazi ilhali wetu wa mashinani wanajionea kwa macho. Lazima tuseme ukweli. Haijalishi wewe unatoka kabila gani. Cha muhimu tenda wema, nenda zako. Mimi ni miongoni mwa wale vijana chipukizi katika Seneti. Yale ninayoona hapa, wengine wanapiga kelele na kutoa machozi ya mamba. ... view

Comments

(For newest comments first please choose 'Newest' from the 'Discussion' tab below.)
comments powered by Disqus