Harrison Garama Kombe

Born

1956

Post

P.O. Box 276, Malindi, Kenya

Email

hanko56@hotmail.com

Telephone

0723032771

All parliamentary appearances

Entries 91 to 100 of 382.

  • 26 Aug 2015 in National Assembly: Hon. Deputy Speaker, in itself, that amounts to defamation. However, the position is that I have not defected, I have no intention of defecting, and if I am to defect, I cannot defect from my progressive party to a non-progressive party. Swahili people say “ Fuata nyuki ule asali ”. I have no reason for not following the bees to get honey. I have no reason for following a housefly, which I know will take me to the pit latrine. view
  • 26 Aug 2015 in National Assembly: Thank you, Hon. Deputy Speaker. view
  • 30 Jul 2015 in National Assembly: Yes, Hon. Deputy Speaker. I sought a Ministerial Statement from the Committee on Lands; unfortunately, six months down the line, I am yet to receive it. I do not know what is happening. Could you ask the Chairperson of the Committee to deliver it? Thank you. view
  • 1 Jul 2015 in National Assembly: On a point of order. view
  • 1 Jul 2015 in National Assembly: Thank you, Hon. Temporary Deputy Speaker. I just want to know whether women representatives are not Members of Parliament. The speaker who has just ended his speech said that his party has 20 Members of Parliament and four women representatives. Thank you. view
  • 1 Jul 2015 in National Assembly: Ahsante sana, Mhe. Naibu Spika wa Muda, kwa kunipa nafasi hii. Naunga mkono Mswada huu kwa sababu hata vyama vidogo vinachangia katika uchumi wa nchi hii. Ukiwa na watoto na uanze kuwabagua na kusema: “Huyu anatambaa, hastahili kupata huduma kutoka kwangu; nitahudumia yule ambaye tayari yuko mbio kujitafutia”, hapo husaidii. Itakuwa ni busara kwetu ikiwa wakati wa marekebisho ya mwisho tuseme kwamba chama chochote kitakachokuwa na mwakilishi Bungeni kifadhiliwe kwa sababu kimeweza kuweka kiongozi Bungeni kupitia kwa wanachama na wananchi ambao pia wanachangia hela za kuendeleza hivi vyama na hata nchi. Tukisema hivi vyama vidogo havistahili kupata huu mgao, tunajaribu ... view
  • 24 Jun 2015 in National Assembly: Asante, mhe. Naibu Spika, kwa kunipatia fursa hii ili niweze kuuchangia Mswada huu. Kwanza, ningetaka kumpongeza ndugu Sakaja kwa muda aliochukua kuuleta Mswada huu. Mswada huu utawasaidia vijana, hasa kupata kazi na pia kuwaepusha na janga la kuingia kwenye mitego. Kwa wakati mwingi, wakenya wamekuwa wakilalamika kwa sababu ya watu ambao wanawachukua vijana wetu na kuwapeleka Somalia kufanya kazi ya Al Shabaab. Wengine wanapelekwa Saudi Arabia. Wale wanaoenda Saudi Arabia, mwisho wanajuta kwa sababu wanaondoka hapa wakijua wanaenda kufanya kazi fulani na wanapofika kule, wanafanyishwa kazi za nyumbani badala ya kazi ambazo zinahitaji ujuzi wao. Wengine wanaondoka hapa wakijua wanaenda ... view
  • 10 Jun 2015 in National Assembly: Asante Mhe. Naibu Spika wa Muda kwa kunipatia nafasi niweze kuchangia Hoja hii. Kwa hakika kuna haja ya kufanya mabadiliko katika Bodi hii. Iwapo itawezekana, wale wahusika ingepasa pia nao waweze kujumuishwa katika Bodi hii. The electronic version of the Official Hansard Report is for information purposesonly. A certified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor. view
  • 10 Jun 2015 in National Assembly: Mmoja wa viongozi wa wanafunzi aweze kuwa ndani ya Bodi hii maana ni mwenye kuvaa kiatu ndiye anapata kufahamu kiatu kile kinadunga wapi. view
  • 10 Jun 2015 in National Assembly: Kwa hakika Bodi hii inafanya kazi nzuri. Hata hivyo, haijatosheleza yale mahitaji kwa sababu wakati mwingine ni kama inakumbwa na hali ya ufisadi. Wengine wanawasilisha maombi yao ilihali hawafikiriwi kamwe. Na hawa ni watu ambao wanatoka katika jamii maskini hivyo basi wanauhitaji zaidi mkopo ili kujiendeleza kimasomo. view

Comments

(For newest comments first please choose 'Newest' from the 'Discussion' tab below.)
comments powered by Disqus