Eugene Ludovic Wamalwa

Parties & Coalitions

Born

1st April 1969

Post

Parliament Buildings
Parliament Rd.
P.O Box 41842 – 00100
Nairobi, Kenya

Email

Saboti@parliament.go.ke

Email

saboti@hotmail.com

Link

Facebook

Web

www.eugenewamalwa.com

Telephone

0722981411

Link

@elwamalwa on Twitter

All parliamentary appearances

Entries 791 to 800 of 1195.

  • 2 Dec 2009 in National Assembly: Bw. Naibu Spika wa Muda, tukiangalia historia ya nchi hii, tunaona kwamba kwa miaka 46 tangu tupate Uhuru, hatujakuwa na Sera Rasmi ya Kitaifa kuhusu Ardhi. Tunafahamu kwamba wakoloni walipoingia hapa, walipata babu zetu na mifugo na mimea yao. Wakoloni waliwanyang’anya ardhi yao na kuwafanya wapagazi wao na maskwota. Mambo hayo hayakurekebishwa tulipopata Uhuru. Wakenya wachache ambao walikuwa na pesa walinunua ardhi kupitia mpango wa SFT. Kuna Wakenya ambao walibuni makampuni ya kununua ardhi na kuna wale ambao walianzisha mashirika mbali mbali ya kununua ardhi hii. Watu wengi waliokuwa maskwota hawakushughulikiwa. view
  • 2 Dec 2009 in National Assembly: Bw. Naibu Spika wa Muda, nilikuwa ninasema kwamba mimi ni mjukuu wa skwota. Labda, Mheshimiwa mwenzangu hajawahi kujua shida za maskwota na ninaomba nipewe nafasi ili nimweleze. Shida ya maskwota ni kubwa sana hasa katika Wilaya ya Trans Nzoia na katika Mkoa wa Pwani. Kuna Wabunge ambao wamechangia swala la maskwota katika Bunge hili. Nilileta Hoja ya kupendekeza tuwe na hazina ya maskwota katika Bunge hili. Katika Bunge la Tisa, Mhe. G.G. Kariuki alileta Hoja ya maskwota na akapendekeza utaratibu wa kuweza kuchunguza na kupata maskwota halisi. Huu ni mchango wa maana sana. Ninamwomba Waziri aangalie michango ya Wabunge walio ... view
  • 26 Nov 2009 in National Assembly: Mr. Speaker, Sir, in the last Session, the Assistant Minister promised to visit roads in this region, particularly the Eldoret-Kitale Road, and the Ziwa- Kachibora-Kitale Road. I do not know when he intends to visit those roads; because Kshs3 million is clearly insufficient for fixing those roads. When does he intend to visit the roads to appreciate the situation? view
  • 26 Nov 2009 in National Assembly: Mr. Speaker, Sir, I think the Minister has acknowledged that the document is still in the process of being circulated yet time started running from the 17th of November, 2009. This is the second week. The 30 days are already being counted. What is the Minister going to do about the outcry by members of the public for the extension of the period of the 30 days? view
  • 26 Nov 2009 in National Assembly: Mr. Temporary Deputy Chairman, Sir, due to the necessity for further consultations, I wish to withdraw the proposed amendment. view
  • 26 Nov 2009 in National Assembly: Mr. Temporary Deputy Chairman, Sir, the position is the same. So, I withdraw this new Clause. view
  • 26 Nov 2009 in National Assembly: Mr. Temporary Deputy Chairman, Sir, the position is the same. view
  • 26 Nov 2009 in National Assembly: Mr. Temporary Deputy Chairman, Sir, this is a matter that needed further consultations and I wish to withdraw it at this point. view
  • 25 Nov 2009 in National Assembly: Mr. Deputy Speaker, Sir, I beg to ask the Minister for Roads the following Question by Private Notice. view
  • 25 Nov 2009 in National Assembly: (a) What feasibility studies have been carried out to establish the possibility and/or viability of constructing a bridge across the Kilindini harbor? Can the Minister table the same? view

Comments

(For newest comments first please choose 'Newest' from the 'Discussion' tab below.)
comments powered by Disqus