All parliamentary appearances
Entries 211 to 220 of 382.
-
19 Nov 2013 in National Assembly:
Asante sana kwa ulinzi wako, Bw. Naibu Mwenyekiti wa Muda.
view
-
19 Nov 2013 in National Assembly:
Kama nilivyokuwa naelezea, swala lililoko mbele yetu ni la vijana na akina mama. Kwa hivyo, kuna umuhimu vijana kuwa wengi katika hizo kamati, kinyume na vile ilivyokuwa wakati wa mipango ya kamati za wanaoishi na virushi vya ukimwi. Utakuta wanaoshiriki katika swala hilo la wanaoishi na virushi vya ukimwi katika kamati hizo zote, hakuna hata mmoja anaugua ukimwi. Ni jambo la kusikitisha. Lisiwe hivyo basi.
view
-
12 Nov 2013 in National Assembly:
Thank you, hon. Deputy Speaker. Some months ago I requested a Statement
view
-
12 Nov 2013 in National Assembly:
No
view
-
12 Nov 2013 in National Assembly:
Yes.
view
-
12 Nov 2013 in National Assembly:
Thank you, hon. Deputy Speaker. Some months ago, I sought a Statement from the Chair of the Departmental Committee on Environment and Natural Resources. To date, I have not received that Statement. I was promised that they were going to visit the salt firm that was cutting down trees and using---
view
-
12 Nov 2013 in National Assembly:
To date, I have not been given the date when the Committee is going to visit that company. Please, let me have the date when the Committee will visit the company.
view
-
12 Nov 2013 in National Assembly:
Thank you hon. Deputy Speaker, Sir. Some months ago, I requested a Statement from the Chairperson of the Departmental Committee on Lands as to when the land that is not productive could be reverted to the indigenous owners. To date, I have not received any reply. Of course, I do appreciate the Committee came to the area, but their mission was not completed because they did not visit some of the salt firms. Could the Chairperson give us the date when they will re-visit the area and be able to give us a Statement? Thank you.
view
-
6 Nov 2013 in National Assembly:
Asante sana Mhe. Spika kwa kunipa nafasi hii ili nichangia Hoja hii. Ijapokuwa taarifa ya Kamati iko sawa, nina wasiwasi moyoni mwangu. Hii ni kwa sababu wahenga walinena: ”Pema usijapo pema, ukipema si pema tena.” Mhe. Spika, ikiwa wataka kumpiga risasi mwizi, kwanza hutamlenga kichwani. Utapiga risasi juu, akishtuka ndipo umlenge kichwani. Wasiwasi yangu ni kwamba, The electronic version of the Official Hansard Report is for information purposesonly. A certified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor.
view
-
6 Nov 2013 in National Assembly:
tunaweza kuitumia ripoti hii kutoa ama kufungua mlango wa wale wanyanyasaji na wanyakuzi wa mashamba wakaweza kuiingia ndani. Huo ndio wasiwasi wangu. Mhe. Spika, kufikia hivi sasa, kazi inaendelea kuteleza kwa binadamu. Kufanya kosa si kosa, kurudia kosa ndio kosa.
view