Parties & Coalitions

All parliamentary appearances

Entries 261 to 272 of 272.

  • 20 Mar 2018 in Senate: Ahsante Bw. Spika. Ningependa kuchukua nafasi hii kumpongeza Sen. Orengo kwa kuchaguliwa kama kiongozi wawalio wachache katika Bunge hili la Seneti. Kwa hakika, Sen. Orengo alisimama kidete kwa upande wa upinzani. Rekodi zake zimejiandika na kwa hakika, wakati kulikuwa na vuta nikuvute katika kinyang’anyiro cha uchaguzi, Sen. Orengo aligonga vichwa vya habari na kuweza kupeleka sehemu ile yake mbele. Sen. Orengo anafaa katika cheo ambacho amechaguliwa na kwa wakati huu, tunamkaribisha kuongozi wa wale walio wachache katika Bunge hii la Seneti. Ningependa pia kueleza masikitiko yangu kwa rafiki yangu, Seneta Wetangula, ambaye aliongoza Maseneta walio wachache katika ugatuzi wa kwanza ... view
  • 20 Mar 2018 in Senate: The electronic version of the Senate Hansard Report is for information purposes only. A certified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor, Senate. view
  • 13 Mar 2018 in Senate: Thank you very much, Mr. Speaker, Sir. I take this opportunity to also welcome the delegation from the PAP who are with us today. This morning, I had the privilege of meeting the delegation in a meeting of the Committee on Devolution and The electronic version of the Senate Hansard Report is for information purposes only. A certified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor, Senate. view
  • 8 Mar 2018 in Senate: Thank you, Mr. Temporary Speaker, Sir, for giving me this chance. Bills Nos.8 and 9 are before the Committee on Devolution and Intergovernmental Relations for public participation. Today, we heard from the Council of Governors (CoG) and the forum of Deputy Governors. Tomorrow, we will write up the inputs that we got The electronic version of the Senate Hansard Report is for information purposes only. A certified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor, Senate. view
  • 22 Feb 2018 in Senate: Thank you, Mr. Speaker, Sir. I also come from a county which is mostly hit by the drought. That is Tana River County. I suffer and feel the same with the Sen. Dullo. On behalf of the Committee on Devolved Government and Intergovernmental Relations, I would like to give the following undertaking: I will consult the relevant Ministry and give a substantive answer as soon as possible. I will do so in two weeks’ time. view
  • 6 Dec 2017 in Senate: Mr. Deputy Speaker, Sir, thank you for giving me this chance to support this Paper before me; a very big document. There is a large percentage of people moving from rural areas to urban centres. It means that urban centres are getting large populations from rural areas. In line with this, urban centres should be managed. The only way to manage them is to get good transport, housing, electricity, water and the sewerage system developed in a proper way. Mr. Deputy Speaker, Sir, to ensure proper development of infrastructure, it would be better to have a Ministry of urban development ... view
  • 5 Dec 2017 in Senate: Thank you, Madam Temporary Speaker, for giving me a chance to add my voice to that of my colleagues. Revenue collection is very crucial at all levels, be it at the National or county level. Having gone through this report, I have seen some few things to speak about. If counties sleep on their jobs and fail to collect revenue and then we go through and pass legislation in this House saying that every county should go and undertake development or what they want to do using whatever they collected, then that means that some counties will be stuck. Therefore, ... view
  • 29 Nov 2017 in Senate: Thank you Madam Speaker. I rise to support this Motion. As we all know, we experienced a long drought for several years. That touched on the livelihood of our people mostly from where I come from; Tana River County, the neighbouring counties that I travel through like Kitui County and the northern Kenya counties which are prone to this drought. As I was travelling through Tana River County, I witnessed people die in shallow wells in search of water for their livelihood, domestic use and for their livestock. It is serious to go through this experience. On the other side, ... view
  • 7 Nov 2017 in Senate: Ahsante Bw. Spika. Ningependa kuchukua fursa hii kupeleka risala zangu za rambirambi kutoka kwangu, familia yangu na watu wa Tana River kwa jumla kwa kifo cha Gavana wa Nyeri. Ningependa kuwapa pole Serikali na watu wa Nyeri. Ningependa pia kumpa pole Seneta wa Nyeri, ambaye tuko naye hapa. Tutasimama na nyinyi wakati huu mgumu amba oGavana wetu ametuacha. Naomba kwamba wakati huu usiwe wa siasa, bali uwe wakati wa kuomboleza na kutuleta sisi sote pamoja. Huu ni wakati wa kupeana moyo kwa watoto wake, familia yake na hasa kwa mtoto wake ambaye ana fanya mtihani wa kitaifa. Tunampa moyo na ... view
  • 27 Sep 2017 in Senate: Thank you, Madam Temporary Speaker, for giving me this opportunity to contribute to this Motion. As we all know, we are heading to the repeat Presidential Election. This recess will give us an appropriate time to go to our counties to do some activities, for example, to visit our agents who will undertake the elections. We will also familiarize ourselves with the new county government and the county assembly so as to understand how they conduct their business. This recess will also give us an opportunity to campaign in different parts of our county and meet our people. It will ... view
  • 27 Sep 2017 in Senate: Asante Bw. Spika, ningependa kuunga mkono Hoja iliyoletwa na Seneta Mwaura. Wakenya walitoa maoni yao tarehe nane mwezi wa nane na wakamchagua Rais Uhuru Muigai Kenyatta kwa wingi wa kura million moja nukta nne. Korti imeamua turudie uchaguzi na katika hali ya kurudia, Rais wetu Uhuru Muigai Kenyatta amekubali kurudi apigiwe kura tena na sisi tunahakika na wala hatuna shaka Uhuru Muigai Kenyata atashinda tarehe ishirini na sita na tumejitayarisha kurudi kwa uchaguzi. Bw. Spika, unavyoona nyumba hii wapinzani wengi wako nje barabarani pamoja na wananchi wa Kenya na wameweza kuwapotosha. Mimi ningependa sana wananchi wa Kenya wasipotoshwe na hakuna ... view
  • 26 Sep 2017 in Senate: Asante, Bw. Spika. Nachukua nafasi hii kuwashukuru watu wa Tana River County kwa kunichagua kama Seneta wao. Pia ningependa kuwapongeza Maseneta wenzangu waliochaguliwa na walioteuliwa. Ninakupongeza wewe na naibu wako kwa kuchaguliwa kuongoza Seneti hii. Mwisho, ninaipongeza Kamati tekelezi ya Bunge hili kubwa iliochaguliwa. Bw. Spika, nikichangia Hotuba ya Rais wa Kenya ningependa kuunga mkono na kumpongeza juu ya kielelezo chake cha amani, umoja na uwiano. Si vizuri kwetu kama viongozi kugawagawanya Wakenya katika misingi ya kikabila, dini au vyama. Wakati huu ambao tunaelekea uchaguzi wa pili wa Rais inapasa watu wetu wote wahubiri amani ili nchi yetu iendelee. Nchi ... view

Comments

(For newest comments first please choose 'Newest' from the 'Discussion' tab below.)
comments powered by Disqus