Parties & Coalitions

All parliamentary appearances

Entries 231 to 240 of 272.

  • 11 Oct 2018 in Senate: Asante, Bw. Spika wa Muda, kwa kunipa nafasi nyingine tena. Nampongeza rafiki yangu, Sen. Olekina, kwa kuleta Hoja hii mbele ya Seneti. Hakika, tunafaa kuukuza utalii ndani ya Kenya. Kuna mambo mengi maridadi yaliyo mafichoni humu Kenya, ambayo tunafaa kuyatoa nje ili kuvutia watu wengi. Kwa hakika, hakuna kaunti ambayo haina mambo mazuri ya kitalii, lakini mengi ya hayo yako mafichoni. Bw. Spika wa Muda, tunafaa tubadilishe mtazamo wetu kuhusu utalii, kwa sababu sisi tunafikiria kwamba watalii ni wale wanaotoka nchi za nje kuja hapa peke yao. Mambo mengi mazuri ya utalii yako ndani yetu, kwa mfano, jinsi Waafrika tofauti ... view
  • 11 Oct 2018 in Senate: Thank you, Mr. Temporary Speaker, Sir, for giving me this opportunity to Second the Motion by my friend, Sen. (Dr.) Musuruve. Mr. Temporary Speaker, Sir, language learning and acquisition takes place effectively in early childhood. Children with disabilities have a right to learn English. This is because all subjects are taught in English and, therefore, people with special needs should be taught English so that they can conform to the curriculum of this country. Mr. Temporary Speaker, Sir, English language is largely taught internationally. The disabled people are among the international communities and, therefore, it is good for them to ... view
  • 25 Sep 2018 in Senate: Asante, Bibi Spika wa Muda. view
  • 25 Sep 2018 in Senate: Asante Bibi Spika wa Muda. Kwa wale ambao hawafahamu Kiswahili vizuri wanaona ni tofauti sana kusema Bibi Spika na Bi. Spika kwa sababu Bi.ni ufupi wakusema Bibi. view
  • 25 Sep 2018 in Senate: Mswada ulio mbele yetu ambao ni sheria ya petrol ni mkubwa. Wale waliotengeneza walifanya hivyo kwa hali ya utalamu mkubwa sana. Kuna mengi ambayo ni mazuri katika Mswada huu. Hata hivyo tunataka tukupiga msasa kidogo ili uwe sawa kabisa. view
  • 25 Sep 2018 in Senate: Katika yale mazuri ambayo yako hapa ni kuwa jamii inayoishi katika sehemu ambayo madini haya yanapatikana inaweza kupata masomo yale ambayo wanaita view
  • 25 Sep 2018 in Senate: , au training na pia kutengenezewa barabara. Uchafu pia unachomwa na hayo yamo katika Mswada huu. Bi. Spika wa Muda, tukisema tutapiga msasa Mswada huu, mambo mengi yameenda kwa ugatuzi. Hasa kwa kuwa madini haya yanapatikana katika kaunti, watu wameweza kupata cheche nyingi na kusema kuwa mambo mengi yamewekwa kwa Serikali kuu. Waziri ambaye yuko katika Serikali kuu atakuwa na mamlaka, na hii ndio sababu tunasema kwamba kutakuwa na wahuni wengi wanaoitwa cartels katika Serikali kuu. Wahuni hawa watanyonya haki na rasilimali ambazo zitapatikana katika sehemu ile ya chini; na hiyo ndiyo sababu watu wameenda kwa ugatuzi. Kwa hivyo, hayo ... view
  • 25 Sep 2018 in Senate: Bi Spika wa Muda, sikupata nafasi wakati wa mwanzo kabisa, lakini ningependa Seneti hii, ikiondoka hapa, iende katika Kaunti ya Tana River wakati tutakapoenda katika--- view
  • 20 Sep 2018 in Senate: Thank you, Madam Temporary Speaker, for giving me this chance to add my voice to this Motion. First, I congratulate my good friend, Sen. Wetangula, for bringing this Motion to the Floor of this House. view
  • 20 Sep 2018 in Senate: A few days ago, when this House was on recess, I was privileged to travel to many places in Tana River County that I represent in this House. As I visited those towns and villages, my people told me to voice out loud and clear the issue of high taxation that is looming in the country. On the day that the new tax measures were announced, the wholesalers and the retailers refused to sell the commodities they had in the stores, because they were told that taxes had been raised. Therefore, they needed to sell whatever they had in their ... view

Comments

(For newest comments first please choose 'Newest' from the 'Discussion' tab below.)
comments powered by Disqus