Davis Wafula Nakitare

Born

7th May 1943

Post

P. O. Box 126 Endebess

Email

nakitare@africaonline.co.ke

Telephone

0722489317

Telephone

0735669729

All parliamentary appearances

Entries 251 to 260 of 895.

  • 18 Jul 2023 in Senate: The electronic version of the Senate Hansard Report is for information purposesonly. A certified version of this Report can be obtained from the Director, Hansard Services,Senate. view
  • 18 Jul 2023 in Senate: dawa kwa mahindi, ndungu zangu walikuwa katika vyombo vya habari wakibwata. Sasa karibu watu wanavuna. Badala ya kuandaa sufuria kukaribisha mavuno ya kipekee, ndugu zetu wametoa vijana wenye misuli na uwezo wa kujenga nchi. Wanaenda kwenye baraste za nchi hii wakipiga mayowe na kubeba sufuria kwenye vichwa. Sijui ni dini gani, tamaduni au itikadi zipi zinazowaruhusu wasomi wa tajriba kama hawa katika Seneti kubeba sufuria kwenye vichwa kadamnasi ya vyombo vya habari dunia nzima. Ukiweka sufuria kwenye kichwa, sijui kama bei ya bidhaa na chakula itashuka. Sijui ni maombi gani wanayotarajia. Katiba inatupa nafasi ya kutembea na kuhusiana na watu ... view
  • 18 Jul 2023 in Senate: Hawasemi chochote. Bei ya unga imekuwa juu, hakuna mtu anapinga. Ukienda Tanzania, Uganda na nchi za Ughaibuni, hali ya maisha imepanda. Sijaona waingereza ama ndugu zetu Watanzania wakibeba sufuria vichwana. Falsafa ya sufuria kichwani imetoka wapi? view
  • 18 Jul 2023 in Senate: Bi. Spika wa Muda, kwa mara ya kwanza katika Kenya hii, yale ambayo viongozi wanatamka mbele ya uma na kupiga vifua kwamba lazima nchi isimame, biashara zivunjwe, hiyo si demokrasia wala haki ya Wakenya. view
  • 18 Jul 2023 in Senate: Ninaomba kama viongozi tumakinike, tuwe jasiri na tusimame wima. Tujadili na tubainishe mbichi na mbivu kikatiba; tusuluhishe mambo haya lakini sio yale ambayo naona kwenye barasi za nchi ya Kenya. view
  • 18 Jul 2023 in Senate: Mwisho kabisa, kuna tabia mbovu ambayo nimeona. Ndugu zetu wanatumia vyombo vya habari kusambaza--- view
  • 18 Jul 2023 in Senate: Madam Temporary Speaker, it is a point of information. view
  • 18 Jul 2023 in Senate: Asante, Bi. Spika wa Muda. Arifa ambayo ningependa kuongezea ni kwamba, kulikuwa na Waziri wa Ukulima Kenya hii na alipewa Kshs14 billion kuhakikisha mahindi na nafaka imepandwa katika Galana Kulalu. Lakini alipongatuka ofisini, hata magunia ishirini pekee yake hangeweza pata. Bilioni kumi na nne na sasa wameungana kubeba sufuria kwenye vichwa, ni kinaya na kejeli kwa democrasia ya nchi hii. Asante, Bi. Spika wa Muda. view
  • 18 Jul 2023 in Senate: Asante, Bi Spika wa Muda. Kanuni za Kudumu No. 105, sielewi mbona Mheshimiwa anahashiria kwamba wanao ingia kwenye Bunge hili kama Maseneta huwa wanaashiria kutumia vileo ama mihadarati wanapo fanya kazi zao. Naomba adhibitishe ama aombe msamaha. view
  • 18 Jul 2023 in Senate: On a point of information, Madam Temporary Speaker. view

Comments

(For newest comments first please choose 'Newest' from the 'Discussion' tab below.)
comments powered by Disqus