Harrison Garama Kombe

Born

1956

Post

P.O. Box 276, Malindi, Kenya

Email

hanko56@hotmail.com

Telephone

0723032771

All parliamentary appearances

Entries 191 to 200 of 382.

  • 25 Feb 2014 in National Assembly: But hon. Speaker, the Chair did not respond. view
  • 25 Feb 2014 in National Assembly: Thank you, hon. Speaker. view
  • 12 Feb 2014 in National Assembly: Ahsante Mhe. Spika. Kwanza, ningependa kuchukua nafasi hii kabla ya kuunga mkono Hoja hii kuwatakia Waheshimiwa wote mwaka mpya mwema na wenye mafanikio. view
  • 12 Feb 2014 in National Assembly: Ninaunga mkono Hoja hii kwa sababu unapoandaliwa chakula, si lazima ule chakula hicho chote kama kimekuzidi. Kwa hivyo, si lazima utumie wakati wote mwingi ambao umepewa. Unaweza kutumia dakika moja kusema hoja zako na uachie wakati mwingine watu wengine. Hivyo ilivyo inastahili kabisa kwa sababu mwenye kuwasilisha Hoja, anahitaji wakati wa kutosha ili aweze kujieleza na aweze kueleweka ndipo wengine wapate fursa ya kumuunga mkono au kumpinga baada ya kuelewa Hoja hiyo. view
  • 12 Feb 2014 in National Assembly: Kwa hayo machache, ninaunga mkono Hoja hii vile ilivyo bila mabadiliko. view
  • 4 Dec 2013 in National Assembly: Hon. Speaker, the House has a lot of important issues to discuss. At this juncture, I would wish that we forge ahead. Thank you. view
  • 4 Dec 2013 in National Assembly: Hon. Speaker, the House has a lot of important issues to discuss. At this juncture, I would wish that we forge ahead. Thank you. view
  • 21 Nov 2013 in National Assembly: Ahsante, mhe. Naibu Spika wa Muda. Ningependa kuchukua fursa hii kuunga mkono Mswada huu. Kwa hakika, wanyamapori wanaleta faida kubwa katika taifa hili lakini pia inastahili tufahamu kwamba mwanadamu yuko na thamani kubwa zaidi kuliko mnyama. Hata Mwenyezi Mungu alipoumba mbingu na ardhi, alimuamuru mwanadamu aje ardhini kuwatawala wanyama na awe mwenye mamlaka juu yao. Inatupasa pia tuzingatie kwamba binadamu anathamani zaidi kuliko mnyama. Pendekezo kwamba ridhaa kwa mtu ambaye ameuawa na mnyamapori iwe Ksh3 milioni halijatosheleza. Tuchukulie kwamba mtu huyu ndiye anayeitafutia riziki jamii yake. Mtu huyo anapopotea kwa ghafla, ridhaa hiyo ya Ksh3 milioni haiwezi kukidhi mahitaji ya ... view
  • 21 Nov 2013 in National Assembly: unafaida chungu nzima.Hakuna sehemu moja ya mnazi ambayo utaitupa.Kila sehemu inayo faida. Ukipata mnazi umeharibiwa na hali kiwango kimetengwa kulipa mnazi ni duni kabisa--- Inapaswa hili lizingatiwe ili pawekwe kiwango kinachostahili na kinachoweza kukimu hali ya maisha ya mkulilma. Wenyeji wanaoishi karibu na sehemu zilizotengewa wanyama pori sharti wapate kiwango fulani kutoka kwa mapato ya utalii. Baadhi ya jamii pia ziruhusiwe kubuni mashamba ya wanyama.Hivyo, watawaalika watalii kutembelea mbuga hizo zilizobuniwa. Hii ni njia ya kupata mapato ya kukimu hali yao ya maisha. Kuna sehemu nyingi ambazo ni kame na zinaweza kutumika kuhifadhi wanyama. La ziada sina. Nawapa nafasi wenzangu ... view
  • 20 Nov 2013 in National Assembly: Ahsante sana, mhe. Spika. Kwanza, ningependa kupendekeza mabadiliko katika Ripoti hii ili isiwe ni kumkataa bali kumuunga mkono mhe. John Mututho awe mwenyekiti wa bodi ya halmashauri ya kupambana na janga la madawa ya kulevya. view

Comments

(For newest comments first please choose 'Newest' from the 'Discussion' tab below.)
comments powered by Disqus