All parliamentary appearances
Entries 201 to 210 of 382.
-
20 Nov 2013 in National Assembly:
Kwa hakika, siku zote mhe. Mututho amekuwa katika msitari wa mbele kupigania na kuona kwamba matumizi mabaya ya madawa ya kulevya na ulevi wa kupindukia umepungua. Haswa, alileta Mswada bungeni ambao ulipita na kuwa sheria – sheria ambayo imeweka masaa maalum ya mabaa kufunguliwa na kufungwa. Madhumuni ya The electronic version of the Official Hansard Report is for information purposesonly. A certified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor.
view
-
20 Nov 2013 in National Assembly:
sheria hiyo ni kuhakikisha kwamba watu hawanywi pombe wakati wote, bila kufanya kazi.
view
-
20 Nov 2013 in National Assembly:
Kuhusu suala la kesi inayomkabili mhe. Mututho, inafaa tukumbuke kwamba kesi hiyo imekuwa ikiendelea kwa miaka 15 sasa. Je, watu hao walikuwa wanataka kumaliza kesi hiyo? Hawana haja. Hiyo inaweza kuwa njama ya watu fulani ya kumfungia nje ili asiweze kufanya kazi hii.
view
-
20 Nov 2013 in National Assembly:
Mhe. Spika, kama inakubalika, ningependa tuifanyie Hoja hii marekebisho niliyopendekeza. Baadaye, pengine nitaiunga mkono Ripoti hii. Vile ilivyo hivi sasa, siiungi mkono Ripoti hii.
view
-
20 Nov 2013 in National Assembly:
Ahsante, mhe. Ripoti.
view
-
19 Nov 2013 in National Assembly:
It is a Statement.
view
-
19 Nov 2013 in National Assembly:
Thank you hon. Deputy Speaker. I requested a Statement from the Chairperson of the Departmental Committee on Lands and Natural Resources.
view
-
19 Nov 2013 in National Assembly:
Thank you, hon. Deputy Speaker. Several weeks ago, I requested a Statement from the Chairperson of the Departmental Committee on Lands. To date, I have not received that Statement. I understand and appreciate that they were to move to the site and find out more facts. It is unfortunate that Mr. Joel Oganda was arrested on Sunday and charged with forcefully staying on a piece of land that does not belong to him yet he has lived on that parcel of land for the last 30 years. I wish to request for a specific date when the Committee will move ...
view
-
19 Nov 2013 in National Assembly:
Ahsante sana Bw. Mwenyekiti wa Muda, nasimama kuunga mkono hoja hii. Kwa hakika, pesa hizo ni za vijana na kuna umuhimu wa kwamba The electronic version of the Official Hansard Report is for information purposesonly. A certified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor.
view
-
19 Nov 2013 in National Assembly:
zikaweze kutawaliwa na vijana wenyewe. Kwa hivyo, hakika ni vyema tuwape nafasi vijana. Haijalishi itakuwa ni vijana wa aina gani lakini pia, kwa kuwa inasimamiwa ama imewalenga akina mama, ni sawa huyo achaguliwe na akina mama. Kwa hakika, hela hizi zimewalenga vijana na akina mama---
view