Davis Wafula Nakitare

Born

7th May 1943

Post

P. O. Box 126 Endebess

Email

nakitare@africaonline.co.ke

Telephone

0722489317

Telephone

0735669729

All parliamentary appearances

Entries 681 to 690 of 893.

  • 28 Mar 2007 in National Assembly: Mr. Speaker, Sir, everybody has a school of thought. Whoever comes up with ideas does so for himself or herself. Nobody borrows ideas from another. view
  • 28 Mar 2007 in National Assembly: On a point of order, Mr. Temporary Deputy Speaker, Sir. I would like to raise the issue of trivialising discussions on the Floor of the House. We are legislators and I am concerned with the manner in which you are conducting business here. view
  • 27 Mar 2007 in National Assembly: Mr. Speaker, Sir, I am dismayed. In his reply, the Assistant Minister has not even indicated the involvement of our defence forces. Since there is an element of aggression, I would like to know whether the Assistant Minister's answers are coming from the Ministry of Defence or from the office of the Vice-President and Ministry of Home Affairs. view
  • 22 Mar 2007 in National Assembly: Asante, Bw. Naibu Spika wa Muda, kwa kunipa nafasi hii kuchangia Hoja hii inayohusu Hotuba ya Rais. Hotuba yake ilikuwa kama fumbo kwa wale walio hai. Naishukuru Serikali hii kwa sababu, kwa miaka minne iliyopita, watu wameona matunda ambayo yalikuwa hayaonekani wakati wa utawala uliopita. Nashangaa kuwasikia baadhi ya Wabunge wakiikashifu Serikali hii, wakisema kwamba haijafanya chochote. Wengi wao walikuwa katika Serikali iliyotangulia. Kwa nini hawakuikosoa Serikali hiyo? March 22, 2007 PARLIAMENTARY DEBATES 103 Ningependa kugusia mambo ya usalama nchini. Namshukuru Rais kwa kufanya jitihada za kuleta amani kupitia mazungumzo. Yeye ni mtu mtulivu ambaye anasikiliza. Ningemuomba asisitize mambo haya ... view
  • 22 Mar 2007 in National Assembly: Asante sana, Bw. Naibu Spika wa Muda. Hawa ndio elders wa hiyo kabila; hawa ndio wasimamizi wa hiyo mbari . Mimi naijua mbari hiyo na Bw. Wanjala haijui, bali analala! view
  • 22 Mar 2007 in National Assembly: Mambo haya ni mambo ya taifa. Wewe uko hapa na ni Waziri mdogo, je, ni nani ambaye yuko Chebyuk? Ni nani ambaye yuko Kapsokwony? Je, wewe umeenda huko? Hao watu wanalala wapi? Usijaribu kuingilia mambo ambayo husemi. Mimi sikusema kuwa hawa watu--- view
  • 22 Mar 2007 in National Assembly: Asante, Bw. Naibu Spika wa Muda. Ni uchungu ambao unanifanya nizungumze hivyo kwa sababu watu wanakufa, hali watu wa Nairobi wanafanya mchezo, kama uliokuwako wakati wa vita vya kikabila. Hivi sivyo vita vya kikabila. Mimi naleta mambo haya ili ieleweke kwamba Serikali ina jukumu la kupatanisha watu. Hawa wazee niliowataja ni wazee wa mikoa; ni wazee wa ukoo wanaoweza kupatanisha watu. Sikusema kuwa ni wazee wanaopiganisha watu! Haya ndiyo mambo ambayo watu huyachukulia kwa wepesi bila kuelewa. Katika Hotuba yake, mhe. Rais aliweza kuleta mbwanda kwa akina mama. Sisi 104 PARLIAMENTARY DEBATES March 22, 2007 tulisomeshwa na akina mama ambao ... view
  • 22 Mar 2007 in National Assembly: Mhe. Shaban alisema kwamba orange ni matunda yanayobadilika, yaani alikuwa akibainisha kati ya rangi ya machungwa na shati, vile mhe. Tuju alikuwa akisema shati na rangi ya maua. Huo ndio ufafanuzi ambao mimi nasema. Sitaki kuingia katika siasa ya vyama hapa, bali nataka kuleta mwanga kuhusu kazi Serikali imefanya. Kwa hivyo, lile ninalosema ni kwamba, yule mtu ambaye hana macho na hawezi kukubali kwamba Serikali hii imefanya kazi nzuri, basi ajiulize mwenyewe ameifanyia nini Kenya? Au anangojea kuuliza Kenya imemfanyia kitu gani. Mdomo mtupu haufai! Ni hayo tu, Bw. Naibu Spika wa muda. Asante sana kwa kunipa fursa hii. Naunga ... view
  • 7 Dec 2006 in National Assembly: Mr. Speaker, Sir, you can see that the Ministry of Roads and Public Works is a conduit for waste of money. They did five kilometres for over Kshs300 million. For what purpose? Is this road better than the Maai Mahiu-Narok Road which serves tourists? view
  • 7 Dec 2006 in National Assembly: On a point of order, Mr. Speaker, Sir. Is the Assistant Minister in order to mislead this House that the experiment on Mbagathi Way is going to benefit the country and yet he has not taken into account natural catastrophes like earthquakes? How much will be wasted? Is he in order to mislead the House that this is a scientific experiment? view

Comments

(For newest comments first please choose 'Newest' from the 'Discussion' tab below.)
comments powered by Disqus