Harrison Garama Kombe

Born

1956

Post

P.O. Box 276, Malindi, Kenya

Email

hanko56@hotmail.com

Telephone

0723032771

All parliamentary appearances

Entries 101 to 110 of 382.

  • 10 Jun 2015 in National Assembly: Vile vile, ingekua vyema iwapo mkopo huu ungeweza kuwafikia wanafunzi walioko katika vyuo vikuu vya kibinafsi. Kwa wakati huu unapata hawawezi kupata msaada huu na hata pia wale hawajachukuliwa na lile baraza la kuwachukua wanafunzi wa vyuo vikuu lakini wamejiunga na vyuo vikuu vya umma hawapati mkopo. Ingekua vyema pia nao wajumuishwa kwa sababu hawa wote ni Wakenya na wanastahili kufurahia matunda ya uhuru wa Jamhuri yao ya Kenya. view
  • 10 Jun 2015 in National Assembly: Kwa hayo machache, nasema asante kwa kunipatia fursa hii. view
  • 22 Apr 2015 in National Assembly: Ahsante Mhe. Spika kwa kunipa fursa hii ili nami nichangie Mswada huu. Kwanza, ningependa kumpongeza mhe Odhiambo-Mabona kwa kujifikiria yeye mwenyewe na wengine ambao hawana uwezo wa kupata mimba. Hivyo, Mswada huu ukiwa sheria, utawasaidia wale tasa kupata watoto kwa kutumia njia ya yai kutoka kwa mtu mwingine likichanganywa na mbegu za kiume kisha kuweza kuwekwa katika tumbo lake. Kwa hakika, wengi huwa wanagadhabika kwa kutopata watoto, hasa akina mama. Kama tunavyofahamu, wakati mwingi watu huwa katika hali ya kuwafyolea wale wengine wasiokuwa na uwezo wa kupata watoto. Watoto ni Baraka kutoka kwa Mungu, na ndiyo maana wakati wote tuna ... view

  • 15 Apr 2015 in National Assembly: Ahsante Mheshimiwa Naibu Spika kwa kunipatia fursa hii ili nami nichangie Hoja hii. Ni dhahiri kwamba wengi wamedhulumika kwa sababu ya kutofahamu sheria kwa sababu sheria zimeandikwa katika lugha ya kigeni, Kiingereza. Kwa hivyo, watu wengi wanapata ugumu kufahamu sheria za nchi. view

  • 15 Apr 2015 in National Assembly: Nikikumbuka vyema, kuna wakati ambapo kulikuwa na mapinduzi ya Serikali kwa masaa machache mnamo mwaka wa 1982. Wale ambao walishikwa walisomewa mashtaka na kuambiwa wayajibu. Walidhani waliyajibu mashtaka hayo sawa lakini walishtukia wameyajibu visivyo kwa kudai kwamba hawakuhusika wala hawakiri mashtaka yote. Mmoja wa watuhumiwa hao alisema: “ I am not guilty of all those ”. Hii ina maana kwamba siyo yote anayoyakiri lakini baadhi ya hayo anayakiri. Hiyo ni hali ya kwamba hakuwa anaelewa ni nini kilichomkabidhi hapo mahakamani. Hivyo basi kuna madhara mengi ambayo wananchi wa Jamhuri ya Kenya wanayapata--- view

  • 15 Apr 2015 in National Assembly: Kwa haraka, nitapitia suala la Katiba. Sio wengi walipata kuifahamu Katiba. Kwa haraka tuliipitia na kuipitisha. Laiti wangejua yale madhara ambayo yangewakumba kama yanavyotukumba siku ya leo, Katiba hatungeipitisha kamwe. Tungeisimamisha, tuirekebishe kisha tuipitishe. Miezi michache iliyopita katika sehemu za magharibi ya nchi hii, kuna bunge lililopitisha kwamba watu ambao wamefuga kuku na paka watozwe ushuru. Watu walilalamika ilhali wao walikuwa wanatekeleza yaliyomo katika Katiba. Vile vile, walipitisha Katiba bila kufahamu kwamba nyumba wanazolala ndani zitatozwa kodi. Hilo likitendeka nina hakika Wakenya wote watalalamika. Hivyo basi kuna umuhimu sana wa kuhakikisha kwamba Katiba na sheria zote za nchi zinatafsiriwa kwa ... view

Comments

(For newest comments first please choose 'Newest' from the 'Discussion' tab below.)
comments powered by Disqus