Parties & Coalitions

All parliamentary appearances

Entries 251 to 260 of 272.

  • 11 Jul 2018 in Senate: Yes, Mr. Speaker, Sir, I was around, but I did not vote. I was in the washroom. So, I did not vote. view
  • 19 Jun 2018 in Senate: Mr. Deputy Speaker, Sir, I would like to join my colleagues, on behalf of myself, my family and the people of Tana River County that I represent, to send my sincere condolences to the family of the late Ben Oluoch who passed away. The electronic version of the Senate Hansard Report is for information purposes only. A certified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor, Senate view
  • 19 Jun 2018 in Senate: Mr. Deputy Speaker, Sir, he did not sit next to me but on my extreme right from the entrance. view
  • 19 Jun 2018 in Senate: Therefore, I condole with the family. view
  • 12 Jun 2018 in Senate: Asante sana, Bw. Spika, kwa kunipa nafasi hii kuweza kuchangia swala la polisi kubeba watu katika sehemu zao na kupotea. Hali si hali katika Kaunti ya Tana River. Polisi hubeba watu kwa magari ambayo hayana namba ya usajili. Hivi karibuni, vijana kwa majina Mohammed Ismael Somane, Jibril Abdi Somane walibebwa katika hali ya kutatanisha katika mji wa Hola. Watu ambao hawafahamiki walikuja na kuwabeba vijana hao na mpaka siku ya leo, vijana hao kutoka sehemu ya Bura hawapatikani. Magari yaliyowabeba yalikuja kwa hali ya kutatanisha. Wakati mtu wako anabebwa na watu wasiojulikana, utafanyanini? Huwezi kujua kama ni jambazi au polisi. ... view
  • 7 Jun 2018 in Senate: On a point of order, Madam Temporary Speaker. view
  • 7 Jun 2018 in Senate: Bi. Spika wa Muda, ningependa kumweleza rafiki yangu Seneta Faki aseme “Bi. Spika.” Angekuwa ni “Bwana Spika” kama angekuwa ni mwanamume, lakini kwa wakati huu, aliyeko ni Bi. Spika. Asante. view
  • 5 Jun 2018 in Senate: Asante sana, Bw. Mhe. Spika, kwa kunipa nafasi hii. Naunga mkono Hoja hii iliyoletwa na Sen. Kihika kuhusu janga la mafuriko lililotokea sehemu ya Solai. Nawapa pole zangu walioathirika na kuunga mkono Kamati ambayo imechaguliwa kwenda kuchunguza tukio hilo. Mambo ya Solai yalikuwa magumu sana na ya kusikitisha. Nawatangazia ya kwamba sehemu nyingi nchini mvua imesita wakati huu. Hata hivyo, kuna mafuriko mengi katika Kaunti ya Tana River tangu juzi kuliko wakati ule w amwanzo. Jambo hili linasikitisha sana. Maji yanayo beba watu sehemu hiyo ni yale yanayo achiliwa kwa makusudi kwenda kuathiri watu wa Kaunti ya Tana River. Bw. ... view
  • 9 May 2018 in Senate: Asante, Bw. Naibu Spika, kwa kunipa nafasi hii ili niangazie mambo machache katika hotuba ya Mhe. Rais Uhuru Muigai Kenyatta. Ninaiunga mkono kwa sababu ililenga kuunganisha wananchi wetu wa tabaka mbalimbali; maskini na matajiri na wale ambao wana milengo tofauti ya kisiasa. Jambo la kufurahisha muno tuliaona viongozi wetu wakisalimiana kuashiria umoja wetu. Kwa hivyo, ninamuunga mkono kwa dhati katika jitihada zake za kuwaunganisha Wanakenya wote bila ubaguzi wowote Pia ningependa kumuunga mkono Rais wetu katika maswala yake manne makuu ya kimaendeleo aliyoyaangazia katika hotuba yake. Wakati huu tunayafanyia kazi maswala haya manne makuu ili tuweze kuwa na maendeleo katika ... view
  • 28 Mar 2018 in Senate: Mr. Deputy Speaker, Sir, thank you for giving me time to add my voice to this important Motion. I support the coming together of the two great leaders. This is an idea which needs to be supported by every citizen of this country and not just by the arms of Government and leaders. The electronic version of the Senate Hansard Report is for information purposes only. A certified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor, Senate. view

Comments

(For newest comments first please choose 'Newest' from the 'Discussion' tab below.)
comments powered by Disqus