Harrison Garama Kombe

Born

1956

Post

P.O. Box 276, Malindi, Kenya

Email

hanko56@hotmail.com

Telephone

0723032771

All parliamentary appearances

Entries 141 to 150 of 382.

  • 7 Aug 2014 in National Assembly: Asante Bw. Spika. Ningetaka kumuuliza Mwenyekiti kuna mipangilio gani ya kulisafisha Jumba la Ardhi. Kufikia hivi sasa, kuna Makamishina wa zamani ambao bado wanatia sahihi kwa cheti cha kumiliki ardhi, kurudisha tarehe zake nyumba na kubadilisha cheti cha wamiliki ambao hawako. Ni lini kutakuwa na usafishaji wa hilo Jumba? Kuna uchafu ambao umejaa hapo ndani. view
  • 7 Aug 2014 in National Assembly: On a point of order, hon. Speaker. view
  • 7 Aug 2014 in National Assembly: Asante Bw. Spika. Neno uchafu halijamaanisha takataka zilizoko ndani. Kuna wafanyikazi ambao wanatekeleza uharifu ndani ya jumba hilo. Isitoshe, kuna lile swala ambalo mpaka hivi sasa, sijapata kutoka kwa Mwenyekiti ambalo linalenga mambo ya usikuota. Ningetaka anielezee ni lini ataniletea hiyo Taarifa yangu. view
  • 6 Aug 2014 in National Assembly: Hon. Temporary Deputy Speaker, I would also wish to seek clarification as to whether at the headquarters, there are any plans to have the heads of the respective regions to be people from the respective regions, so that if there are any such errors, they are detected. For example, the ID of my son is indicates the district as Lamu, location as Magarini and Division as Malindi. Such a mix up shows that the person in charge does not have the slightest idea of the region he is dealing with. If there were plans to have people from those respective ... view
  • 24 Jul 2014 in National Assembly: Thank you, hon. Deputy Speaker. I thought we had gone the county way but the hon. Chair is still talking of Coast region, Rift Valley region and the rest. Could he get to the counties? view
  • 22 Jul 2014 in National Assembly: Jambo la nidhamu, mhe Naibu Spika. Niliuliza taarifa kutoka kwa Mwenyekiti wa Kamati ya Ardhi. Kwa muda mrefu, hajakuwepo. Hivi leo, nimemwona. Ni matumaini yangu kwamba nitapata taarifa hiyo mapema iwezakanavyo kesho. Hii ni kwa sababu najua huenda pengine akawa bado ana maruweruwe ya kule alikotoka. The electronic version of the Official Hansard Report is for information purposesonly. A certified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor. view
  • 22 Jul 2014 in National Assembly: Mhe. Naibu Spika, niliuliza taarifa kutoka kwa Mwenyekiti anayesimamia Kamati kuhushu Ardhi. Hajakuwepo Bungeni kwa muda mrefu. Leo nimemuona. Ni matumaini yangu kwamba nitaweza kupata taarifa hiyo sasa hivi, maana alikuwa amenidokezea kwamba yuko tayari, na anangoja tu kuulizwa aitoe taarifa yake. view
  • 2 Jul 2014 in National Assembly: Ahsante Mhe. Naibu Spika wa Muda. Swala la barabara si swala la Githunguri na Ruiru pekee. Tulipitisha Hoja hapa kuhusu kilomita 20 za barabara katika kila eneo-wakilishi la Bunge. Pengine Mwenyekiti angetuelezea ni lini mipango hiyo itaanza katika kila eneo-wakilishi la Bunge ili barabara zipitike vyema. Wizara ina mipango gani ili miradi hiyo ianze mara moja kwa sababu mwaka wa kwanza umepita na hakuna chochote kimeanza? view
  • 2 Jul 2014 in National Assembly: Ahsante Mhe. Naibu Spika wa Muda. view
  • 2 Jul 2014 in National Assembly: On a point of order, Hon. Speaker. I am a sad man. I sought a Statement from the Chairperson of the Departmental Committee on Lands but it has never come to date. I am very much worried because the area in question, the residents are in a bad state because they are harassed every time by the Administration and the regular Police, who guard the salt harvesters in the area. Those people want to work on their parcels of land during this rainy season. I wish you could compel the Chairperson to bring the answer because he says it is ... view

Comments

(For newest comments first please choose 'Newest' from the 'Discussion' tab below.)
comments powered by Disqus