All parliamentary appearances

Entries 81 to 90 of 112.

  • 12 Mar 2014 in National Assembly: Hon. Temporary Deputy Speaker, there is no way we can doubt that we will have the laptop project. This is because everybody is doubting this project. Some people are saying that they are not sure whether this project will be implemented. I am from the Jubilee Government and I assure hon. Members that the laptop project is there to stay. view
  • 12 Mar 2014 in National Assembly: Thank you very much, hon. Temporary |Deputy Speaker for giving me an opportunity. view
  • 20 Nov 2013 in National Assembly: Ahsante, Mhe. Naibu Spika wa Muda, kwa kunipa nafasi hii. Karibu niulize, pia tukiwa watatu sipati nafasi? Ningependa kuunga mkono Hoja hii, lakini ningependa kusema kwamba hakuna kiasi cha pesa kinachoweza kulipa uhai wa mwanadamu ama kumlipa mwanadamu aliyeathiriwa na ajali. Hata hivyo, ni bora kufikiria kwamba tuko na shida na ni lazima tuitatue shida hiyo. Tukiangalia tutaona kwamba watu wengi wanaumia kutokana na kutolipwa fidia wanapopata ajali. Hata hizo hela kidogo wanazostahili kulipwa ndiyo waweze kujisaidia zinapotelea mikononi mwa watu wengine. Ninaamini kwamba mtu anapoumia, inafaa ajijulie hali yeye mwenyewe. Katika maeneo Bunge, watu wanalia sana. Unapata muathiriwa akisema ... view
  • 20 Nov 2013 in National Assembly: Mhe. Mwenzangu anaongea vizuri, lakini ni vizuri kusema kwamba wale wanabeba wateja kwa pikipiki wanakunywa bhang na pombe? Uko na uhakika kwamba wanakunywa pombe? view
  • 30 Oct 2013 in National Assembly: Ahsante Bi. Naibu wa Spika. Nimesimama kuunga mkono Hoja hii. Sisi sote tunajua kwamba maji ni uhai. Wakati tuna maji mengi ni wakati mvua imenyesha. Maji humwagika kote kote hata barabarani. Hata hivyo kuna wakati kila mtu husumbuka. Kwa mfano, wafugaji husumbuka sana wakitafuta maji. Ikiwa tutachukua hatua ya kutafuta maji--- Watu wengi wanafikiria kwamba maeneo bunge ya mijini hayana shida ya maji. Ukweli ni kwamba maji yanahitajika katika kila maeneo bunge. Kila wakati watu wanalia kwamba mimea yao imekauka kwa sababu maji hayapo. Tukishikana mikono na tuhifadhi maji na tuyatumie vizuri, basi wakati wa kiangazi hatutakuwa na shida ya ... view
  • 30 Oct 2013 in National Assembly: Ahsante Bi. Naibu wa Spika. Nimesimama kuunga mkono Hoja hii. Sisi sote tunajua kwamba maji ni uhai. Wakati tuna maji mengi ni wakati mvua imenyesha. Maji humwagika kote kote hata barabarani. Hata hivyo kuna wakati kila mtu husumbuka. Kwa mfano, wafugaji husumbuka sana wakitafuta maji. Ikiwa tutachukua hatua ya kutafuta maji--- Watu wengi wanafikiria kwamba maeneo bunge ya mijini hayana shida ya maji. Ukweli ni kwamba maji yanahitajika katika kila maeneo bunge. Kila wakati watu wanalia kwamba mimea yao imekauka kwa sababu maji hayapo. Tukishikana mikono na tuhifadhi maji na tuyatumie vizuri, basi wakati wa kiangazi hatutakuwa na shida ya ... view
  • 3 Oct 2013 in National Assembly: Asante sana, Bi. Naibu Spika kwa hayo majibu kutoka kwa Mwenyekiti wa Kamati ya Mazingira na Mali ya Asili. Ningetaka kusema kwamba sijaridhika kwa sababu wakulima katika eneo bunge la Ruiru na Kenya yote wanateseka kwa sababu ya hawa wanyama wa pori. Wakati wanyama wameuliwa, tunakimbizwa na watu wanateswa sana kwa sababu ya kuwaua. Wanyama wakiua watu, hakuna malipo wanapata. Kwa hivyo, ninamshukuru Mwenyekiti lakini sijaridhika. Ningetaka kuikaribisha Kamati kwa eneo langu la Bunge. Tuko na bwawa la maji la tatu ambapo tumeuliza Serikali iweke seng’enge ya stima lakini haijawekwa. Wiki iliyopita, mtoto mdogo alikuwa karibu kuumwa na mamba akitoka ... view
  • 1 Oct 2013 in National Assembly: Hon. Deputy Speaker, I want to thank the Committee on Transport, Public Works and Housing for I have really waited for an answer from them. I am sorry that by the time they invited me for their meeting I was not in the country. My concern, however, was whether we are following rules on our roads. We have had so many fatal accidents. Given what they have reported, I know we are going to change the state of our roads. If we use the “Michuki Rules” and we follow them to the letter, I know that the number of accidents ... view
  • 6 Aug 2013 in National Assembly: On a point of order, hon. Deputy Speaker. Thank you for the opportunity. My point of order is on what we doing right now. So many hon. Members have been requesting for Statements and once they are told they will get a response, nothing happens. I remember at the beginning of last month, I had a request to the Ministry of Transport and Infrastructure. I was told that I will be called to the Committee, but up to now I have not been called. Accidents are happening every day. So, my question to the Chairperson of the Departmental Committee on ... view
  • 6 Aug 2013 in National Assembly: Thank you, hon. Deputy Speaker. I rise to second this Bill. As the Chairman has said, we have been having problems with the CDF Act. There are very many things that Members have been questioning about the Act. The electronic version of the Official Hansard Report is for information purposesonly. A certified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor. view

Comments

(For newest comments first please choose 'Newest' from the 'Discussion' tab below.)
comments powered by Disqus